Urgent!!!

Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
  • Awe na utu
  • Awe mcha mungu pref christian
  • Asiwe na nyodo
  • Awe na upeo wa kujua mambo
  • Awe as natural as possible
  • Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
  • Awe na Umri kati ya 26-28
  • Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com

Mimi naomba kazi ya kuendesha usahili....!
 
Tuwekee na upande wa pili pia. Namaanisha, umri wako, mrefu/mfupi, mweupe/ mweusi, elimu yako, dini yako ukiweza na kabila pia..je wewe ni mwanafunzi? Umeoa? Una mchumba?.. Maoni yako kuhusu uchaguzi wa Igunga ni yepi?

Igunga tena, dah, unaweka vigezo technic sana.
 
Kwani muda kufika kuna uhusiano gani na umri? Usiwe judgemental kihivyo! Mimi kusema muda ukifika haimaanishi kuwa nasubiri kukua! I might be waiting for something else! Why are you annoyed?

mmmmh! Uzee tena? Kumbuka post yako uliyosema nawe utahitaj kama ma jery muda ukifika,sa hiz unasema uzee tena? Mwongo lazima awe na kumbukumbu
 
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
  • Awe na utu
  • Awe mcha mungu pref christian
  • Asiwe na nyodo
  • Awe na upeo wa kujua mambo
  • Awe as natural as possible
  • Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
  • Awe na Umri kati ya 26-28
  • Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com

Yaani sifa zote hizo ninazo ila hiyo moja tu ndio nimekosa, jamani huwezi kureview huo umri ukaweka hadi forty forty hivi..........
 
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
  • Awe na utu
  • Awe mcha mungu pref christian
  • Asiwe na nyodo
  • Awe na upeo wa kujua mambo
  • Awe as natural as possible
  • Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
  • Awe na Umri kati ya 26-28
  • Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
cna kigezo iko inakuaje sasa shusha umri chini mwe!
 
Tuwekee na upande wa pili pia. Namaanisha, umri wako, mrefu/mfupi, mweupe/ mweusi, elimu yako, dini yako ukiweza na kabila pia..je wewe ni mwanafunzi? Umeoa? Una mchumba?.. Maoni yako kuhusu uchaguzi wa Igunga ni yepi?
Hahaha! magwanda utawajua tu lol!
Huyu njemba vigezo vyote hivyo KUBADILISHANA MAWAZO akitaka mpenzi au mke si itakuwa page 2-3 ?
 
Back
Top Bottom