Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Jitahidi kunywa maji ya kutosha na utengeneza na juice ya ukwaju utumie hii itakusaidia!!
 
Baada ya kwenda kupima na kukutwa na uti 34 nilianza kutumia amoxilline kama doze mbili ivi bila mafanikio ya kupona nikaamua kwenda duka la dawa ya uti ya dose ya siku chache nikapewa AZUMA ambayo nimeitumia kwa siku tatu ambayo dose nimemaliza jana usiku lakini nimeishia kupata nafuu kiasi tu lakini nahisi bado uti ipo haijaisha ,au nina uti sugu au AZUMA sio dawa sahihi nimeingizwa mjini au nina uti sugu mana sielewi,NAOMBENI USHAURI MANA NAOGOPA NIDIJESHINDWA KUGEGEDA PAPUCHI NIKIRUDI ARUSHA MANA NIPO RIKIZO SASA HIVI MORO YAPATA MWEZI SASA
Acha kula D2 na ukarudia D1 bila kujisafisha. Ukiamua kula D2 kaa huko huko tu. Ndiyo njia ya kukwepa UTI
 
M
Mwanaume UTI umeitoa wapi??..au mambo yenu ya kifirauni

Na hivi vihospitali uchwara ukienda tu unaumwa wanakuambia UTI..huwezi kuconfirm kuwa mtu ana UTI 100% bila kufanya culturing ni bacteria gani aliyeleta infection na ili pia iwe rahisi kutibu
Mkuu hapana, mi mwenyewe nashangaa nimeipataje mana nina mwezi mmoja sasa sijagegeda
 
Huwezi kupona uti kama bado unakula/unakunywa/unatumia vitu vinavyo chochea bacteria wasababishaji kuzidi kuzaliana
 
Huwezi kupona uti kama bado unakula/unakunywa/unatumia vitu vinavyo chochea bacteria wasababishaji kuzidi kuzaliana

Kweli unachosema natakiwa niache kula baadhi ya vyakula vya sukari mana naskia ni chakula cha bacteria
 
Nielekeze jinsi ya kutumia naomba
Bicarbonate of soda nusu kijiko cha chakula,changanya na maji safi na salama ya kunywa kiasi cha Mils 400(nusu lita kasoro mils 100),koroga mpk B/soda iyeyuke,kunywa maji yote.Subiri baada ya dk 45 ndio unywe chai.

Mchana tengeneza mchanganyiko mwingine na usiku pia.Kumbuka kusubiri dk 45 kabla ya kupata mlo

Kama U.T.I yako ni sugu,tumia dozi hiyo kwa siku 7 kama sio sugu,siku 3.

Baada ya kumaliza dozi,nenda kapime,utaleta mrejesho

NOTE: tumia Bicorbanate of soda(hii ina chapa ya simba na box lina rangi nyekundu na blue) na sio baking powder.
 
Unapotumia antibiotics unatakiwa kuzingatia muda wa dawa, kumaliza dose na kuacha pombe.
Doc ile
1. dose ya sindano ni effective kiasi gani ?
3. Ni kweli kwamba dose ya sindano inatibu haraka/kwa usahihi Severe UTI kuliko dose ya Vidonge ?
 
Doc ile
1. dose ya sindano ni effective kiasi gani ?
3. Ni kweli kwamba dose ya sindano inatibu haraka/kwa usahihi Severe UTI kuliko dose ya Vidonge ?
Mimi si daktari bwana ila sindano hutibu haraka kwani inaingia moja kwa moja kwenye mzunguko wa damu wakati vidonge vinapitia tumboni kwanza
 
Mimi si daktari bwana ila sindano hutibu haraka kwani inaingia moja kwa moja kwenye mzunguko wa damu wakati vidonge vinapitia tumboni kwanza
Vipi kuhusu usahihi. Kwamba sindano zinatibu vizuri UTI iliyokomaa kuliko vidonge ?
 
Vipi kuhusu usahihi. Kwamba sindano zinatibu vizuri UTI iliyokomaa kuliko vidonge ?
Umeshawahi kufukiria kuwa ni kwa nini baada ya ajali majeruhi walioumia sana wanapewa dawa kwa njia ya mishipa ta damu? Ni quick recovery and healing process.
 
Kuna tofauti kati ya U.T.I=Urinary tract infection na
S.TD=Sexual transmitted disease.
Naona wewe umeandika kuwa una U.T.I lakini kama ni mwanaume kupata U.T.I ni kama haiwezekani vile kwa kuwa njia kuu ya kupata U.T.I ni bacteria kutoka njia ya haja kubwa kuhamia njia ya mkojo. Kwa wanawake ni rahisi sana kwa kuwa kuna ukaribu mkubwa sana kwa njia zote mbili.
2.U.T.I kama ilivyo S.T.D inajumuisha bacteria/virus wa aina mbali mbali. Si wote wanatibika kwa Ciprofloxacin au Tetracycline. Ushauri ni kwenda kufanya vipimo vya kitaalamu uambiwe ugonjwa ulionao kisha upate dawa badala ya kuuliza tiba za vijiweni. Uwe na siku njema.
 
Back
Top Bottom