Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Kuwa na akili basi hata kidogo. Kusema vile haimaanishi kwamba waliofanya hilo jaribio sio Ukrainians. Kuna uwezekano wa Ukrainians waliingia Moscow kwa mission maalumu
sasa unapinga nini ? narudia tena maana yake maadui wapo ndani ya urusi tena mji mkuu , sijui bado unatetea nini ? ambacho unataka na mimi nitumie akili yako sio common sense

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wampe dogo zele missiles awanyooshe hao wapuuz wanaoona raha kuvamia na kuharibu nchi nyingine
 
Pumbafu. Waambie marekani wapige kombola Moscow or norh Korea alafu uone kama hawatamjibu
Hakuna nchi yenye ubavu wa kupambana na USA. Russia amalizane Kwanza na Ukraine aache ujinga. Anaiwaza marekani wakati Ukraine imetait kisaswasa.
 
Mambo mengine jaribuni kufanyaka kautafiti kidogo au kusoma historia - hivi VietNam ilipo kuwa inasaidiwa na Urusi kwenye ya silaha za kutungulia ndege zikiwemo phantom na B-52, helicolpters - more than 20thousand American military flying machines were brought down by VietNamese air defense systems (S-75) and MiG-21 (a supersonic fighter by that time). Mbona hamsemi kwa nini Amerika haikuivamia Urusi kwa sababu ya kuwapatia silaha WavietNam walikuwa wanapukutusha ndege za Kimerikani kila kukicha mwisho wa siku Amerika ikafunga virago na kuondoka VietNam kwa aibu - check video clip wakati wanajeshi wa Kimerinani na majenerali wakitimka bila viatu wakikimbia vifaru na jeshi la VietCong huko Saigon - huwa sielewi kwa nini baadhi ya waswahili wana tendency ya ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Taifa la Merikani - mbona uwezo huo hakuoona huko VietNam, Cambodia na Laos, mbona hakuuuona huko Afghanistani - wanapigana na Watebanani kwa miaka ishirini halafu wana waachia tena watelibani kutawala ie on drivers seat - hii wapi na wapi.

Labda nikukumbushe kwamba Urusi inajulikana kama Super power for a good reason - nyie endeleeni na imani zenu za ajabu sana - hivi kwa akili za kawaida Amerika inaweza kwelikudhubutu kuoiga vita ya ana kwa ana na URUSI - msilete utani, kuhusu Ikulu ya Merikani kushambuliwa kirahisi Urusi ikihamua hilo ni suala dogo kwao - wanatuma hyoersonic missiles au glide vehicles hata SARMAT ambazo Amerika nzima haina kinga yoyote dhidi ya makombora hayo hatarishi au wewe huna habari na ukweli huo.

..siamini kama Kremlin imeshambuliwa na Ukraine au USA.

..hiyo lazima itakuwa ni sabotage iliyofanywa na Warusi wenye access na mifumo ya ulinzi wa anga la Moscow / Urusi.
 
Urusi yadai, Marekani ndiye alihusika na drone na si Ukraine.

Je, tutegemee nini?

BREAKING: Russia claims the US is behind drone attack on Kremlin and that decisions to conduct such operations are taken in Washington DC, not Kyiv

Imesema inapanga jinsi ya kulipa

Kumbe ndo maana hawajajibu

-----

Just in from Moscow: Putin spokesman Dmitry Peskov claims without evidence that the US is behind the drone attack on the Kremlin. "We know very well that decisions on such actions and such terrorist attacks are made not in Kyiv but in Washington." via Russian state media
Yaani inasikitishana Putin alikuwa mtu ndaro sana mpaka wahuni wameenda kuigonga Kremlin hana ubavu wa kufanya chochote ananungunika tu

Halafu kumbe Urusi inapigika haiko salama, hawana ulinzi wowote wa anga, ndege mpaka inaenda kugonga mnara wa Kremlin wameshindwa ku-intersept

Putin kwa alivyo muoga humo Ikulu yake hatii tena maguu kwa woga, maamae watu wamemuonyesha tu kwamba usijidai wewe huko salama, ni vile uanze tumalize mchezo
 
Yaani inasikitishana Putin alikuwa mtu ndaro sana mpaka wahuni wameenda kuigonga Kremlin hana ubavu wa kufanya chochote ananungunika tu

Halafu kumbe Urusi inapigika haiko salama, hawana ulinzi wowote wa anga, ndege mpaka inaenda kugonga mnara wa Kremlin wameshindwa ku-intersept

Putin kwa alivyo muoga humo Ikulu yake hatii tena maguu kwa woga, maamae watu wamemuonyesha tu kwamba usijidai wewe huko salama, ni vile uanze tumalize mchezo
Wamepiga ikulu kumuonesha kwamba yeye wakawaida, na ipo siku wataingia mazima.
 
Aibu ndio inepelekea watamke hivyo.kuwa.Marekani ndio.imeshambulia Kremlin

Wameona wakisema Ukraine ndio kushambulia hata warusi wangekosa imani na serikali na jeshi.

Wameona wataje taifa kubwa

Lakini uongo Ukraine ndie kamtwanga
I got your point sir! Salute.
 
Anachofanya Russia ni kuichoresha US kwenye nchi wanachama umoja wa mataifa kwamba yeye ndio kichochezi, mnafiki na tatizo la vita hio kutoisha pia kwa kitendo hiko inaenda mbali zaidi na kuichoresha US kama mnafiki asiyeitakia mema Ukraine pia kikwazo dhidi yao katika mazungumzo ya kusimama vita.

Lakini pia inawezekana kweli NATO ndio wahusika, lakini swali la kujiuliza ni kwa sababu ipi?
 
Wamepiga ikulu kumuonesha kwamba yeye wakawaida, na ipo siku wataingia mazima.
Kuna shushushu moja la Urusi lilikamatwa likahojiwa akasema Putin ni mtu mwenye hofu sana hana utulivu wa maisha anapenda kujibadilisha sura, ukisikia Putin ameenda kutembelea Crimea kumbe sio yeye ni wa bandia
 
Dogo Zele apewe missiles na figher jet ,opereseheni ya kumng'oa dikteta mwendawazimu wa kremlin ianze
 
Back
Top Bottom