Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
HA ha ha,Ndo maana nkakwambiaje haina madhara russia labda ije itutishie sie kajamba nan! Wherever na kazyake....
Tehteh Iyo f22 rapture haina madhara rusia inaishia Ukraine sio bomu wala ndege yenyewe inaweza kuungia rusia......
Rusia imewekeza katika kujilinda/defensive kuliko offenceve kushambulia anway Bt mbinu za kimapigano ndo huleta ushindi wala sio vifaa wala nn
Sure aisee humu jf kuna wadau wanajikuta wao wachambuzi wa kivita wakati hata upinde hawajui unashikwaje..Hawa ndio vijana Wa Tz kila mtu anakuja na hoja yake kujifanya wanazijua sana USA NA RUSSIA kuliko hata viongozi Wa nchi hizo..
Mtu anakomaa kubishana wakat yuko rorya na mbagala kisa tu kaingia Google na kusoma paragraph moja tayar anajifanya kulichambua jeshi lote la urusi na USA
.. Hivi mmewahi kujiuliza kwann ubishani wenu Wa kijeshi juu ya nchi hizi mbili haufiki mwisho??
Jibu ni kwamba mnabishania msichokijua.. Hapo mnabishania maandishi na sio vitendo..
Ww unayeizungumizia hyo Satan-2 ni lini hyo Satan ilirushwa kutoka urusi mpaka nchi nyingne na ikaja na matokeo uliyoandika hapo??
Upinde mkubwa wote huoo,Sure aisee humu jf kuna wadau wanajikuta wao wachambuzi wa kivita wakati hata upinde hawajui unashikwaje..
"a man brags of his own peni.. however tiny"
Russia bado yupo nyuma sana ya USA, USA wanawekeza mabilion ya bajeti,
Shikamoo area-51[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilo jina lako sio la sport sport. Bikira latifahKwa mabomu
Marekani ndipo yalipozaliwa
Civil war????? (onyesha uthibitisho wa kutokea civil war,USA siyo ya sasa, zamani ndiyo...na sasa (baada ya uchaguzi) USA iko kwenye matatizo zaidi...baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijamii wanaanza kuzungumzia uwezekano wa kuwepo kwa civil war, dalili ni mauaji ya polisi wa Marekani dhidi ya watu weusi na malipizo ya weusi dhidi ya polisi na watu weupe, pia maandamano ya maelfu ya Wamarekani wakipinga ushindi wa 'mbabe' Trump...The Americans are 'increasingly' becoming a wrotten society: kuhalalisha ndoa za jinsia moja; kujiona wao ndio bora kuliko jamii nyingine duniani; kuhubiri demokrasia wakati wao hawaithamini demokrasia; kuwaua viongozi wa nchi nyingine duniani-Irak, Libya na kadhalika; kukithiri kwa vitendo vya ukatili na ubaguzi wa rangi; kuupuzia masuala ya dini....
Civil war????? (onyesha uthibitisho wa kutokea civil war,
KAma ni vita vya polisi na watu weusi vipo kitambo tu labda hujui ndugu )
Sahau kabisaaa,
Demokrasia ipi unayoiongelea ww ambayk haipo USA? (hukuridhika na matokeo ya uchaguz ila kumbuka hakuna uchaguzi Part 2)
Kuruhusu ndoa za jinsia moja kunahusiana vipi na ubora wa jeshi lake?
Hii ni kawaida ya mijadala, lazme pawe na thesis and anti-thesishuwa sioni sababu za kumlinganisha URUSI na USA sabubu hizi zinaonyesha kuwa URUSI ndio kidume duniani Kijeshi
1. NATO (muungano wa nchi 28 + USA ) ulianzishwa na hadi leo bado upo unadumu lengo lao kupambana na URUSI tena sote tunajua nchi hizo nazo zipo vzr kiuchumi na kijeshi.Taifa moja kuhofiwa na mataifa 28 bado unadharau hilo taifa utakuwa na matatizo
2. establishment ya USA military bases,USA inahangaika kila siku kuweka base zake karibu na urusi-lengo kubwa ni kujilinda kama urusi angekuwa si chochote kwa nini USA atumie budget kubwa ya kijeshi kuhakikisha hizo base zinafanya kazi-unadhani usa ni mjinga kiasi hicho ni wazi anajua uwezo wa urusi kutuzidi sisi.
nashangaa wabongo wanao dharau taifa la urusi!
