Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Urusi yadai, Marekani ndiye alihusika na drone na si Ukraine
Je tutegemee nini?

BREAKING: Russia claims the US is behind drone attack on Kremlin and that decisions to conduct such operations are taken in Washington DC, not Kyiv

Imesema inapanga jinsi ya kulipa

Kumbe ndo maana hawajajibu

-----

Just in from Moscow: Putin spokesman Dmitry Peskov claims without evidence that the US is behind the drone attack on the Kremlin. "We know very well that decisions on such actions and such terrorist attacks are made not in Kyiv but in Washington." via Russian state media
Kama wanapinga uonevu waanze kujitoa huko ukraine kuonesha hawapendi migogoro
 
Aibu ndio inepelekea watamke hivyo.kuwa.Marekani ndio.imeshambulia Kremlin

Wameona wakisema Ukraine ndio kushambulia hata warusi wangekosa imani na serikali na jeshi.

Wameona wataje taifa kubwa

Lakini uongo Ukraine ndie kamtwanga
Urusi ameshaona Ukraine amesimika hivyo akiendelea kumsingizia ni kuendelea kujidharirisha sababu watu watatarajia makubwa zaidi, ambayo hataweza kuyafanya sababu hana jipya.
Kitendo cha kuisingizia Marekani ni ile mashabiki wake wasitarajie lolote kutoka Russia kwenda US...Marusi mafala sana😀
 
Urusi yadai, Marekani ndiye alihusika na drone na si Ukraine.

Je, tutegemee nini?

BREAKING: Russia claims the US is behind drone attack on Kremlin and that decisions to conduct such operations are taken in Washington DC, not Kyiv

Imesema inapanga jinsi ya kulipa

Kumbe ndo maana hawajajibu

-----

Just in from Moscow: Putin spokesman Dmitry Peskov claims without evidence that the US is behind the drone attack on the Kremlin. "We know very well that decisions on such actions and such terrorist attacks are made not in Kyiv but in Washington." via Russian state media
Waweeke ushahidi....
 
Ni mjinga Tu asiyeamini Hilo Kwa Sababu wapanga mipango WA Ukraine ni wanajeshi au wataalam wa NATO.
 
Russia angekuwa na uwezo basi kipindi kile Marekani alipoamua kumsaidia Ukraine silaha ndio angeivamia Marekani lakini akaamua kufyata hivyo hamna anachoweza kufanya, ni blaa blaa tu.
Mambo mengine jaribuni kufanyaka kautafiti kidogo au kusoma historia - hivi VietNam ilipo kuwa inasaidiwa na Urusi kwenye ya silaha za kutungulia ndege zikiwemo phantom na B-52, helicolpters - more than 20thousand American military flying machines were brought down by VietNamese air defense systems (S-75) and MiG-21 (a supersonic fighter by that time). Mbona hamsemi kwa nini Amerika haikuivamia Urusi kwa sababu ya kuwapatia silaha WavietNam walikuwa wanapukutusha ndege za Kimerikani kila kukicha mwisho wa siku Amerika ikafunga virago na kuondoka VietNam kwa aibu - check video clip wakati wanajeshi wa Kimerinani na majenerali wakitimka bila viatu wakikimbia vifaru na jeshi la VietCong huko Saigon - huwa sielewi kwa nini baadhi ya waswahili wana tendency ya ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Taifa la Merikani - mbona uwezo huo hakuoona huko VietNam, Cambodia na Laos, mbona hakuuuona huko Afghanistani - wanapigana na Watebanani kwa miaka ishirini halafu wana waachia tena watelibani kutawala ie on drivers seat - hii wapi na wapi.

Labda nikukumbushe kwamba Urusi inajulikana kama Super power for a good reason - nyie endeleeni na imani zenu za ajabu sana - hivi kwa akili za kawaida Amerika inaweza kwelikudhubutu kuoiga vita ya ana kwa ana na URUSI - msilete utani, kuhusu Ikulu ya Merikani kushambuliwa kirahisi Urusi ikihamua hilo ni suala dogo kwao - wanatuma hyoersonic missiles au glide vehicles hata SARMAT ambazo Amerika nzima haina kinga yoyote dhidi ya makombora hayo hatarishi au wewe huna habari na ukweli huo.
 
Acha porojo na uandishi wa makala zisizo na mashiko. Katika vita vya Vietnam Marekani ilikuwa inaisadia Vietnam Kusini, USSR(Sio Russia) na China walikuwa wanaisaidia Vietnam Kaskazini.

Back
Top Bottom