Urusi yaingilia kati matamko ya mabalozi

Urusi yaingilia kati matamko ya mabalozi

What common thing do you see they all have together?
I thought you were about to elaborate your reason on justifying transpired during and after the elections.

Goodnight, just don’t go doctoring ‘social media’ pages of other nations to push your cheap propaganda narratives; we are not stupid here in JF.

Say hi to your fellow killers 👋
 
I thought you were about to elaborate your reason on justifying transpired during and after the elections.

Goodnight, just don’t doctor ‘social media’ of other nations to push your cheap propaganda narratives; we are not stupid here in JF.

Say hi to your fellow killers 👋
Bye bye
 
Bunduki ya AK-47 ndio Mrusi waga anajidaia kusaidia mataifa masikini. Wana chanjo ya Kansa, mbona hawaleti Tanzania?
 
Kwa hiyo warusi nao wamekuwa kama masheikh wetu, wanajibu vitu visivyo wahusu na hawajaandikiwa wao?

Who are you?
 
IMG-20251203-WA0002.jpg
 
Msaada pekee kutoka urusi ni kufanya mabadilishano ya kuwapeleka Vijana wa kitanzania kwenye uwanja wa mapambano na wao kutoa scholarship, nafasi za ajira urusi fake.
Kuna ile progrma yao inaitwa alabuga wanachukua vijana wakike wadogo kwenda kufanya kazi urusi kumbe wengi uishia kwenda kwenye viwanda vya kutengeneza silaha.
 
Kuna ile progrma yao inaitwa alabuga wanachukua vijana wakike wadogo kwenda kufanya kazi urusi kumbe wengi uishia kwenda kwenye viwanda vya kutengeneza silaha.
Hao jamaa ni zaidi ya mashetani.
 
Warusi wenyewe wamejaa Dar es salaam njaa kali sambamba na waha, endeleeni na utaahira tu
 
Back
Top Bottom