Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
kiwofu lini umekuwa msemaji wangu? unapata faida gani kung'ang'aniza.?
Mwigulu Nchemba in short nlikuwa nakuchukia sana, ila nakumbuka we had a time tukaongea last week japo hatukuzungumzia siasa but I realized una akili sana and you ar good at heart.
Mkuu acha kuropoka, usifikiri kila saa tunazungumzia siasa tu. Kuna maisha zaidi ya siasa.
Thanx sixgates. watu wengi hawanijui vizuri.
If that is the case, kwa nini umechangia na unaendelea kuchangia?. You must be thick as two short planks beyond reasonable doubt!.Stupid thread of the year...
ndugu mwigulu KUNA MOVIE GANI ITAFUATIA BAADA YA ILE YA KWANZA KUBUMA?
wingi wa matusi ni ishara kuwa wengi waliokuwa na mtazamo kama wa Mwita Maranya(ambao walitakiwa kufikiwa na ujumbe) tayari wamesoma na kuelewa msimamo wako, suala la kupinga/kutukana halikuhusu-GO ON KIONGOZI, badilikeni kidogo tu mfanye kazi-bado tuna imani kubwa na ninyi kuliko YANAYOENDELEA SASA HIVI NDANI YA CHADEMA-hatukujua kama ni SACCOS ya KANDA na kwamba maamuzi sio ya kichama bali ya WENYE HISA ZAO
Mkuu acha kuropoka, usifikiri kila saa tunazungumzia siasa tu. Kuna maisha zaidi ya siasa.