Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,904
- 5,762
Mwongo huyo,mpuuze
Mh wamefunga account ya mtu binafsi kwa sababu ya tu ya kuwa raia wa Russi
Mh wamefunga account ya mtu binafsi kwa sababu ya tu ya kuwa raia wa Russi
Ukija nione Ultsa 7 hapa ila acha Ku exagrate haha haha Urusi hana mnayoyasema ni Maskini tu ila ni ngumu kumwelewesha thomaso wa bongo mpaka wafike, UKIJA UTAWEKA MREJESHO HAPA KWA NAYOSEMAGA WATU WANABISHA MKATABA WANGU NA *** UNAISHA 2024 HIVO UTANIKUTA TUna wegine tumepata ufadhiri wa kwenda huko mwaka huu... wana hazina ya dola za kutoshaa...
Pro Russia wa hapa JF wanakwambia vikwazo havimtishi kabisa Putin,bila kujali haya madhara wanayoyapata hawa wa kawaida kama huyo Shemeji yako.Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Taira kweli wee jamaa kuna jela zilizojaa kama za US Kwa nchi ziliozoendelea izi sanction hazitazidi miaka miwili aslimia 50 ya hizi sanctions zitatolewa na Putin hatoki madarakani wewe bwabwaja apa utasema ata biashara ya viazi unayo
Dr .Shikha mwingine yuko mbioni kupatikana hapana wegine tumepata ufadhiri wa kwenda huko mwaka huu... wana hazina ya dola za kutoshaa...
Bora umetoa ushuhuda kuna watu wanaamini wanaoumia ni ulaya tu ila russia ni mwendo wa bata.Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Ama kweli una tofali kichwani.Urusi sio zimbabwe
Duh...kwa kweli wewe unateseka Sana....Ni kitu ambacho hakiwezekani...ila Russia inaweza kufanya hivyo Kama njia ya kuidhoofisha dola...Usiingie mkataba wowote na nchi ya urusi uwe wa kibiashara ,ajira nk wa kulipwa dola utatapeliwa wamezuiwa kutumia dola
Atakulipeje amezuiliwa na kupigwa marufuku kutumia Dola, Euro, Pound na Japanese Yen kwenye vikwazo vya kimataifa alivyowekewa
Kwenye Swift kafungiwa na Benki zake zinapigwa pin. Akaunti zote za dola zimekuwa Frozen.
Kifupi usithubutu kuingia mkataba kuhusu fedha za kigeni za Dola, Euro, Pound au Japanese Yen
Usiseme hukuambiwa.Ukitapeliwa usije kupiga miyowe humu jamii
nina rafiki yangu mrusi alikuwa mapumzikoni zenji karibu mwaka mzima, kaondoka juzi kwenda kwao... jana nime wasiliana nae amefika salama moscow...
sawa Mrs Dr. ShikaDr .Shikha mwingine yuko mbioni kupatikana hapa
Dikteta Putin katengeneza anguko lake baada ya kung'ang'ania madarakani kwa miaka zaidi ya 30 kama Mu7.Ile nchi sio muda itakuwa kama Zimbabwe
North Korea wanatumia dollar?? Una akili timamu? North korea hawanunui kitu chochote kwa dollar yapata miaka 30 saizi.Nchi zote hizo Korea, Iran na Cuba hakuna iliyozuiwa kutumia dola usifananishe ni vikwazo kawekewa urusi.Hao hawana
Raslimali tu hata Congo Afrika nzima anaongoza kwa Raslimali lakini Lofa.Raslimali mbele ya vikwazo vya soko ni kitu gani .Russia inakuwa sawa tu na Kongo
Kusema mrusi ana silaha nyingi silaha zipo hiyo.mogobore inayoitwa vifaru vya kirusi inayobomolewa na kuteketezwa kila siku na Jeshi la Ukraine?
Uongo huu tulidanganywa tukiwa watoto, thibitisha umasikini wa north korea... taifa masikini linaweza kuwekeza kwenye tafiti za kisayansi kama nuclear??Korea kaskazini bajeti yote sehemu kubwa inaishia jeshini na kwenye. Maonyesho ya kijeshi
Wananchi wana maisha magumu mno
Hata ukienda kutalii ni guided tour unaonyeshwa sehemu zile tu wanataka wao
Zinazoonyesha good image ya korea
Hata picha ni guided huwezi mpiga picha hovyo hovyo .Unaambiwa piga hapa na wanakagua ulichopiga
Tafiti at the expense of poor peopleUongo huu tulidanganywa tukiwa watoto, thibitisha umasikini wa north korea... taifa masikini linaweza kuwekeza kwenye tafiti za kisayansi kama nuclear??
Hizo propaganda za west hazifanyi kazi saizi.
Mkuu Malcolm..natumai shemejio aliwekeza kidogo hapa Bongo..kwa hali inavyoelekea huenda akawepo sana hapa Bongo na hili la kufungiwa account....asije akajikuta yuko home kwako au kwa wakwe kazi yake ni kubadili tu channel za TV! hahhahaNina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Wew ndo una akili Sasa ...hao North Korea..wanatumia Us dollars vizur tu..,North Korea wanatumia dollar?? Una akili timamu? North korea hawanunui kitu chochote kwa dollar yapata miaka 30 saizi.
Mwambie aandamane dunia Kijiji ataonekana tu mkuu kupinga upuuzi wa Putin na watoto wake wakike wale wawiliNina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Sasa wewe umejuaje kama hana biashara yoyote?Taira kweli wee jamaa kuna jela zilizojaa kama za US Kwa nchi ziliozoendelea izi sanction hazitazidi miaka miwili aslimia 50 ya hizi sanctions zitatolewa na Putin hatoki madarakani wewe bwabwaja apa utasema ata biashara ya viazi unayo
Ndio maana bidhaa zao wameamua kuuza kwa rubble. Sioni shida hapo.Usiingie mkataba wowote na nchi ya urusi uwe wa kibiashara ,ajira nk wa kulipwa dola utatapeliwa wamezuiwa kutumia dola
Atakulipeje amezuiliwa na kupigwa marufuku kutumia Dola, Euro, Pound na Japanese Yen kwenye vikwazo vya kimataifa alivyowekewa
Kwenye Swift kafungiwa na Benki zake zinapigwa pin. Akaunti zote za dola zimekuwa Frozen.
Kifupi usithubutu kuingia mkataba kuhusu fedha za kigeni za Dola, Euro, Pound au Japanese Yen
Usiseme hukuambiwa.Ukitapeliwa usije kupiga miyowe humu jamii
Pole ndugu yangu unateseka kutokea wapi au unakalia kigogo? Kwamba urusi ana magobole? We jamaa upo serious au una mimber ya seneta wa US?Nchi zote hizo Korea, Iran na Cuba hakuna iliyozuiwa kutumia dola usifananishe ni vikwazo kawekewa urusi.Hao hawana