Urusi: Hatutishwi na blah blah za Trump na Magharibi

Si ndiyo hapo mkuu!! Yaani baadhi ya viongozi mafara wa Ulaya wako radhi kununua nishati kutoka Merikani kwa mwendo wa kuruka kuliko kununua huko huko Ulaya kwa bei nafuu sana ya huko Urusi, akili za baadhi ya Viongozi wa nchi za Ulaya za ajabu Sana, ukiwauliza hivi kwa nini mnaichukia Urusi kiasi hicho, ukiwahoji hivyo hawana jibu LA kulidhisha wanaji huma huma tu wakati ukweli ni kwamba Warusi ndiyo walikomboa karibu bara lote LA Ulaya kutoka kwenye makucha ya jeshi LA Hitler,bila ya Urusi kuingilia kati na kukomesha udhalimu WA Hitler Ulaya nzima ingekuwa inazungumza Kijerumani hivi sasa.
Pesa wanazonunulia nishati ni za kwao, Ulaya ni majirani wa Urusi na wanaijua Urusi vizuri kuliko wewe Mmatumbi kwa hiyo sio rahisi uweze kuelewa kwa nini hawaikubali. Vita vya pili vya dunia vilimalizwa na Marekani, kuingia kwa Marekani katika vita ndio kulibadilisha kabisa muelekeo wa hiyo vita na kuifupisha, pia kilichosababisha Urusi kutoanguka mikononi mwa Hitler katika Operation Barbarossa ni kwa sababu ya hesabu mbaya za Hitler na sio ubora wa jeshi la USSR.
 
Duh mchambuz WA vita ya pili ya Dunia kutokea Rambo Manzese
 
Pesa wanazonunulia nishati ni za kwao, Ulaya ni majirani wa Urusi na wanaijua Urusi vizuri kuliko wewe Mmatumbi kwa hiyo sio rahisi uweze kuelewa kwa nini hawaikubali. Vita vya pili vya dunia vilimalizwa na Marekani, kuingia kwa Marekani katika vita ndio kulibadilisha kabisa muelekeo wa hiyo vita na kuifupisha, pia kilichosababisha Urusi kutoanguka mikononi mwa Hitler katika Operation Barbarossa ni kwa sababu ya hesabu mbaya za Hitler na sio ubora wa jeshi la USSR.
Unazungumza vitu gani lakini?? Operation Babarosa si ilianzishwa na jeshi la Hitler kwa kuivamia Urusi mapema mwaka 1941, Kama Hitler angetumia nguvu hizo hizo kuvamia Continental Europe -Ulaya nzima ingekuwa inazungumza kijerumani hivi sasa, kitu kingine Urusi haikuomba msaada kutoka Merikani vifaa vyote has a High Explosives,Malori na chakula cha makopo kwa ajili ya wanajeshi - vyote hivyo ilipewa kama mkopo siyo bure na wamerudisha/lipia mkopo huo mpaka kwenye miaka ya 1960s.

Bottom line is: Urusi ingeshinda vita with or without Americans' help hapo ndipo watu upenda penda sana ku-distort ukweli WA MAMBO, we unafikiri kwa nini kwa mfano Merikani ilidondosha mabom ya Nuclear Hiroshima na Nagasaki wakati wakijua Japan alikuwa mbioni kusitisha VITA, hapakuwepo umuhimu wowote WA kodondosha mabomu hayo Japan, Truman alitoa idhini ya kudondosha mabom hayo akiwa na lengo la kuzuia Jessi LA Urusi lisivamie Japan maana Urusi ilitangaza vita dhidi ya Japan baada ya kuishinda huko Manchuria, kilocho kuwa kinaendelea pale ni Truman kujaribu kumtunia misuri Stalin lakini Stalin ndani ya miaka mitatu akalipua LA kwake kuanzia hapo ndiyo arm race na cold war vikahibuka, soma kiundani madhumuni ya Urusi kuunda bomb LA Tzar LA Bomba karibu miaka sitini imekwisha pita tangu bomb hilo lijaribiwe na hakuna Taifa lolote lilo wahi kuvunja record ya nguvu za mlipuko WA Tzar La Bomba na kumbuka wana sayansi wali water down nguvu za Tzar La Bomba kutaka 100 Mega Ton za TNT to 50 MT, je kama lingebakia na 100 MT kungetokea nini, si ingekuwa balaa!! Hivi sasa wenzetu wana SARMAT, 100MT submarine drones, Hypersonic Missiles, Glide Vehicles, nuclear propulsion missiles ambazo zinaweza kubaki anga za juu miaka na miaka bila ya kuhitaji kuwa refueled - hawa watu siwa kuchezea, lakini wakitaka kuwajarobu let them try, yetu macho.
 
