Labda nikuhoji kidogo, hivi Jeshi la Merikani iliwachukua miaka mingapi wakipigana huko VietNam na wakashindwa vibaya sana hilo mbona huwa hamlisemi? Afghanistan,je, na huko mambo yalijirudia hivyo hivyo, jeshi LA Merikani lilitimuka bila ya kuvaa hata viatu wakiwakimbia Wateliban akina Mulla Omari - tukija huko Ukraine licha ya kupewa silaha pia na askari/wanajeshi wakukodishwa kutoka mataifa ya magharibi, nawambieni licha ya msaada huo wote (narudia): WA silaha,manajeshi na fedha kutoka magharibi - Ukraine haiwezi kumaliza mwaka huu bila ya kushindwa VITA na jeshi la Urusi, na siku 50 ambazo Trump ameipa Urusi kwamba sijui wasitishe vita na kuja kwenye meza ya mazungumzo, mtu ungetegemea kauli hiyo angemwambia Zelensky na siyo Putin - Trump akumbuke kwamba Urusi si taifa la kutishwa tishwa na Amerika, kijeshi Urusi ndilo Taifa pekee Duniani la kuiweza Merikani, neck to Neck,hivyo Warusi wasichukuliwe poa hata kidogka