Mkuu kuna habari humu za kuaminika kwamba Joe Biden aliwasilina na Putin kuhusu ujio wake huko Ukraine baada ya ziara yake mchini Poland - lengo la mawasiliano hayo ni kwamba pasije pakatokea miscalculation ya kuburumisha maroketi mabom wakati Biden aliwa ziarani huko Ukraine - yote hayo yalikuwa ni maigizo tu, Putin,Biden na Zelensky hata Rais wa Poland walijua in advance nini kinaendelea nyuma ya pazia - wana siasa walivyo wa ajabu Bifen alipo wasili tena Poland akitokea Kiev akaanza kumsema vobaya tena Putin kasahau kwamba yeye na washauri wake ndio walimsihi Putin hasishabulie Kiev, Biden akiwa ziarani huko, kichekesho kingine: baada ya Biden kuondoka Kiev Zelensky akaanza kuvurumisha makombora eti ya kutungua roketi na ndege za Urusi zilizokuwa zinataka kushambulia mji wa Kiev - hivyo wakazi wa Kiev wajione wako salama kabisa - kumbe ni ulaghai wa litaka kuwachota watu akili, siku hiyo hakuna kombora wa ndege za Urusi zilizoingiananga la Ukraine.