Urusi wazuiwa kutumia dola

Urusi wazuiwa kutumia dola

Bora wange baki Congo huko wana angamia angalia walivyo angamizwa hapa walidhani kifaru ni cha kwao kumbe ni cha Urusi kika wamaliza kizembe!
Aliyerekodi alijuaje kama kuna tukio linakuja kutokea? Maana ni kama alikuwa anasubiria kurekodi hilo tukio
 
Aisee!
Hivi unaijua vizuri Urusi?
Kuna nchi ndogo sana kwa Urusi Zina vikwazo toka mama Yako hajazaliwa lakini Zinaambo mazito kuliko nchi kadhaa za ulaya.
Unaijua Cuba?
Unaijua Iran?
Na unaijua Korea Kaskazini?
Hizi ni nchi ndogo sana kwa Urusi.
Sasa Urusi ndo nchi inayoongoza duniani kwa eneo kubwa,
Inaongiza Dunia kwa rasilimali,
Inaongiza Dunia kwa silaha,
Ina viwanda vya kila kitu,
Ina technolojia kubwa sana tu,
Ina wasomi wengi,
Ina wanasayansi wengi TU
Ina Fanya tafiti za Kila aina,
Ndio iliwafundisha akina USA kwenda huko anga za juu kabisa..

Ndi imewakaribisha USA na maswahiba wake kwenye ISS.
Mambo ni mengi mda mchache.
Kwa pin alizopigwa urusi safari hii hachomoki.
 
Wew ndo una akili Sasa ...hao North Korea..wanatumia Us dollars vizur tu..,

Na mpka walipata skendo, ya kuwa na kikundi chin ya mwamvuli wa serikali yao....kilichohuska na uchakataj wa dollar fek,...
Ahaa kumbe wanatumia kimagendo?? Nenda ma pesa yako ya dollar korea kaskazini tuone utapata bidhaa gani. Msikariri...
 
Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
yupo igurusi ya mbeya sehem gan si atumie kwacha ya malawi
 
Kwa pin alizopigwa urusi safari hii hachomoki.
endelea kuota kama, hujui urusi sio zimbabwe.na vikwazo sio mara ya kanza kupigwa ni muendelezo.ni vile kisicho kuua kinkukomaza kiaskari refer cuba,iran ,venezuela US ni hatari kwa usalama wa dunia kama ukichekea ata papasa mpaka makagale
 
Duh...kwa kweli wewe unateseka Sana....Ni kitu ambacho hakiwezekani...ila Russia inaweza kufanya hivyo Kama njia ya kuidhoofisha dola...
Tunaposema Marekani na iheshimiwe muwe mnaelewa
Screenshot_20220411-214033.jpg
 
Wew ndo una akili Sasa ...hao North Korea..wanatumia Us dollars vizur tu..,

Na mpka walipata skendo, ya kuwa na kikundi chin ya mwamvuli wa serikali yao....kilichohuska na uchakataj wa dollar fek,...
Hahaaa eti anasema North Korea hawatumii dollar , huyu mwehu
 
Yaani we jamaa ni zero brain kabisa. Kila mtu anajua kuwa dolla Euro na pound ndio pesa zinazotumika kibiashara worldwide.
Sasa mimi kusema kwamba rubo itakuja kuwa na thamani huko mbeleni kuna ahisa gani? Unakuja hapa na statistic za mwaka 2019 unajiona bonge la mjanjaaah.
Kwa jinsi russia atakavyokuwa akiuza nje bidhaa na kulingana na mahitaji ya rubo basi usishangae rubo ikawa bishaa adimu nayo.
 
Tunaposema Marekani na iheshimiwe muwe mnaelewa View attachment 2184283
Achana nao mkuu.

Hata huyo mchina wanayetaman ampiku US hawajui kuwa uchumi wa china unachangiwa mno na US kuwekeza pale. Hao akina Japan, S.Korea, Ulaya n.k ni pesa za US.

Kumuangusha jamaa almost ni impossible kwa sasa.
 
Hata Zimbabwe walisha pewa amri ya kutotumia dollar wakati ule wa sir Mugabe alipo gawa mashamba ya walowezi na mpaka leo iko poa nini rasha.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom