Mkojo wangu hausafishiki(Bado wa orange)

Monomer

Senior Member
Nov 23, 2023
113
193
Kwa muda mrefu sasa nimejalibu kunywa maji mengi kiasi Cha Lita 3 kwa siku ili kupata matokeo mazuri lakini mkojo Bado mi wa orange,mkojo utakua mweupe kwa siku hiyo japo sio sana lakini kesho yake utarudi hali ya mwanzo.

Sijui pengine itakua ni UTI ambayo nimekua nikitibia sasa na mke wangu ambae anadai anawashwa ukeni tatizo ambalo tumezunguka hospital mara kibao lakini haponi,dawa mbali mbali amekua akipewa lakini haponi kwahivyo naombeni ushauri wa kitalaam jmforums madokta juu ya huu mkojo wangu.N.B nikikojoa siwashwi Wala sina muwasho wa aina yoyote kwenye uume au kwenye urethra.
 
Kuna jamaa huwa namuona maji yake ya kunywa anaweka na malimao ,anadai inasaidia.Jaribu.
 
Back
Top Bottom