Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,495
nimesoma comments badala yake nimeona watu wanacomment kiushabiki na emotional
badala ya kutumia common sense na facts.
badala ya kutumia common sense na facts.
Libya imefanywa vile na Gadafi mwenyewe.. msimamo kichaa wa Gadafi ndo imeifikisha hapo Libya.Kumbuka walichofanya LIBYA, IRAQ. Hadi leo wananchi wa nchi hizo hakuna amani, ni vifo kila kukicha kwa kulipuana mabomu. Hakuna nchi ya ajabu na hovyo kama USA
Kuna wazungu makatili. Ila Mzungu ni mtu aliye tayari kukosana na Mzungu mwenzake anayefanya Ukatili na uvunjifu wa haki ili kumtetea victim.USA ni hatari zaidi kuliko CHINA na URUSI. ALL in ALL mabeberu wanajali sana MASLAHI yao kuliko hasara utakayopata wewe hata kama ni gharama ya kupoteza maisha ya wengine
Hao hawana time hiyo, ni wabinafsi na wahuni vile vile!Kuna wazungu makatili. Ila Mzungu ni mtu aliye tayari kukosana na Mzungu mwenzake anayefanya Ukatili na uvunjifu wa haki ili kumtetea victim.
Suala hili huwezi kuliona kwa mchina, mwarabu, mhindi wala mrusi.
“Sun said the fallout over the Rohingya crisis and Myanmar’s current isolation in the international community, had given China an opportunity to win Myanmar over through a “gesture of support”.Weka ushahidi hapa kama China ana mkono wake kwenye yanayoendelea Myanmar
Hawataki kulianzisha wao, sababu wanajua wataonekana 'bully' lakini mioyoni mwao wana tamani wapate chance waonyeshe ubabe wao. Sheria za kimataifa zipo lakini na lazma wanachama wazifuate!Marekani ndo hatari kwa usalama wa Dunia.
Mbona USS Theodore Roosevelt na carrier strike group zima ipo huko na hawajafanya chochote
Hata SYRIA ma mercenaries wa Urusi wanaopata usaidizi from their country wanawaua raia wa kawaida kila kukicha, wanamsaidia Assad kuua raia wake. Hii ata haipingiki sababu dunia nzima yajua utopolo wa Urusi ndani ya SyriaNapingana na wewe kuhusu Urusi central Africa bila Urusi Central Africa Rais wao angepinduliwa na vikosi vya waasi wa taifa ilo.
kila Taifa kubwa wanapambana kuingiza Serikali za mataifa mengine kuwa upande wao. Hapa ndipo penye mvutano
Sawa“Sun said the fallout over the Rohingya crisis and Myanmar’s current isolation in the international community, had given China an opportunity to win Myanmar over through a “gesture of support”.
Hicho ni kipengele tu cha kukuonyesha China inavyofaidi, haswa sahi China wanajua vifaa vya kivita vingi vitanunuliwa na serikali ya kijeshi ya Myanmar kutoka kwao ili kuendelea kudhulumu raia wanaoandamana.
China na Urusi wale wanapenda sana kutetea madikteta sababu wana faidi kitu/vitu flani katika nchi hizo.
Angalia 'Belarus', 'Myanmar', 'Azerbaijan', 'Syria', 'Georgia', huko China kwenyewe, ndio utajua hawa jamaa hawajui haki wala utu. They do what they want!
Na sio rahisi usikie wametoa msaada wa kiuchumi, kiusalama nk pahali popote. Wao ni biashara kila kitu!
Bure yao ni kilio /mauti kwa wengine.Hakuna Cha bure duniani elewa hilo
Kwamaana hiyo had leo Gaddafi ndio anafanya wauane?Libya imefanywa vile na Gadafi mwenyewe.. msimamo kichaa wa Gadafi ndo imeifikisha hapo Libya.
Huo ndiyo uhalisiaBure yao ni kilio /mauti kwa wengine.
