Urais 2015, kundi langu ni CCM

Urais 2015, kundi langu ni CCM

Kaka sixgates ndo jaramba la kujiunga na ccm limeanza nini? maana huko kusifia
Nchemba leo umejitahidi sana kaka kuja kistaarabu na kujibu kistaarabu sana, achilia mbali mapungu yako mengi leo angalau!

Mkuu Ba E's thenx siku zote nmekuwa nina mawazo huru sema hampendi kuyasikia. Sijakutana na mwigulu kwa sababu nataka kujiunga ccm ila nlikutana nae katika maisha ya mimi kuwa mwanafunzi na yeye kuwa mwanafunzi at udsm. That all.

Otherwise naona sio mbaya kukisaidia chama kilichopo madarakani kw sababu ndicho kinachoongoza,kina dola sina sababu ya kutokuiunga na kuisuport serikali yetu chini ya Rais Kikwete mtu ninayemheshim sana.
 
Last edited by a moderator:
Nami ningekuunga mkono ila siko kundi la wabakaji watoto, Mungu apishe mbali!
 
Kaka sixgates ndo jaramba la kujiunga na ccm limeanza nini? maana huko kusifia
Nchemba leo umejitahidi sana kaka kuja kistaarabu na kujibu kistaarabu sana, achilia mbali mapungu yako mengi leo angalau!

Mkuu Ba E's thenx siku zote nmekuwa nina mawazo huru sema hampendi kuyasikia. Sijakutana na mwigulu kwa sababu nataka kujiunga ccm ila nlikutana nae katika maisha ya mimi kuwa mwanafunzi na yeye kuwa mwanafunzi at udsm. That all.

Otherwise naona sio mbaya kukisaidia chama kilichopo madarakani kw sababu ndicho kinachoongoza,kina dola sina sababu ya kutokuiunga na kuisuport serikali yetu chini ya Rais Kikwete mtu ninayemheshim sana. Hata CUF ikichaguliwa na wananchi ishike dola nitaiunga mkono. Nakuwa pragmatic kiaina.
 
Nchi za wenzetu kulipa kodi, kujivunia kuwa mwananchi na kuisuport serikali ni jambo mtu unajivunia. Ila kwa tanzania kuitukana serikali ndio unaonekana shujaa
 
tedo-kama tungeweza kutokeza mbele ya watu mimi na wewe halafu tuulize msukule ni nani whether by physical appearance or brain strength ingekuwa rahisi kupata muafaka lakin kwa njia hii ya mtandao ni rahis kudhan hivyo unavyodhani. Binafsi namshukuru M/mungu kuwa nachangia mijadala ya siasa zinazohusu UHAI na USTAWI wa jamii yetu bila ya kuwa nimefungwa kifikira(hapa namaanisha bila ya kufikiria manufaa binafsi kama vile ajira, fedha na mambo ambayo wengi ndio vinavyowasukuma na hii ni kwsbb nilijitambua mapema na kuandaa mfumo kwa ajili ya maisha yangu tangu awali hata kama sio mzuri kama ambavyo niniyi vijana mnavyotaka kila mtu awe mbunge).

nashukuru pia juu ya umri wangu kwani waswahili wanasema kuishi kwingi kuona mengi-mimi nimeingia CDM mwaka (2001) wewe na wenzako mkiwa hamuifaham na hivyo naijua ilivyokuwa na ilivyosasa( na hii ndio kazi ya Historia-to know the past helps in decision making and planning about the future) kwahiyo najiamini juu ya mengi nayoyafanya brother, TULIIJENGA CHADEMA KAMA KIMBILIO lakin hali iliyopo IMEGUBIKWA NA SINTOFAHAM(hakuna Demokrasia na Uwazi wa kweli -issue za UCHAGUZI/UBADHILIFU na MADARAKA(wabunge viti maalum na nafasi nyinginezo), fikira za viongozi ndani ya Chama vinatoa picha kuwa hakuna dhamira ile TULIYOILENGA na sasa watu wamebakia kubweteka na kutumbua maisha na kuibuka na majibu mepesi mepesi kwa watu wenye kutaka kujua, mara MNAFIKI, MSALITI etc

Wewe ni muongo
 
Last edited by a moderator:
Ha Ha Haaaaa!!

Kwa kwei JF Baba Lao.Mtu anapewa za uso tu.

Ukifanyia watu mabaya hakika malipo ni hapa hapa duniani.

Unyama waliofanyiwa watu waliosingiziwa Ugaidi ni lazima kisasi kilipwe na Mungu..!!
 
