Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,265
- 8,094
unamaanisha utashi au vifaa?Russia HAINA UWEZO WA KUFANYA SHAMBULIO LOLOTE NDANI YA ARDHI YA US.
unamaanisha utashi au vifaa?Russia HAINA UWEZO WA KUFANYA SHAMBULIO LOLOTE NDANI YA ARDHI YA US.
Vita vya Vietnam na USA China na Russia walikuwa wana wapa support Vietnam.Russia angekuwa na uwezo basi kipindi kile Marekani alipoamua kumsaidia Ukraine silaha ndio angeivamia Marekani lakini akaamua kufyata hivyo hamna anachoweza kufanya, ni blaa blaa tu.
Usitutishe kwan kabla ta dollar sisi hatukuwa na uwezo wa kuishi, tutatafuta namna ya kuishi bila dollar.Wakipigana dollar 1 itafika 10000
Maana tutakosa mafuta, watalii hawatakuja
Unasema tu wewe. Russia ni muungwana anapima madhara yatakayotokea. Russia inaongozwa na Putin, kiongozi anayejitambua, angekuwa sampuli za akina Adolf Hitler leo hii makombora kadhaa yameshatumwa kule US na kimewaka.Russia HAINA UWEZO WA KUFANYA SHAMBULIO LOLOTE NDANI YA ARDHI YA US.
Hakuna kitu atafanya Marekani ni taifa coward sana. Yeye anabakia kuonea vitaifa vidogo tu.Zile drone Putin anaonyeshwa kwamba hayuko salama anga lake akileta fyokofyoko zaidi atashughulikiwa on the spot, sasa kama ni Washington basi putini arushe japo kajiwe kadogo kule Marekani kama hatashuhudia vumbi Kremlin
Putin hawezi kupelekwa popote.Ukraine amesema hawashambuliagi wahalifu wa kivita yeye Putin asubiri kupelekwa mahakamani
Masanja mkandamizaji wa Ukraine anamjambisha Putin, itafika muda Putin ataelewa tu.

ila ushangai ukomavu wa kidume kimoja kinaitwa Zele kulila dubwana kubwa jinga kama askar wa zenji

Russia whooh! Whooh! Nyingi kama Mbwa Koko 😅😅Urusi yadai, Marekani ndiye alihusika na drone na si Ukraine.
Je, tutegemee nini?
BREAKING: Russia claims the US is behind drone attack on Kremlin and that decisions to conduct such operations are taken in Washington DC, not Kyiv
Imesema inapanga jinsi ya kulipa
Kumbe ndo maana hawajajibu
-----
Just in from Moscow: Putin spokesman Dmitry Peskov claims without evidence that the US is behind the drone attack on the Kremlin. "We know very well that decisions on such actions and such terrorist attacks are made not in Kyiv but in Washington." via Russian state media
Ndo unavyojidanganyaMasanja mkandamizaji wa Ukraine anamjambisha Putin, itafika muda Putin ataelewa tu.
Huoni kila siku watu wanauawa Ukraine na makombora ya kirusi?wasipowasikiliza warusi wataendelea kuuawa na urusi ataendelea kuchukua Maeneo.Russia whooh! Whooh! Nyingi kama Mbwa Koko![]()
Response not respondSo tutegemee respond kutoka kwa Mrusi au ataachwa Mmarekani na kugeukiwa Ukraine ambaye hakuhusika?
well saidRussia HAINA UWEZO WA KUFANYA SHAMBULIO LOLOTE NDANI YA ARDHI YA US.
Unaota wewe sio bure
Urusi anatapa tapa tu
Mwanzo alisema Ukraine ndo kahusika na atajibu
Leo anasema Marekani ndiye mhusika
Marekani amekanusha kuhusika