Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

nimecheka san kumuona francos holland akiongea mpaka mishipa imemtoka kwa uchungu,kumbe nao uwa inawauma na pia kumbe wanajua uwarifu wa kivita.ha ha ha
Tena Mkuu nikajiuliza hivi anachokiongea ni Nani atayeweza kukitelekeza......???

Wataanzaje anzaje kumkamata huyo Putin ili hali ikiwa anafika mpaka ktk Nchi zao.

Na Watamshtaki ktk Mahakama gani....???

Au walifikiri Vladimir Putin ni sawa Levo na Mzee Mugabe, Bashar na kina Kenyata
 
Relax brother
Ukweli utabakia kuwa pale pale
Dunia inahitaji amani
Vita ni faida kubwa kwa matajili
Sisi ndoo wathilika wakubwa
Mzee Wetu Ngosha kajifungia Ndani pale Magogoni, hatakagi ujinga kabisa

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
The super predator Queen of wars (Diablo)
 

Attachments

  • 1476219368327.png
    1476219368327.png
    302.3 KB · Views: 46
AMERICAN's wawe makini mnoo kuhusu hicho kibibi ....
 

Attachments

  • 1476219728337.png
    1476219728337.png
    741.9 KB · Views: 47
Hakuna cha misaada kupita wala upuuzi wowote ule,

Na siku zinavyozidi kwenda ndio wanazidi kulia njaa labda Wanatakiwa wajisalimishe wenye we, sababu sababu uchafu ndio umebakia hapo Allepo.
assad alifungua korido wapite na kuacha silaha etc,na akawaahidi msamaha,hakuna aliyepita wanataka kupigana mpaka mwisho
 
Russia anawaumbua sana hawa magaidi ( US,France na vibaraka wao wengine).
Russia is on top now
Russia is on top now
Russia is on top now😀😀😀
 
Tego la panya hiloo tayari sijuw nitoke vipi hapo.....
 

Attachments

  • 1476223413088.png
    1476223413088.png
    134.9 KB · Views: 44
mafanikio ya mashambulizi dhidi ya mikusanyiko ya magaidi imekuwa uliofanywa na jeshi la Syria katika Mashariki Ghouta. Wakati huo huo, zaidi ya 200 magaidi yalitoa silaha zao na kujisalimisha kwa vikosi vya serikali katika mkoa Elhameh.
 
mafanikio ya mashambulizi dhidi ya mikusanyiko ya magaidi imekuwa uliofanywa na jeshi la Syria katika Mashariki Ghouta. Wakati huo huo, zaidi ya 200 magaidi yalitoa silaha zao na kujisalimisha kwa vikosi vya serikali katika mkoa Elhameh.
ha ha ha ha
 
Niliona magaidi wengi walikufa. - Samer Attar, Doctor upasuaji wa mifupa kutoka Chicago Waasi walikomboa baadhi ya ardhi waliopoteza Jumamosi jioni, lakini Syria na Russia Ndege za kivita za, zilirusha makombora kwa wingi kama 100 hivi Na kurejesha ardhi Jumapili asubuhi. magari angalau 30 ya magaidi yaliyojaribu kukimbia yalipigwa na makombora mazito na waasi waliojaribu kukimbia Kwa miguu basi walikutana na snipers. waliojeruhiwa hakuweza kuokolewa maiti hakuweza kuzikwa kwa sababu hakukuwa na mtu ambaye anaweza ku cross barabarani,jinsi gani SAA army walivyo zingila hiloo eneo
 
Na sasa ndoo najenga makazi maalum
 

Attachments

  • 1476258465572.png
    1476258465572.png
    68.3 KB · Views: 45
[emoji635]
[emoji635]
[emoji635]
[emoji317] [emoji317] [emoji317] [emoji317] [emoji317]
 
Ukweli utabakia kuwa pale pale tuu
 

Attachments

  • 1476276936227.png
    1476276936227.png
    113.6 KB · Views: 47
Back
Top Bottom