FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,872
- 109,169
Kwa CCM Ni zamu ya Zanzibar sasa.
Tumempata mwadilifu wa waadilifu.Augustino Ramadhani anatosha ndani ya CCM.
Hivi huyo mzee yupo CCM? nilifikiri yupo CUF.
Hilo ni chaguo zuri kabisa, kama atakubali.