Urais 2015, kundi langu ni CCM

Urais 2015, kundi langu ni CCM

Wana jf Salaam,

Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya chama huu sio muda wa kuwa na kundi. KUNDI LANGU NI CCM. NITAWAUNGA MKONO WAGOMBEA WA NGAZI ZOTE WATAKAOKABIDHIWA JUKUMU LA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM 2015 KWA MJIBU WA KATIBA NA KANUNI ZA UCHAGUZI NDANI YA CCM.

Mosi, historia yangu kwenye siasa, mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa. Niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote.Ungekuwa wakati wa kutafuta kundi ungekuwa huo maana nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. Ungekosa sifa zote kuhusu mimi, moja tu ungepewa na wanaccm ni kwamba mimi sina kundi na sitokani na makundi yanayokinzana, sina chuki na kundi lolote na wala siegemei kundi lolote. Hivyo hivyo nilishinda kwa kishindo uchaguzi ndani ya chama moja ya sababu nikutokuwa na ugomvi wala chuki na wanaccm na sina sababu na sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu. AM THE ACTOR AND DIRECTOR OF MY OWN IN POLITICS.

Pili kwa nafasi yangu mimi ni mkuu wa utumishi na utawala. Nimekuwa msiri wa mbele kuzuia watumishi wote na viongozi wa kuchaguliwa kutoingia kwenye makundi ya wagombea mpaka pale chama kitakapo watangaza kupitia NEC ya CCM. Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.

Tatu, kwa nafasi yangu naingia vikao vyote vya maamuzi ya chama vitakavyowajadili wagombea kwa mujibu wa katiba. Natakiwa kuwatendea haki wagombea wote. Sipaswi kuwa na upande katika mazingira hayo kwani huwezikutenda haki ukiwa nawe ni mjumbe wa vikao huku una mgombea. Nani atawatetea au kuwatendea haki wengine wasiokuwa 'wakwako' kiongozi ukiingia kwenye makundi.

Nne kuwa na kundi kunakusabisha kuchukiwa na wanaccm wenye makundi yao au wagombea wao kisirisiri. Mimi naungwa mkono na wana ccm wote kwa sifa hiyo ya kujenga chama na kuwaunganisha wanaccm. MAKUNDI YOTE WANAONA NAWATENDEA HAKI PUNDE KUNA KITU KINAHITAJI UAMZI.

Ukiwauliza wanaccm wakutajie watu watatu ambao wana imani nao wanaoweza kuwaunganisha na kuwapa ushindi nami nipo.

Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana. Ila umenipa ufuasi kwenye makundi ya wagombea, ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.

CHAMA CHETU NI CHAMA CHA UTARATIBU NA MIMI NDIO MSIMAMIZI MKUU WA UTARATIBU NDANI YA CHAMA. KUNDI LANGU NI CCM.
Ulichosema ni kweli kutokana na nafasi yako hutakiwi kutangaza uko kundi gani ila kwamba ungependa kumuunga mkono mtu fulani kati ya hao wanaotamani hizyo nafasi hilo huwezi kuepeka maana upenzi/ ushabiki hauwezi kukwepeka katika ubinadamu wetu. Ningekushangaa kama ungetangaza siri yako ya moyoni kati ya hao wanaojipambanua kusogelea nafasi hiyo kwa chama hapo 2015. Hata enzi zetu pamoja na kutojionyesha wazi, lakini miyoyoni tulikuwa tayari tunapenda nani ashike nafasi, Mwalimu alikuwa wazi kabisa pale alipoamua Mkapa kupokea kijiti, na usifikiri lile wazo lilitoka pale kikaoni, alikuwa nalo moyoni tayari ila hakulitangaza mapema , na katika busara hiyo nawe nakusifu maana nafasi yako inakuzuia , lakini kwa hakika unalo kundi tayari.
 
Hili jukwaa limekuwa na mambo ambayo kwa mtazamo wangu yanasababisha viongozi wengi wasiokuwa wa chama Fulani kutoingia na majina yao halisi. Hii inasababishwa na tabia ya members kudharau hoja na matusi. Tusiwe kama Samaki- (Karume)

Vijana wamem-khafin Mwigulu Nchemba bila maji!
Sheikh Ritz njoo uokoe jahazi. Mbona umepotea kwenye huu uzi? Au kwa vile hatokei ule upande wako wewe na chama? Ona vijana wanavyom-khafin
 
Last edited by a moderator:
Umenena vyema
Je una mpango wa kugombea urais?

Wakati huo viongozi wamekwisha ccm?huyo urais atausikia kwenye bomba kwani sisi wana ccm,hatuwezi kumfikiria Mtu kama huyu.
 
Value free and value laden. Ngumu sana kuwa value free. Lazima uwe na mtazamo au msimamo kwa watu/jamii au kitu fulani.
 
huyu ni kibaraka wa lowasa infact idea ya jk kuwatosa wafanyabiashara ilipogota wakashika mpini na sasa kama katibu mkuu ni mfanyabiashara mkubwa tena wa meno ya ........ Nk, unategemea yeye na naibu wake wako kundi gani kama sio la wafanyabiashara aka wapiga dili???
 
Wana jf Salaam,

Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya chama huu sio muda wa kuwa na kundi. KUNDI LANGU NI CCM. NITAWAUNGA MKONO WAGOMBEA WA NGAZI ZOTE WATAKAOKABIDHIWA JUKUMU LA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM 2015 KWA MJIBU WA KATIBA NA KANUNI ZA UCHAGUZI NDANI YA CCM.

Mosi, historia yangu kwenye siasa, mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa. Niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote.Ungekuwa wakati wa kutafuta kundi ungekuwa huo maana nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. Ungekosa sifa zote kuhusu mimi, moja tu ungepewa na wanaccm ni kwamba mimi sina kundi na sitokani na makundi yanayokinzana, sina chuki na kundi lolote na wala siegemei kundi lolote. Hivyo hivyo nilishinda kwa kishindo uchaguzi ndani ya chama moja ya sababu nikutokuwa na ugomvi wala chuki na wanaccm na sina sababu na sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu. AM THE ACTOR AND DIRECTOR OF MY OWN IN POLITICS.

Pili kwa nafasi yangu mimi ni mkuu wa utumishi na utawala. Nimekuwa msiri wa mbele kuzuia watumishi wote na viongozi wa kuchaguliwa kutoingia kwenye makundi ya wagombea mpaka pale chama kitakapo watangaza kupitia NEC ya CCM. Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.

Tatu, kwa nafasi yangu naingia vikao vyote vya maamuzi ya chama vitakavyowajadili wagombea kwa mujibu wa katiba. Natakiwa kuwatendea haki wagombea wote. Sipaswi kuwa na upande katika mazingira hayo kwani huwezikutenda haki ukiwa nawe ni mjumbe wa vikao huku una mgombea. Nani atawatetea au kuwatendea haki wengine wasiokuwa 'wakwako' kiongozi ukiingia kwenye makundi.

Nne kuwa na kundi kunakusabisha kuchukiwa na wanaccm wenye makundi yao au wagombea wao kisirisiri. Mimi naungwa mkono na wana ccm wote kwa sifa hiyo ya kujenga chama na kuwaunganisha wanaccm. MAKUNDI YOTE WANAONA NAWATENDEA HAKI PUNDE KUNA KITU KINAHITAJI UAMZI.

Ukiwauliza wanaccm wakutajie watu watatu ambao wana imani nao wanaoweza kuwaunganisha na kuwapa ushindi nami nipo.

Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana. Ila umenipa ufuasi kwenye makundi ya wagombea, ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.

CHAMA CHETU NI CHAMA CHA UTARATIBU NA MIMI NDIO MSIMAMIZI MKUU WA UTARATIBU NDANI YA CHAMA. KUNDI LANGU NI CCM.

Mh,Mwigulu mbona Leo hatujakuona pale Masasi na Tandahimba?maana bila wewe kijana aliye aminiwa na Wa Tanzania mpaka wakakutuma Marekani,hatuamini kama umepigwa pini kiasi hiki.
 
huyu ni kibaraka wa lowasa infact idea ya jk kuwatosa wafanyabiashara ilipogota wakashika mpini na sasa kama katibu mkuu ni mfanyabiashara mkubwa tena wa meno ya ........ Nk, unategemea yeye na naibu wake wako kundi gani kama sio la wafanyabiashara aka wapiga dili???

Nope!Let us be objective.Sio kila mfanyabiashara ni mpiga deal.

Biashara haramu ndio tatizo
 
Mbinu ya kufeki magaidi na cd kama aliyofanyiwa lema mtawacha lini? Hakika mnaimaliza ccm..., mbinu chafu kwa upinzani zinaongeza hasira na kuzidi kuchukiwa ccm. Mwenyekiti amesema mwisho wenu 2015 kwa sababu viongozi ccm hamuwezi ku-commit suicide: Au sio bwana,.. haiingii akilini kujitoa uongozi na kujitia pingu.... Mafisadi, majangili, wezi, hawakamatwi.. Operation uhai mmeihujuma wabunge, dpp naye anafutia kesi vigogo kila siku. Vigogo wengine wanalala na vitoto hadharani lakini bado wapo. Aibu tupu.
 
CCM inakufa ikiwa haina viongozi, inawaganga njaa tu. Nasema hivi kwa sababu hata tukimuangalia usoni, Mchemba anaonekana anasema au ameandika asichokiamini. Nani mjinga wa kuamini hayo ambayo hata mwenyewe unajua kwamba huyaamini?
 
Nchi za wenzetu kulipa kodi, kujivunia kuwa mwananchi na kuisuport serikali ni jambo mtu unajivunia. Ila kwa tanzania kuitukana serikali ndio unaonekana shujaa

sijui kwa nini watu muhimu kina Dr.Mvungi hufa mapema
 
Wana jf Salaam,

Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya chama huu sio muda wa kuwa na kundi. KUNDI LANGU NI CCM. NITAWAUNGA MKONO WAGOMBEA WA NGAZI ZOTE WATAKAOKABIDHIWA JUKUMU LA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM 2015 KWA MJIBU WA KATIBA NA KANUNI ZA UCHAGUZI NDANI YA CCM.

Mosi, historia yangu kwenye siasa, mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa. Niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote.Ungekuwa wakati wa kutafuta kundi ungekuwa huo maana nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. Ungekosa sifa zote kuhusu mimi, moja tu ungepewa na wanaccm ni kwamba mimi sina kundi na sitokani na makundi yanayokinzana, sina chuki na kundi lolote na wala siegemei kundi lolote. Hivyo hivyo nilishinda kwa kishindo uchaguzi ndani ya chama moja ya sababu nikutokuwa na ugomvi wala chuki na wanaccm na sina sababu na sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu. AM THE ACTOR AND DIRECTOR OF MY OWN IN POLITICS.

Pili kwa nafasi yangu mimi ni mkuu wa utumishi na utawala. Nimekuwa msiri wa mbele kuzuia watumishi wote na viongozi wa kuchaguliwa kutoingia kwenye makundi ya wagombea mpaka pale chama kitakapo watangaza kupitia NEC ya CCM. Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.

Tatu, kwa nafasi yangu naingia vikao vyote vya maamuzi ya chama vitakavyowajadili wagombea kwa mujibu wa katiba. Natakiwa kuwatendea haki wagombea wote. Sipaswi kuwa na upande katika mazingira hayo kwani huwezikutenda haki ukiwa nawe ni mjumbe wa vikao huku una mgombea. Nani atawatetea au kuwatendea haki wengine wasiokuwa 'wakwako' kiongozi ukiingia kwenye makundi.

Nne kuwa na kundi kunakusabisha kuchukiwa na wanaccm wenye makundi yao au wagombea wao kisirisiri. Mimi naungwa mkono na wana ccm wote kwa sifa hiyo ya kujenga chama na kuwaunganisha wanaccm. MAKUNDI YOTE WANAONA NAWATENDEA HAKI PUNDE KUNA KITU KINAHITAJI UAMZI.

Ukiwauliza wanaccm wakutajie watu watatu ambao wana imani nao wanaoweza kuwaunganisha na kuwapa ushindi nami nipo.

Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana. Ila umenipa ufuasi kwenye makundi ya wagombea, ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.

CHAMA CHETU NI CHAMA CHA UTARATIBU NA MIMI NDIO MSIMAMIZI MKUU WA UTARATIBU NDANI YA CHAMA. KUNDI LANGU NI CCM.

mjomba mbona umekuwa mpole sana!wamekufanya nini?mbona wakati lowasa alipokuwa mwanza kwenye harambee ya radio iqra,ulipododoswa ulitamka mweoyewe kuwa Raisi yuko mwanza?ila nashukuru kuungana na mimi kuwa kndi langu ni ccm.yaani umetuweka sawa,ujue kiongozi mzuri ni mwenye kujitambua na asiependa kuwakwaza anaowaongoza.
 
Usipoteze muda Kwani 2015 Waziri Mkuu ni Kapuya (Tanzania Daima). Kwa maana hiyo Kapuya anafahamu Rais mtarajiwa wa CCM!!!
 
Back
Top Bottom