Urais 2015, kundi langu ni CCM

Urais 2015, kundi langu ni CCM

Nchi za wenzetu kulipa kodi, kujivunia kuwa mwananchi na kuisuport serikali ni jambo mtu unajivunia. Ila kwa tanzania kuitukana serikali ndio unaonekana shujaa

We toto pu>m2ba.vu kabisa. No wonder unamshabikia muuaji, na gaidi nambari wani la pale lumumba, mwigulu.
Nchi za wenzetu....my foot! Unazijua wewe? Unadhani haya majambazi yaliyokamata madaraka yangelitumikia wananchi, tusingeona fahari kulipa kodi?

CDM imepunguziwa mzigo.
 
Chemba hilo...
Muuaji mkubwa wewe hufai dunia wala mbinguni.
Pishilia mbali pepo mkuu wa maccm....
 
Mwigulu Nchemba sasa bona umekimbia Kule kwa sread ya Mwita Maranya ...? Ingekuw Nzuri ungalimwagia nondo zakomkule kuliko puja kufungua mpya. Na huu Ndio udhaifu wenu sisiem kukimbia ukweli ....
 
Last edited by a moderator:
vp ile inshu ya soweto mkulu? tuliskia wale watuhumiwa maliccm walikutaja wewe kama gaidi mkuu uliyeratibu yale mashambulizi dhidi ya raia wema waliokuwa wakiitumia haki yao ya kikatiba pale soweto arusha,tunaomba kauli yako! au ndo suala lilishafika mahakamani? KAMA NI KWELI USIOGOPE KUTUBU
 
Na utuambie umepewa "homework" ya kuchota sh ngapi hazina kubeba kundi lako...
 
Kaka umepewa lift unaweka kipepsi kabisa safarii hii magamba mtajibeba.
 
Back
Top Bottom