Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,081
Inasikitisha sana....Chama ambacho huwezi mtofautisha mzee na mhuni...
tatizo la pro-chadema baada ya kuuliza au kucchangia vitu vya maana,mnaanza kuleta kashfa na majungu! mtakuwa lini ndugu zangu!badilikeni jamani
MWANAMUME huyu wanamuogopa CDM hata kivuli chake.
Mkuu, ninakubaliana na wewe.gud approach.. ila tu kama unatenda unachohubiri.
katika mtihani mkubwa kabisa tuliopata kuupitia watanzania tangu uhuru, nadhani kupata mgombea wa CCM 2015 ndio mtihani mgumu zaidi. na hii ni kwa sababu yule anayepigiwa debe na wana ccm wanaofanya maamuzi ndiye asiyefaa kuliko wote.
mungu namuomba awape ujasiri akina NAPE
Wana jf Salaam,
Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya chama huu sio muda wa kuwa na kundi. KUNDI LANGU NI CCM. NITAWAUNGA MKONO WAGOMBEA WA NGAZI ZOTE WATAKAOKABIDHIWA JUKUMU LA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM 2015 KWA MJIBU WA KATIBA NA KANUNI ZA UCHAGUZI NDANI YA CCM.
Mosi, historia yangu kwenye siasa, mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa. Niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote.Ungekuwa wakati wa kutafuta kundi ungekuwa huo maana nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. Ungekosa sifa zote kuhusu mimi, moja tu ungepewa na wanaccm ni kwamba mimi sina kundi na sitokani na makundi yanayokinzana, sina chuki na kundi lolote na wala siegemei kundi lolote. Hivyo hivyo nilishinda kwa kishindo uchaguzi ndani ya chama moja ya sababu nikutokuwa na ugomvi wala chuki na wanaccm na sina sababu na sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu. AM THE ACTOR AND DIRECTOR OF MY OWN IN POLITICS.
Pili kwa nafasi yangu mimi ni mkuu wa utumishi na utawala. Nimekuwa msiri wa mbele kuzuia watumishi wote na viongozi wa kuchaguliwa kutoingia kwenye makundi ya wagombea mpaka pale chama kitakapo watangaza kupitia NEC ya CCM. Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.
Tatu, kwa nafasi yangu naingia vikao vyote vya maamuzi ya chama vitakavyowajadili wagombea kwa mujibu wa katiba. Natakiwa kuwatendea haki wagombea wote. Sipaswi kuwa na upande katika mazingira hayo kwani huwezikutenda haki ukiwa nawe ni mjumbe wa vikao huku una mgombea. Nani atawatetea au kuwatendea haki wengine wasiokuwa 'wakwako' kiongozi ukiingia kwenye makundi.
Nne kuwa na kundi kunakusabisha kuchukiwa na wanaccm wenye makundi yao au wagombea wao kisirisiri. Mimi naungwa mkono na wana ccm wote kwa sifa hiyo ya kujenga chama na kuwaunganisha wanaccm. MAKUNDI YOTE WANAONA NAWATENDEA HAKI PUNDE KUNA KITU KINAHITAJI UAMZI.
Ukiwauliza wanaccm wakutajie watu watatu ambao wana imani nao wanaoweza kuwaunganisha na kuwapa ushindi nami nipo.
Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana. Ila umenipa ufuasi kwenye makundi ya wagombea, ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.
CHAMA CHETU NI CHAMA CHA UTARATIBU NA MIMI NDIO MSIMAMIZI MKUU WA UTARATIBU NDANI YA CHAMA. KUNDI LANGU NI CCM.
mwigulu katika vijana wahuni, arrogance wapumbavu na kudharauliwa milele ni wewe, hata kabila lako la wanyiramba unawaibisha daima, watakao hukumiwa na historia milele ni wewe, swala la kundi lako mie najua kundiko lako nila kuwaua watz na kutengenza kesi FAKE kwa wapinzani wenu, SHAME UPON YOU, HUNA LOLOTE CHUKI TU IMEKUJAA
mwigulu poor leader
................................ nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. .........................................
Thanx sixgates. watu wengi hawanijui vizuri.
Mwigulu Nchemba a.k.a Jonas Savimbi, Bosco Ntaganda na Kiongozi wa Lords Resistance Army!
Hongera nimekupata! Unaweza kuniazima hata kabomu kamoja? Kule Arusha halikubaki hata moja? Nina shida nalo tafadhali.
MWANAMUME huyu wanamuogopa CDM hata kivuli chake.