Prof Kapuya nae kundi lake lipi?:A S-coffee::A S 39::A S 39::A S 39:
 
havizya hatuongei tokea hewani, nimegombea nafasi kumi nimepata 96% kwa kura ya wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm.
Hivi uchaguzi ndani ya CCM unaweza kuuita nao ni uchaguzi? Hebu ona aibu kidogo. Uchaguzi ambao rushwa ni nje nje unakosa sifa za kuitwa uchaguzi katika ulimwengu wa kisasa. Hili hata mwenyekiti wako keshalisema ila hamumuelewi.
 
Maneno mazito sana kutoka Mwigulu nchemba, anasoma phD ya uchumi katika kile chuo cha taifa udsm.

Huyu mshikaji ukikutana nae na mkaongea, na akiwa jukwaani, na akiwa mtandaoni, na akiwa bungeni utagundua ni director of his own politics.

Huyu Kamanda wa Green Guard anaongea utumbo, Kapuya keshasema ni Waziri Mkuu baada ya uchaguzi Mkuu 2015! Ina maana vyeo wameanza kugawiana miaka miwili kabla! CCM Majanga!

Ikitokea Kapuya mwenye kashfa ya ubakaji akawa waziri Mkuu na Mwigulu waziri wa Ulinzi mimi nahama nchi, maana itakuwa ni aibu kuliko tuliyonayo sasa!
 
Tanzania bwana! hivi mheshimiwa we si nikiongozi kabisa? sasa kama kiongozi leo unawaza makundi na uraisi wa mwaka 2015 wakati sasa hivi kuna sera ya chama ambayo wewe unapaswa kusimamia utekelezaji wake ambao 60% haija kamilishwa na muda ndo huo unakwisha but unakuja ku clarify kuwa huna kundi katika uchaguzi ujao? hivi mawazo yetu ni kuwaza chaguzi tu?

Alafu hili nalo nilaulazima kuja kulitolea maelezo? kuna swala la Katiba mpya ambalo ni very sensitive ambalo kiongozi kama wewe tunahitaji kuona juhudi zako ukilikazania lifanikiwe kwa amani kwa ajili ya Tanzania ya miaka 200 ijayo, but unakuja kuongelea makundi ndani ya ccm!..! na uchaguzi wa mwaka 2015 kweli?!!

Hebu siku ingine jaribu kuwa mwangalifu na haya mambo. Uje na hoja zitakazo saidia sera za chama kufikia malengo yake, mfano ungekuja na hoja ya kutueleza unafikiri wapi pana mafanikio katika utendaji wa serikali kwa kipindi cha awamu ya hii ya tatu namafanikio hayo yamepatikanaje, kwajuhudi zipi, na unafikili ni wapi patiliwe mkazo zaidi katika serikali ili kuweza kuleta maendeleo kwa wananchi!
 
Kajifunze kuandika kiswahili vizuri...

Inaelekea ulikuwa unachapwa Sana na walimu kwenye lile somo la IMLA
 
Nchi za wenzetu kulipa kodi, kujivunia kuwa mwananchi na kuisuport serikali ni jambo mtu unajivunia. Ila kwa tanzania kuitukana serikali ndio unaonekana shujaa

Serikali ya majizi ya CCM hakuna mwananchi WA kujivunia. Serikali ambayo viongozi wake akina Kapuya wanabaka vitoto vya miaka 14 hakuna WA kuisifia. Ni wewe Tu mwenye njaa na malipo yako ya buku saba
 
Na wewe naweeeeee...endelea kujichosha tu...Eti unajenga hoja kwenye hoja ya Mwigulu...Si majanga hayoooo....Tangu lini Mwigulu akawa na hoja? The Film Director...Mzee wa Ushahidi wa duniani na Mbinguni...Lol.....

Chukua popcorn...Weka thoda.....piga mambo

View attachment 121184View attachment 121184

mkuu BIG UP weka picha zaidi watu wajue nn maana ya ccm.hapa jf tunaelimika kwa jitihada wewe ni mfano.usichoke mkuu
 
muda utasema,ila kumbuka kuwa duniani tunapita na yoooote tuhangakiayo hatatusaidia kuongeza urefu wa siku zetu hapa duniani. nakusihi na kukushauri uache siasa za kubambikia watu mambo yasiyo na msingi. unayajua mengi uliyoyafanya kwa hasimu wenu kisiasa,ukitaka ushahidi wa maovu uliyofanya,iulize nafsi yako kwani inayajua yooote,ikikudanganya,Mungu ataiumbua.

kama kweli vijana ccm wanakupenda,chunguza wanakupenda kwa yepi hasa,huenda ni kwa jinsi unavyotenda dhanbi nzito dhidi ya watu wa Mungu
 
Back
Top Bottom