Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Heh! Kumbe T14 Armata ni mtu ya West? Ndiyo maana uchambuzi wake ni kedekede! 🙂Westerners inavyoonekana hawaijui vizuri Urusi na ndio maana walitarajia Urusi atachapika kiuchumi ndani ya miezi mitatu ya vita