Urusi watengeneza Satan 2

Nnmnhh
Ja
 
Nimekuelewa vizur kabisaa

Kuzalisha wataalamu wengi sio kwamba ww ni bora, Tz tuna madaktari bingwa kibao ila tunahitaji wa india, Tupo ma geologist kbao ila bado tupo nyuma katika tafit za kijiolojia, Fct ni jins gan wanatumika hao wataalamu

Kumbuka hata hao waliosoma huko russia na usa sio kwamba ndio wanajuuua naomba utambue kuwa katika jeshi vitu vinaenda kwa clearance level(kwa uelewa wangu mimi) sio kila kitu kitaanikwa hadharan au kwa kila mwanajeshi,
Mfano mwanajeshi wa kawaida hawezi kujua siri ambazo zipo level ya nuclear,

Kama ushawah kuona unaambia missile flan range yake ni approx 100km ila real range ni classfied?
So anaejua real range anakua ni mtengenezaji na watu ambao wamepangwa kwenye squad ya kuoperate hiyo missile,

So sidhan KAma maelezo yako yanatosha kujusfy hili suala, Kwa uelewa wangu

Anyway we are jus a bunch of misfits discussing huge things
 
Inaelekea una hasira kichiz,
Umefanya siku yangu iwe ya furaha sana
 
Kumbuka USA Ana base nyingi sana katika nchi tofauti ambazo hizo ni anti-missile,

Pia usikarir hizo silo launched missile, Kuna air launched, Kuna submarine launched, Kuna ship launched


Naomba nitoe mfano mdogo tu, unaofana kwa mbaali na hili suala
Hivi unaujua ukubwa wa rockets launched by hamas, Je unaujua ukubwa wa mortars fired by hamass,
Ila zinakua intercepted by IRON DOME,


KasomE PATRIOT DEFENSE SYSTEM, THAAD
 
Jeshi morali mkuu, kijana alikuwa na moyo wa kizalendo.
 
Nakuunga mkono, Ila hata ingekua mimi wallah nisingekubali wale waungwana wanikamate, Niliona walichomfanya yule pilot wa jordan aisee nilitokwa machoz

Uzalendo+pinned + mziki wa isis+mavideo ya kuchinja= rambo style
Hutakiwi kusalimu amri maadui zako, unatakiwa kupambana hadi mwisho.
 
NI kweli kabisa yan unajua hata kama una roho ya kukata tamaa ukiwazia tu kuhusu wale jamaa lazima mzuka wa vita uje
Hata huyo dogo nae alipata mafunzo ya ukatiri, ni nidhamu na moyo wa kizalendo tu ndio uliomtuma kujitoa mhanga kulinda heshima ya jeshi lake.
 
RUSSIA SIKU ZOTE NI SHOW OFF TU HIYO MIKITO YA KAWAIDA SANA WATU WANAMCHEKI AKIJIKASIRISHA NA KUJIFURAHISHA TU
 
Warusi, wamarekani nk. wana silaha nzuri sana kwa mapambano lkn falsafa ya medani za vita kuwa na silaha nzur ni kuwa na filosofia nzuri ya kushinda vita.
Cos, lengo la mapambano si kuangamiza bali ni kushinda.
 
Kuzaliwa mwanzo sio hoja ya kufanikiwa ,kuna waliotangulia lkn wakachelewa kufikia malengo.naaamini rusia ipo juu zaidi
mkuu kipi kinakuaminisha hivo??
tetea hoja yako kwa mifano halisi kama huyu alivofanya!!
 
Hua najiuliza hivi! Kama USA mwaka 1960 hivi (sukumbuki vzuri) waliipiga Japan Kwa Bomu la atomic.
Na wakat huo technology ilikua si kama hivi Leo.

Je Leo hii USA si atakua ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…