Sasa taja taifa kubwa basi manake mi nadhan Russia ni giant na China na wote wanapata kibanoHakuna kitu atafanya Marekani ni taifa coward sana. Yeye anabakia kuonea vitaifa vidogo tu.
kama unagundua marekani alijua urusi aliisaidia vietnam ila marekan alidili na shida zake ila sasa hv urusi kila siku kulalamikia wanaomsaidia ukraine , na bado hujagundua mkorofi nani? urusi ni waliaji liaji sanaMambo mengine jaribuni kufanyaka kautafiti kidogo au kusoma historia - hivi VietNam ilipo kuwa inasaidiwa na Urusi kwenye ya silaha za kutungulia ndege zikiwemo phantom na B-52, helicolpters - more than 20thousand American military flying machines were brought down by VietNamese air defense systems (S-75) and MiG-21 (a supersonic fighter by that time). Mbona hamsemi kwa nini Amerika haikuivamia Urusi kwa sababu ya kuwapatia silaha WavietNam walikuwa wanapukutusha ndege za Kimerikani kila kukicha mwisho wa siku Amerika ikafunga virago na kuondoka VietNam kwa aibu - check video clip wakati wanajeshi wa Kimerinani na majenerali wakitimka bila viatu wakikimbia vifaru na jeshi la VietCong huko Saigon - huwa sielewi kwa nini baadhi ya waswahili wana tendency ya ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Taifa la Merikani - mbona uwezo huo hakuoona huko VietNam, Cambodia na Laos, mbona hakuuuona huko Afghanistani - wanapigana na Watebanani kwa miaka ishirini halafu wana waachia tena watelibani kutawala ie on drivers seat - hii wapi na wapi.
Labda nikukumbushe kwamba Urusi inajulikana kama Super power for a good reason - nyie endeleeni na imani zenu za ajabu sana - hivi kwa akili za kawaida Amerika inaweza kwelikudhubutu kuoiga vita ya ana kwa ana na URUSI - msilete utani, kuhusu Ikulu ya Merikani kushambuliwa kirahisi Urusi ikihamua hilo ni suala dogo kwao - wanatuma hyoersonic missiles au glide vehicles hata SARMAT ambazo Amerika nzima haina kinga yoyote dhidi ya makombora hayo hatarishi au wewe huna habari na ukweli huo.
Bhangi haijawahi kumwacha mtu salama,ni kweli,hata mimi nimekubali.Russia HAINA UWEZO WA KUFANYA SHAMBULIO LOLOTE NDANI YA ARDHI YA US.
Jidanganye ila ukweli ni kwamba russia ikipiga usabasi marekani awawezi kufanya chochote zaidi ya kutafuta upatanishi
Kuna watu mna upuuzi mwingi Sana na kukosa kufikiria mrusi anamlalamikia Sana mmrekani kuhusu hii Vita jiulize swali jepesi rais wa marekani alaenda Ukraine kwanini mrusi asingemuua. Maana adui kajileta kwenye uwanja wa Vita mwenyewe.Jidanganye ila ukweli ni kwamba russia ikipiga usabasi marekani awawezi kufanya chochote zaidi ya kutafuta upatanishi
Kabisa mkuu. Unapinga kuonea na wewe unamuonea mtu Nani hatakuelewaKama wanapinga uonevu waanze kujitoa huko ukraine kuonesha hawapendi migogoro
Unakusudia hawa USA waloanza kuwapa haki watu weusi miaka ya 60’s na wanawake kupiga kura miaka ya 20’s?. USA hii hii yenye kambi za kijeshi kila kona ya Dunia?. Unajua kama wakoloni wali watawala machief na sio kama walipigana na kutawala?.so open door policy ilikuwa uongo ? subir usa ianguke ndo utakuja juwa usa ndo anawafanya europe wasirudi afrika ila europe wanatamani sn kurud afrika
Mkuu kuna habari humu za kuaminika kwamba Joe Biden aliwasilina na Putin kuhusu ujio wake huko Ukraine baada ya ziara yake mchini Poland - lengo la mawasiliano hayo ni kwamba pasije pakatokea miscalculation ya kuburumisha maroketi mabom wakati Biden aliwa ziarani huko Ukraine - yote hayo yalikuwa ni maigizo tu, Putin,Biden na Zelensky hata Rais wa Poland walijua in advance nini kinaendelea nyuma ya pazia - wana siasa walivyo wa ajabu Bifen alipo wasili tena Poland akitokea Kiev akaanza kumsema vobaya tena Putin kasahau kwamba yeye na washauri wake ndio walimsihi Putin hasishabulie Kiev, Biden akiwa ziarani huko, kichekesho kingine: baada ya Biden kuondoka Kiev Zelensky akaanza kuvurumisha makombora eti ya kutungua roketi na ndege za Urusi zilizokuwa zinataka kushambulia mji wa Kiev - hivyo wakazi wa Kiev wajione wako salama kabisa - kumbe ni ulaghai wa litaka kuwachota watu akili, siku hiyo hakuna kombora wa ndege za Urusi zilizoingiananga la Ukraine.Kuna watu mna upuuzi mwingi Sana na kukosa kufikiria mrusi anamlalamikia Sana mmrekani kuhusu hii Vita jiulize swali jepesi rais wa marekani alaenda Ukraine kwanini mrusi asingemuua. Maana adui kajileta kwenye uwanja wa Vita mwenyewe.
Mshana haya ndiyo maneno. Tuanze upya tuWaache wazidi kuchokoana wakichoka watazipiga kavukavu


Masikini BidenWe jamaa Huwa una upumbavu mwingi, huenda ulizaliwa kabla ya siku zako!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app



Ona hii nyanyaNa Yale mapipa yao ya gongo S-300 na S-400 walikuwa wamehifadhiwa gongo ? , Tena wangeifunga hiyo drone na biological weapons isafishe mji mzima wa kremlin kabisa .
Wao wanavyopiga missiles kila siku Ukraine na kujeruhi watu na wengine kufa wanaona ni sawa sio ? ,Kuvamia na kukalia ardhi isiyo yao na kufanya uharibifu wanaona poa sio?
Thibitisha kuwa maadui wapo Urusi na si njama za Warusi wenyewesasa unapinga nini ? narudia tena maana yake maadui wapo ndani ya urusi tena mji mkuu , sijui bado unatetea nini ? ambacho unataka na mimi nitumie akili yako sio common sense
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app

Ona hii ng'ombeUrusi ni nyoka wa kibisa.
Ona hii kobeWampe dogo zele missiles awanyooshe hao wapuuz wanaoona raha kuvamia na kuharibu nchi nyingine
Ona hii mbuziUkraine ianze kutembeza kipondo kizito ndani ya Urusi ,hiyo ndio namna bora ya kudeal na agressor
Ona hii mkiaRussia kachanganyikiwa. Amebakia kutishia Nuclear.
Hahahah source?Kuna shushushu moja la Urusi lilikamatwa likahojiwa akasema Putin ni mtu mwenye hofu sana hana utulivu wa maisha anapenda kujibadilisha sura, ukisikia Putin ameenda kutembelea Crimea kumbe sio yeye ni wa bandia
Hapelekwi popoteAsipelekwe kokote kwani yeye ni Mungu labda ni Mungu wenu mnamuona hawezi kupelekwa kokote
Afanye aoneUnaota wewe sio bure