Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Mwigulu haya majibu kama ungeyatoa kule kwenye thread yangu yangependeza zaidi.
Lakini hata hivyo wacha niseme matatu tu hapa kwa sasa;
Mkuu taarifa zilizopo chini ya kapeti zinapasha kuwa katika barua ulizosambaza mikoani na wilayani ukitoa maelekezo ya namna ya kuhakikisha kwamba mgombea wako Lowasa anawekewa mazingira mazuri ya kupeperusha bendera ya ccm come 2015.
Zoezi hilo linatajwa kufanyika kwa ustadi mkubwa sana kiasi kwamba mwanzoni wagombea wengine hawakuwa na shaka yoyote hadi pale walipokuja kubaini kuwa tayari mgombea mwenzao ameanza kuwazidi kete, amekuwa akipata mialiko mbalimbali kwenda mikoani na wilayani kwa mgongo wa kufanya shughuli za kijamii lakini kumbe ndio kampeni zenyewe hizo za kujipanga na kinyang'anyiro.
Nimesema unapendwa na kutegemewa na vijana wengi wa ccm ukilinganisha na viongozi wengine wa ccm. Na hiyo inatokana na ukweli kwamba uvccm iko icu na angalau kwa mbali wewe unaonekana kutaka kuinusuru ccm kutokana na siasa zako chafu unazofanya ukivitumia vyombo vya dola kuwaangamiza wapinzani wenu wa kisiasa na hapa nawazungumzia makamanda wa Chadema ambao ndio tishio la utawala wenu wa zaidi ya miaka 50.
Nadhani umenisoma kwa pupa ndio maana hukunielewa. Nilichoandika ni kwamba pamoja na kwamba wewe ni naibu katibu mkuu lakini unatajwa kumuunga mkono mgombea mmoja-nikabainisha kuwa ni Lowasa. Hata hivyo katika bandiko langu nilisema kuwa kwa upande mwingine wewe mwenyewe unajipanga kuwania uraisi incase mgombea unayemuunga mkono atakuwa hauziki na hana mvuto miongoni mwa wanaccm. Kwahiyo sijaku rule out kwamba huna mpango wa kugombea kabisa, isipokuwa unapiga jaramba kiaina kama mgombea mbadala, just in case.

Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.
Mkuu taarifa zilizopo chini ya kapeti zinapasha kuwa katika barua ulizosambaza mikoani na wilayani ukitoa maelekezo ya namna ya kuhakikisha kwamba mgombea wako Lowasa anawekewa mazingira mazuri ya kupeperusha bendera ya ccm come 2015.
Zoezi hilo linatajwa kufanyika kwa ustadi mkubwa sana kiasi kwamba mwanzoni wagombea wengine hawakuwa na shaka yoyote hadi pale walipokuja kubaini kuwa tayari mgombea mwenzao ameanza kuwazidi kete, amekuwa akipata mialiko mbalimbali kwenda mikoani na wilayani kwa mgongo wa kufanya shughuli za kijamii lakini kumbe ndio kampeni zenyewe hizo za kujipanga na kinyang'anyiro.
Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana.
Nimesema unapendwa na kutegemewa na vijana wengi wa ccm ukilinganisha na viongozi wengine wa ccm. Na hiyo inatokana na ukweli kwamba uvccm iko icu na angalau kwa mbali wewe unaonekana kutaka kuinusuru ccm kutokana na siasa zako chafu unazofanya ukivitumia vyombo vya dola kuwaangamiza wapinzani wenu wa kisiasa na hapa nawazungumzia makamanda wa Chadema ambao ndio tishio la utawala wenu wa zaidi ya miaka 50.
ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.