urgent: kwa wadada mnaoishi moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

urgent: kwa wadada mnaoishi moshi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Dr.Chichi, May 4, 2012.

 1. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Habari zenu jamani.kutokana na mambo ya kazi sijamuona mama watoto kwa kitu kama mwezi hv.sasa nipo moshi kwenye seminar na inaisha leo na ningependa kumnunulia zawadi ya chupi au lingerie lakini sijui wapi kwa kuanzia.naombeni anayejua duka zuri kwaajili ya hv vitu anijuze pamoja na mtaa ambao hilo duka lipo.natanguliza shukran...
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Nenda soko la Mbuyuni Arifu, kule utapata P*chu kuanzia za mwaka 47 hadi P*chu za Bukta...
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,058
  Likes Received: 6,505
  Trophy Points: 280
  kufuli bongo bana.
   
 4. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Baada ya kicheko,kama unarudi fresh coach kuna duka special kwa ajili ya mambo hayo only..
   
 5. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  kwani zile nilizomnunulia juzi kishazimaliza?? au hakukwambia.!??
  Usijusumbue nilimpa box zima labda umtaftie sidlia maana ya siku ile wakati anavaa niliona ka imetoboka tobka...
   
Loading...