Urgent: Msaada jamani.........seriously nimekwama

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,154
Kwa yeyote mwana-CHIT CHAT anayeguswa na matatizo ya watu na mwenye moyo wa huruma tafadhali seriously leo Ijumaa mwenzenu nimekwama nina matatizo..................naomba msaada wa fedha kiasi chochote kuanzia elfu 2 na kuendelea.

Kama unataka kutuma hiyo fedha tumia namba hii ya m-pesa 0780008001567........Jamani tusaidiane na mwisho wa mchango ni saa 3 usiku............Lakini kama utataka kuendelea kuchangia hata kesho jumamosi kwenye muda wa saa mbili si mbaya.

Msinielewe vibaya matatizo hayafuati miti yanafuata watu.................rafiki wa kufa na kuzikana Erickb52, babu Asprin, bepari la kihaya Bishanga my sister wa ukwee gfsonwin............my swithati ummu kulthum, my yang' braza Young_master................Na wengineo msaada tutani.

Ndimi wenu katika dhiki na raha.
platozoom
JF Founder
 
Last edited by a moderator:
sikupati picha ulivyo mdogo kama piliton!chezeya shida wewe....ngoja nielekee kwa wakala wa m-pesa nikubust na nusu mnyama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom