Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Zile drone Putin anaonyeshwa kwamba hayuko salama anga lake akileta fyokofyoko zaidi atashughulikiwa on the spot, sasa kama ni Washington basi putini arushe japo kajiwe kadogo kule Marekani kama hatashuhudia vumbi Kremlin
Maliza ya chooni kwanza siyo kupayuka akati unakata gogo
 
Kuwa na akili basi hata kidogo. Kusema vile haimaanishi kwamba waliofanya hilo jaribio sio Ukrainians. Kuna uwezekano wa Ukrainians waliingia Moscow kwa mission maalumu
Si ndio wametuma salamu Kwa drones ? kama ninyi mashababi sogezeni pua zenu hata Alaska tu maana Marekani wana mpaka na Russia
 
Hata North Korea ana mabomu hatari lakini hakuna kati yao mwenye ujasiri wa kushambulia eneo la ardhi ya Marekani. Hilo lipo hivyo iwe unapenda kulisikia au hupendi linabaki kuwa hivyo.
Hawawezi kujaribu huo ujinga , as the matter of fact watu wengi hamna wanachojua kuhusu warfare na Marekani ,hamna taifa linaweza na linatamani kupigana vita na Marekani ni suicide , Marekani ana military bases 800 + ukiachilia mobile military ships na submarines ambazo nazo tu ni ngome za kivita na launching pads za missiles na aina nyingine ya silaha nzito dhidi ya adui yake ,so hii inalifanya taifa la Marekani kuwa na uwezo wa ku lpigana vita Kona yoyote dunia hii , pia global satellite and telecommunications recounasance system ambayo ni unparraled dunia nzima , so we unalaunch hivyo vitakataka vyako wakati anajua locations zake na kila kinachoendelea kwako , atakutwanga na kukusambaratisha vibaya kabla hata hujafanya ulichowaza ,wewe ukijidai unalaunch missiles kupiga USA wao wana ngome zao karibu na wewe na washakunyoosha vibaya mno mapema.

Uncle Sam sio zwazwa ,pesa anayotumia kuendesha hizo ni combined Gdp sijui ya nchi ngapi ,acheni utani kabisa na hilo taifa
 
Hawawezi kujaribu huo ujinga , as the matter of fact watu wengi hamna wanachojua kuhusu warfare na Marekani ,hamna taifa linaweza na linatamani kupigana vita na Marekani ni suicide , Marekani ana military bases 800 + ukiachilia mobile military ships na submarines ambazo nazo tu ni ngome za kivita na launching pads za missiles warfareba aina nyingine ya silaha nzito dhidi ya adui yake ,so hii inalifanya taifa la Marekani kuwa na uwezo wa ku lpigana vita Kona yoyote dunia hii , pia global satellite and telecommunications recounasance system ambayo ni unparraled dunia nzima , so we unalaunch hivyo vitakataka vyako wakati anajua locations zake na kila kinachoendelea kwako , atakutwanga na kukusambaratisha vibaya kabla hata hujafanya ulichowaza ,wewe ukijidai unalaunch missiles kupiga USA wao wana ngome zao karibu na wewe na washakunyoosha vibaya mno mapema.

Uncle Sam sio zwazwa ,pesa anayotumia kuendesha hizo ni combined Gdp sijui ya nchi ngapi ,acheni utani kabisa na hilo taifa
Unadanganywa sana na sinema. Kwenye uhalisia marekani ni joka la kibisa. Angalia anavyoumbuka hapo Ukraine yahani maneno mengi vitendo zilo
 
Russia kachanganyikiwa. Amebakia kutishia Nuclear.
As if ana ubavu wa kutumia hizo nukes ,nchi inayotishia nukes ni ya kipumbavu ukitumia nukes unafutwa kwenye uso wa dunia ,nchi masikini kama Pakistan Tu wana silaha za nuclear ,yeye anamtisha nani na nukes ?

Utumie nukes na. Wenngine wamekuangalia Tu ?
 
Ukraine ianze kutembeza kipondo kizito ndani ya Urusi ,hiyo ndio namna bora ya kudeal na agressor
Hata marekani wenyewe wamewashauri Ukraine kutokufanya hivyo Kwa Sababu wanaakili.wanajua kitakachotokea Ukraine wakivuka mstari mwekundu.
 
Jana usiku Kiev ikipigwa Kwa milipuko huku Kherson ya Ukraine watu 12 Waliuawa Kwa Sababu ya hizo drone ambazo hazikuwa na madhara.

Ndio nini hiyo sasa, hivi unajua tunaongea kuhusu Urusi, yaani ile Urusi ambayo niliisika siku zote ndio hii? Ambayo inateswa na kajirani hapo hadi drons zinachezea ikulu....ndio maana waarabu wenu wameitelekeza.
 
Hamn madhara yoyote kuna air defence system wakati Ukraine wengi walipoteza Maisha Kwa Sababu ya ugaidi WA serikali Yao.

Mzee wa "nonesense" tumia akili kidogo.....supapawa anachokonolewa kizembe ikulu....
 
Back
Top Bottom