Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Aibu ndio inepelekea watamke hivyo.kuwa.Marekani ndio.imeshambulia Kremlin

Wameona wakisema Ukraine ndio kushambulia hata warusi wangekosa imani na serikali na jeshi.

Wameona wataje taifa kubwa

Lakini uongo Ukraine ndie kamtwanga
Wanajiingizia kidole na kucheka we yes Warusi
 
Unasema tu wewe. Russia ni muungwana anapima madhara yatakayotokea. Russia inaongozwa na Putin, kiongozi anayejitambua, angekuwa sampuli za akina Adolf Hitler leo hii makombora kadhaa yameshatumwa kule US na kimewaka.

Mataifa kama Iran, North Korea, Na wengineo wanaomtamani sana US watajoin vita hivi na hapata kalika utakuwa ndio mwisho wa dunia maana zitarushwa silaha za kinyuklia za kimaangamizi ambazo sumu yake itafunga anga kwa hewa nzito itakayo block jua kabisa na kisababisha mimea na mazao kufa ndani ya siku kadhaa.

Tutakula tu bidhaa za viwandani na za kusindika ambazo nazo baada ya muda zitaisha then itabidi tuanze kulana wanadamu then tutaisha wachache watasurvive na itachukua miaka kadhaa kwa hali kuwa shwari.

Sasa wadhani mrussia ni mjinga kiasi hicho hadi kuhatarisha amani na usalama wa Dunia ili tu kumjibu huyu mbumpavu m'moja, mleta chokochoko duniani asiyejua vibaya ambaye kutwa kucha matako yake anahangaika na mataifa mengine kuyaingilia malaya mkubwa huyu Marekani. Shenzi kabisa.
Sura yako ni ya ki-jihadist kabisa wala huwezi kupinga.
 
So tutegemee respond kutoka kwa Mrusi au ataachwa Mmarekani na kugeukiwa Ukraine ambaye hakuhusika?
Nadhani wame revenge lile dude lao lililoangushwa bahari nyeusi
 
Hii Urusi yenu imekua bonge la useless, sasa wanalia nini, wafanye tuone.
Drones zinafika hadi chumbani.
Wewe hujielewei hujaona watu wa Ukraine wanauawa Kwa Sababu ya drone?yaani hawajapata madhara lakini Ukraine wamepata misiba.
 
Hii Urusi yenu imekua bonge la useless, sasa wanalia nini, wafanye tuone.
Drones zinafika hadi chumbani.
Jana usiku Kiev ikipigwa Kwa milipuko huku Kherson ya Ukraine watu 12 Waliuawa Kwa Sababu ya hizo drone ambazo hazikuwa na madhara.
 
Mzee wa nonsense lini umekua na akili, drone inachezea ikulu ya supapawa.
Hamn madhara yoyote kuna air defence system wakati Ukraine wengi walipoteza Maisha Kwa Sababu ya ugaidi WA serikali Yao.
 
Back
Top Bottom