Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

55#
jamani wan JF naombeni msaada kwa hili! nina kaka yangu anasumbuliwa sana na UTI kama kuna mtu anafahamu dawa nzuri anielezee! ameshakunywa sana antibiotics (cipro,cephalexin,celexin etc) lakini wapi inatoka kwa muda then inarudi!

napendelea sana tiba asilia mwenye ujuzi amwage data

kwa uti ilyo komaa uwez kuitibu kwa antbiotic za kawaida ila jarbu kumpatia AMOXCLAB
 
M
Mkuu hapana, mi mwenyewe nashangaa nimeipataje mana nina mwezi mmoja sasa sijagegeda
Aaah kumbe ndio maan wala sio UTI we tafuta demu piga hvi mwanaume utakaaje mwezi bila kufnya mapenzi kwamb Ni uhaba wa mademu mtaani au hyo ndo inakufanya kuumia kiuno dear mfate dem wako aisee kbla ya show akuchue icho kiuno kwanza akikisha unamwaga zote usibakize alafu ulete mrejesho

Unafail wap bro
 
Noma sana Wataalam wanadai kwamba;
Kati ya wanaume kumi; Basi watano Kati yao Wanasumbuliwa na fangasi either kwa kujua au kutokujua!

Kati ya wanawake kumi; Basi tisa Kati yao wanaliwa nafangasi sehem za Siri!...
Asalaaleeh pyuuuu kwa wazamiaji!!!!

Hakika Aliyeuleta huo ugonjwa na Akomee akomae huko aliko!!!
 
Chanzo cha fangasi kwa wananawake naona inachangiwa sana na vyoo pamoja na maji wanayotumia kujisafisha baada ya haja.
Na kwa bahati mbaya wanawake huwashwa sana sehemu zao za siri tofauti na sisi wanaume ambapo ni ngumu sana kujua kama fangasi ipo.
 
We jamaa sijui unanisema mimi. Hapa natoka kuchukua dawa hizi na hata sijui zinasaidia maana nimeelekezwa na muuzaji baada ya kusoma uzi humu.

Nimepata tatizo hili wiki hii. Sijui kama ni kimasihara maana mara ya mwisho ni wiki tatu na nusu zimepita. Lakini kuna dalili unusual kwake niliziona.
IMG20200802162125.jpg
 
  • Thanks
Reactions: amu
We jamaa sijui unanisema mimi. Hapa natoka kuchukua dawa hizi na hata sijui zinasaidia maana nimeelekezwa na muuzaji baada ya kusoma uzi humu.

Nimepata tatizo hili wiki hii. Sijui kama ni kimasihara maana mara ya mwisho ni wiki tatu na nusu zimepita. Lakini kuna dalili unusual kwake niliziona.View attachment 1524999
Usisahau kwenda kwenye ule uzi wenu kusimulia.
 
Ingekuwa vyoo ndio chanzo kikuu cha fangasi nadhani dunia nzima kil mtu angekuwa na fangasi.
Huwa nashangaa sana utasikia wanawake wanasingizia vyoo vya public kuwa ndio sababu ila ukweli ni kwamba fungus inatokana na uzembe wa usafi wa mwili na ngono zembe.

Mimi pia nilishakutana na hawa Carrier wa magonjwa haya mara kadhaa na nikajua balaa lake. Nimeshajitibia mara tatu hospitali maswala ya UTI, Fungus na hali ya muwasho.

Hivi vitu ni shida.....

Halafu muhusika ukimuhoji ni kama hataki kuulizwa anaona anasemwa vibaya.

Ni uchafu tu na uzembe wa kujitunza mwili.
 
Usisahau kwenda kwenye ule uzi wenu kusimulia.
Mara ya mwisho kwenda kule ni kabla hata corona haijafika Tanzania.
Nyuzi ambazo sitembelei kabisa ni kula kimasihara, kubeti, mpira na uzi wa likes. Mada za uchawi huwa sigusi kabisa.

Nakaa sana jukwaa la kimataifa na mada zake.
 
Chanzo cha fangasi kwa wananawake naona inachangiwa sana na vyoo pamoja na maji wanayotumia kujisafisha baada ya haja.
Na kwa bahati mbaya wanawake huwashwa sana sehemu zao za siri tofauti na sisi wanaume ambapo ni ngumu sana kujua kama fangasi ipo.
Mbona zamani haikuwa case miaka hii imezidi. Ina maana wanawake wa zamani huwa walikuwa hawaendi chooni.....?!
 
Mara ya mwisho kwenda kule ni kabla hata corona haijafika Tanzania.
Nyuzi ambazo sitembelei kabisa ni kula kimasihara, kubeti, mpira na uzi wa likes. Mada za uchawi huwa sigusi kabisa.

Nakaa sana jukwaa la kimataifa na mada zake.
Nenda tu Katoe ushuhuda kimasihara imekuletea hiyo ugonjwa.
Huwezi jua utaokoa wangapi.
 
Nenda tu Katoe ushuhuda kimasihara imekuletea hiyo ugonjwa.
Huwezi jua utaokoa wangapi.
Wale hawataki ushauri wanataka stories za kufanikisha. Kwanza huwezi kwepa hii maana hakuna vipimo vya fangasi mpaka hospitali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom