Urgent!!!

Julian Bauer

Member
Oct 3, 2011
8
0
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
 • Awe na utu
 • Awe mcha mungu pref christian
 • Asiwe na nyodo
 • Awe na upeo wa kujua mambo
 • Awe as natural as possible
 • Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
 • Awe na Umri kati ya 26-28
 • Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,321
2,000

i can smell utapeli wa mapenzi hapa,....haya bana ngoja waku e mail mkuu
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,689
0
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
 • Awe na utu
 • Awe mcha mungu pref christian
 • Asiwe na nyodo
 • Awe na upeo wa kujua mambo
 • Awe as natural as possible
 • Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
 • Awe na Umri kati ya 26-28
 • Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
nitajijuaje km najua au SIJUI MAMBO?
tafadhali nisaidie SI UNIT ili nijipimie nijue km NAJUA MAMBO AU DEADLY KILAZA

yours faithfull
kadala.
 
sunshine1

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
527
500
Aaah! Huu uzee nao! Nishakosa rafiki tena sababu ya umri!

Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
 • Awe na utu
 • Awe mcha mungu pref christian
 • Asiwe na nyodo
 • Awe na upeo wa kujua mambo
 • Awe as natural as possible
 • Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
 • Awe na Umri kati ya 26-28
 • Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
 
sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,960
1,250
sijasema natafuta mpenzi! nimesema rafiki! am seriuous jamani! read the post carefully!!!
Tuwekee na upande wa pili pia. Namaanisha, umri wako, mrefu/mfupi, mweupe/ mweusi, elimu yako, dini yako ukiweza na kabila pia..je wewe ni mwanafunzi? Umeoa? Una mchumba?.. Maoni yako kuhusu uchaguzi wa Igunga ni yepi?
 
Laigwanan76

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
546
250
Huna lolote wewe,ukware tu unakusumbua......technique hii ishakuwa ya zamani!........alafu inaonyesha mwoga sana wa mademu wewe,........jiamini mwanaume!

Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
 • Awe na utu
 • Awe mcha mungu pref christian
 • Asiwe na nyodo
 • Awe na upeo wa kujua mambo
 • Awe as natural as possible
 • Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
 • Awe na Umri kati ya 26-28
 • Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
Mwana Taaluma Urgently... Love Connect 25
Ufunuo Beauty lady tested hiv+ needed urgently Love Connect 9

Similar Discussions

Top Bottom