Urgent: Msaada jamani.........seriously nimekwama

nimerusha rupia 5 sawa na tsh 12,005,609..kula maisha hapo ulipo

Kwanza za siku mkuu......uliadimika sana.Nasikia unapiga box U.S nitupie kitu cha dola, rupia nina aleji nayo
 
Sasa hao ulo wa mention si unge wa PM wakusaidie shida zako...aaalaahh..

Si unajua mtu bila kutajwa hadharani kama mchangiaji hajisikii kuthaminiwa au hujui anakotokea Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
J62PM582 Imethibitishwa tarehe 25/8/2012 saa 11:15 am. Tsh20,000 Imetumwa kwa platozoom. salio lako jipya la m-pesa ni Tsh250,600
 
J62PM582 Imethibitishwa tarehe 25/8/2012 saa 11:15 am. Tsh20,000 Imetumwa kwa platozoom. salio lako jipya la m-pesa ni Tsh250,600

Mtalaka huwa hatongozwi.............usiwe na shaka nitahakikisha mtoto six hajui hili salio ulilonitumia
 
Last edited by a moderator:
Nimekurushia 2000,Ila na nahisi hizo 00 mbili za mwisho zimeanguka njiani..maana nimepokea MSG kuwa umepokea 20 tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom