Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Wapendwa,
Nimeona nifungue uzi huu maalum kwa wadada wanaopenda mitindo ya nywele. Katika uzi huu nitakuwa nikiweka mitindo mbalimbali ya nywele kila nitakapopata nafasi, lakini pia kwa wale wenye kupenda mitindo ya nywele mnaweza kutupia picha mbalimbali za mitindo ya nywele ili kuweza kupeana uzoefu.

Karibuni sana wapendwa.

Naomba MODs waiweke thread hii sticky ili iwe ni mahali pa kupakulia mitindo ya nywele kwa wadada.

808957_Flaviana-ICE5_jpg83798d1db451b29b26f654496b7942e7

185346_344853272270983_2058981036_n.jpg

finger-curled-short.jpg

tumblr_mep174eB431rtaurro1_r1_400.jpg

880070_69720_295593757218434_1304665233_n_jpg2d090ad51211ce11a15de4c462138475

natural-hair-bridal-style-luri3.jpg

naturalhair.jpg

714494_chale_beauty_jpg47832e5c45564cca3a73210c5f427050

tumblr_mftkfmVKyb1qevxl8o1_500.jpg
Zinduna na uzuri unachangia
 
Last edited by a moderator:

Morphology ya kichwa pia ni muhimu sana katika kuchagua style ili kuweza kuleta mvuto na kupendeza
 
owkey! mi nywele zangu zinawaka moto, ndo style yangu:flame:

  • :flame:

  • :flame:
 
Nimefurahi mnoo kupita hapa.
Kwa Leo ninaswali, jee naweza kurudisha nywele zikawa natural mana zinadawa?
kwa yeyote anaefahamu anipe namna tafadhali.
Shukran
 
si umeomba ushauri? ndio umeambiwa kama una moyo nyoa ..anza upya.. ila nimesikia ukiosha na beer..sasa sijui ni kweli
 
Back
Top Bottom