Sawa, Tujadili mengine ya bombardier q400[emoji23][emoji23][emoji23]Nimelisoma andiko lako, na nimesikitika tu...anyway, tuongelee mengine ya USA tuwaachie wenyewe...
Mkuu big Up.....!!huwa sioni sababu za kumlinganisha URUSI na USA sabubu hizi zinaonyesha kuwa URUSI ndio kidume duniani Kijeshi
1. NATO (muungano wa nchi 28 + USA ) ulianzishwa na hadi leo bado upo unadumu lengo lao kupambana na URUSI tena sote tunajua nchi hizo nazo zipo vzr kiuchumi na kijeshi.Taifa moja kuhofiwa na mataifa 28 bado unadharau hilo taifa utakuwa na matatizo
2. establishment ya USA military bases,USA inahangaika kila siku kuweka base zake karibu na urusi-lengo kubwa ni kujilinda kama urusi angekuwa si chochote kwa nini USA atumie budget kubwa ya kijeshi kuhakikisha hizo base zinafanya kazi-unadhani usa ni mjinga kiasi hicho ni wazi anajua uwezo wa urusi kutuzidi sisi.
nashangaa wabongo wanao dharau taifa la urusi!
Hapo juzi kwenye kampeni Bi Hillary Clinton alisema kwamba akichaguliwa kuwa Rais lazima aweke No fly zone pale Syria.....Nwat i meant z dat, km hzo ndege zinajigamba kuwa haziwez onekana kwny radar/ defence systems kwanin zisikatishe kwenye radar za urusi, au huwa zinakatisha mara kwa mara but hazionekani tu?
Na huu ndio ukwel hata kama mchungu watu waukubal tuuMambo ya kuita wenzio makafiri yanakujaje sasa??..
Ukituit waKristo unapungukiwa nini...USA anabeba chapa ya mnyama 666 ..na hiyo ndo symbol ya mpingakristo haiwez kufall hadi yaliyotabiliwa yatimie....yaani baadae USA na wayahudi watakuj Kuwa maadui baada ya Jews kuwa forced waabudu beast ktk hekalu takatifu litalojengwa(chukizo)...
Hiyo ni short brief Power ya US kuja kushuka sahau...jifarijini tu
Jamani CT SCAN NA MRI zimekufa Muhimbili tuzijadili hizi ni muhimu kwetu kuliko makombora ya Russia
Ha ha ha ha Mkuu Bujibuji kila jambo na wakati wake, ya kwetu tunadiscuss tukiamka na wakati wa kulala. Story za teknolojia kwa wenzetu huko majuu ndio tunadiscuss mchana. Matatizo yetu hayaishi siunajua. Ngoja tuangalie wenzetu wako wapi.Jamani CT SCAN NA MRI zimekufa Muhimbili tuzijadili hizi ni muhimu kwetu kuliko makombora ya Russia
Ct scan za ovyo ovyo zimepoba leo hii mke wangu anaenda kupima alipata ajali so wana was was na kichwa.Hata tukizijadili hizo CT Scan na MRI ndo zitajifufua?
Kuweka bases kwenye nchi mbalibali ni kawaida tu pia kujenga counter ICBM facilities kwenye nchi mbali mbali ni jus defensive measure,huwa sioni sababu za kumlinganisha URUSI na USA sabubu hizi zinaonyesha kuwa URUSI ndio kidume duniani Kijeshi