maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 692
Tuambie wewe unaejua kusoma pamoja na kuiona taswila ya pichakusom ujui hata picha uwoni
Tuambie wewe unaejua kusoma pamoja na kuiona taswila ya pichakusom ujui hata picha uwoni
hii ni ya toka wiki iliyopita.bado ya wiki hii maana mitaa zaid imechukulina serikali ya wiki hiiTuambie wewe unaejua kusoma pamoja na kuiona taswila ya picha
Sasa mkuu wataondoka vp ikiwa wamezungukwa na majeshi ya Urusi na ya Serikali ya Assad.....?? wakionekana tuu lazima majeshi ya Mrusi ya washout.(JABHAT AL NUSRA IS ON BLINKING IN A LAST BATTLE OF ALLEPO)ikiwa wagaidi wamezungukwa kila upande Alhamisi iliyopita, mjumbe wa Umoja wa Mataifa Syria Staffan de Mistura aliwaambia moja kwa moja kundi la magaidi Jabhat al-Fateh Sham,zamani walijiita jabhat al nusra front rebranded version of al-Qaeda Syria affiliate,mjumbe huyoo aliwapa sadaka ya binafsi kuongozana nao wapiganaji wa kundi hilo nje ya mji wa Allepo Kwa usalama wao waondoke Maanake hawana tena jinsi rights now between life and death....
Ndoo wamepewa hiyoo options waondoke kwa rizaa yao under un observations kwa uhakiki zaid,sababu kubwa wamejificha migongoni mwa raia,kwa hiyoo haiwezekani kufanya mashambulizi utauwa na hata raia wasio na hatiaSasa mkuu wataondoka vp ikiwa wamezungukwa na majeshi ya Urusi na ya Serikali ya Assad.....?? wakionekana tuu lazima majeshi ya Mrusi ya washout.
Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Ha ha duuuuNa kwa jinsi nilivyo na madeni mengi bora kinuke tu.
Nalog off
US Kashindwa syria sasa anakwenda kumalizia hasira yemen,he US military has carried out a series of “limited self-defence strikes” in Yemen, the Pentagon has announced. The attack, authorized by President Obama, was carried out in retaliation to recent attacks on the US naval destroyer, USS Mason.
According to the Pentagon’s initial assessments, three “radar sites” in the Houthi rebel-controlled area of Yemen were destroyed in the attack.
The attack on coastal targets was carried out by Tomahawk cruise missiles launched from the destroyer USS Nitze, NPR reported. According to US officials all targets were “in remote areas, where there was little risk of civilian casualties or collateral damage.”
“These limited self-defense strikes were conducted to protect our personnel, our ships, and our freedom of navigation in this important maritime passageway,” the statement
mwache napo akakutane na iran hukoUS Kashindwa syria sasa anakwenda kumalizia hasira yemen,
huko nako atachemsha tu,pamoja na kumtumia msaudia kutaka kuisambaratisha yemen,watatosha tu,wale houth ni battle hardened,watafirisi stock yao ya mabomu bure
Huelewi wewEmbu meza mate kwanza maana unaongea vitu havieleweki..
Mpira mgumu mnoo mkuu jaluo katia mpira kwapani,ati anamshambulia Yemen now....nimeicheki hiyo HAKIKA ni hatari hata nzi hakatizi zile radar ni hakika
Na rasilimali Nyingi walizobarikiwa Russia pia ni hela.Vita ni hela anajidanganya tuu huyu mkomunist ngoja wamrudishe stone age na makombora yake ya nuclear
Mwambie asome geography huyoo ndoo atapata kujuwa ukweli uko wapi,awachane na mambo ya medias propaganda brainwashed...Na rasilimali Nyingi walizobarikiwa Russia pia ni hela.