Wewe acha mbwembe na kurukia mada za arm race, bila Lend-Lease program ya US, Ulaya na USSR walikuwa walale doro kwa Hitler au wapigane kwa miaka mingine mingi zaidi kwa uharibifu mkubwa zaidi na mauaji mengine ya mamilioni ya watu zaidi.
 
Wangelala doro vipi wacha uongo wako, soma vizuri historia bila ya kuwa overly biased kwa kumfanya kila mtu ni mjinga, mimi nilitaka members wajue the other side of the COIN, sasa kinacho kukasirisha ni kitu gani, labda tuanzie hapo.

Narudia kwa mara nyingine tena kusema hivi: Warusi wangemshida Hitler without lend-lease program kutoka popote Merikani notwithstanding, husitake kulazimisha watu wakubaliane na maoni yako,

Kitu kingine hapa tunazungumzia kuhusu suala la WW2 na after effect zilizo sababishwa na vita hiyo ambazo zipo mpaka leo, hatuwezi kupuuzia ukweli eti "badala yake tuendelee kuamini" kwamba bila ya American lend lease program basi Dunia inge endele kubaki maskini mpaka leo - F.Y.I lend lease program haikuwa cure all like Asprin/Panadol, mbona Wachina,Wahindi na Wakorea wako mbali sana kiuchimi,kiteknolojia,je,na wao walikuwa kwenye program ya L.L, jibu ni hapana.
 
Pesa wanazonunulia nishati ni za kwao, Ulaya ni majirani wa Urusi na wanaijua Urusi vizuri kuliko wewe Mmatumbi kwa hiyo sio rahisi uweze kuelewa kwa nini hawaikubali. Vita vya pili vya dunia vilimalizwa na Marekani, kuingia kwa Marekani katika vita ndio kulibadilisha kabisa muelekeo wa hiyo vita na kuifupisha, pia kilichosababisha Urusi kutoanguka mikononi mwa Hitler katika Operation Barbarossa ni kwa sababu ya hesabu mbaya za Hitler na sio ubora wa jeshi la USSR.
Usitudanganye mkuu embu acha uongo,ubora wa Red army ndio uliamua ushindi dhidi ya Hitler.
 
Wangelala doro vipi wacha uongo wako, soma vizuri historia bila ya kuwa overly biased kwa kumfanya kila mtu ni mjinga, mimi nilitaka members wajue the other side of the COIN, sasa kinacho kukasirisha ni kitu gani, labda tuanzie hapo.

Narudia kwa mara nyingine tena kusema hivi: Warusi wangemshida Hitler without lend-lease program kutoka popote Merikani notwithstanding, husitake kulazimisha watu wakubaliane na maoni yako,

Kitu kingine hapa tunazungumzia kuhusu suala la WW2 na after effect zilizo sababishwa na vita hiyo ambazo zipo mpaka leo, hatuwezi kupuuzia ukweli eti "badala yake tuendelee kuamini" kwamba bila ya American lend lease program basi Dunia inge endele kubaki maskini mpaka leo - F.Y.I lend lease program haikuwa cure all like Asprin/Panadol, mbona Wachina,Wahindi na Wakorea wako mbali sana kiuchimi,kiteknolojia,je,na wao walikuwa kwenye program ya L.L, jibu ni hapana.
You nailed it bro.
 
Usitudanganye mkuu embu acha uongo,ubora wa Red army ndio uliamua ushindi dhidi ya Hitler.
Mkuu Kosugi nikwambie kitu?? Ukitaka ku-reason na some members ambao wamekwisha honja au kunywa maji ya bendera ya Kimerikani mtabishana usiku kucha, wako radhi hata kupindisha hata historia ya kweli kuhusu siyo WW2 tu, hata mambo mengine ambayo ni too obvious - kwao Dunia ni America, uwambii kitu wakakuelewa!!
 
Back
Top Bottom