Usihukumu kwa vionekanavyo , Anglia visivyoonekana Kwan ndivyo vilivyopelekea matokeo ya vinavyoonekana.Jana Rais wa Marekani Joe Biden kampigia simu Rais wa Ukraine na kumweleza kuwa awe na amani na asihofu vitisho vya Urusi baada ya Urusi kuweka vikosi vya kijeshi kwenye mpaka wa Ukraine, Rais Joe Biden aliahidi kuilinda Ukraine endapo Urusi itaivamia.
Masaa machache baadaye,NATO pia iliionya Urusi isijaribu kufanya uvamizi wowote kwa Ukraine,kwani itaingilia Kati kijeshi.
Urusi ilijibu kwa kiburi sana kuwa itaivamia Ukraine endapo itaona inafaa kufanya hivyo.
Hayo yametokea wakati Dunia ikiwa kimya mauaji ya kishenzi na kikatili yakiendelea Myanmar baada ya Serikali halali iliyochaguliwa Kidemokrasia kupinduliwa, wananchi wa Myanmar wanaandamana Taifa zima kudai Rais wao mwanamama Aung Su Kyi anayeshikiliwa na jeshi aachiwe huru,mamia ya watu wameuawa Myanmar.
Msako wa nyumba hadi nyumba unafanyika ktk Taifa hilo ili kuwaua na kuwafunga watu wote wanaopinga mapinduzi hayo.
Duru za kijasusi zinadai kuwa China ndo inafadhili Serikali haramu iliyofanya mapinduzi.
Wakati huo huo, Urusi nayo inadaiwa kufadhili vikundi vya waasi Central Africa .
Urusi na China ni mataifa makubwa yasiyokuwa na msaada wowote,ni mataifa adui wa Demokrasia na haki za Binadamu.
Pamoja na kuwa Marekani ina mapungufu yake,lakini ni Taifa lenye utu na huruma Tofauti kabisa na Urusi na China.
Urusi iliivamia Cremea na kuichukua kwa nguvu kutoka Ukraine, sasa hivi tena inajiandaa kuivamia Ukraine.
Urusi na China ndo mataifa yanayopendwa na Serikali za kidikteta Duniani kwa sababu huzilinda Serikali hizo kwa manufaa yao hata kama zinaua watu wake wote.
Hayati Saddam Hussein, alikuwa kipenzi cha Marekani pamoja na Udikteta wake,lakini alipoua Wakurd 5,000 kwa sumu na kuivamia Kuwait,wakamgeuka na kumtoa kwa nguvu.
Ni wapi mliona Urusi au China zikipeleka majeshi au misaada kwa nchi zenye shida Duniani?
Yaani hayo ni mataifa selfish na katili hasa,hayana ubinadamu hata kidogo.
Endapo Urusi itaivamia Ukraine,safari hii Marekani haitavumilia Kama ilivyovumilia wakati Urusi ilipoivamia Georgia.
Hii itaweza ku spark vita ya Tatu ya Dunia.
Myanmar ni Taifa la watu wenye nasaba na China,huko wameuawa hadi watoto wadogo kwa risasi, China inao uwezo wa kuzuia mauaji Myanmar lakini haifanyi hivyo kwa sababu ni Taifa katili lisilo na utu.
Urusi na China ni mataifa hatari kwa usalama wa Dunia.
BRO umeongea nondo tupu yaani kuna majinga fulani include maarabu yaana imanishwa MMAREKANI NI KATILI lakini ni sio kweli ukiwafananisha na NA GIANT NATIONS zilizopo BARA LA URUSI na hii imepekea URUSI NA CHINA zimekuwa haziingilii mambo ya kidemocrasia za nchi ambazo zinaumiza na kuua raia wake.Jana Rais wa Marekani Joe Biden kampigia simu Rais wa Ukraine na kumweleza kuwa awe na amani na asihofu vitisho vya Urusi baada ya Urusi kuweka vikosi vya kijeshi kwenye mpaka wa Ukraine, Rais Joe Biden aliahidi kuilinda Ukraine endapo Urusi itaivamia.