Uraia wa Zitto Kabwe sasa kuamuliwa Mahakamani

Tangu lini mwanachama wa CCM akawa na interest njema na uraia wa mtu? Hiyo ni kazi ya watu wa uhamiaji.
 
Asisahau kumuunganisha na Kato Mzilangende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukianza hivi kuchunguza uraia wa kila mtu huenda hata rais tusiwe naye. Watu waache ukuda. Tanzania hii kila kabila ilikuja kutoka nje ya hii inayoitwa leo Tanzania.
 
Gazeti la Tanzanite nalo limehamia kumchafua CAG kisa tu kaikosoa serikali. Funzo: ukitaka kujua kuwa wanao ulio nao ni wako au sii wako ieleze ukweli sirkali ya 5
 
Yan huyu mpumbavu loh!
 
Ndio maana watanzania bado tumeendelea kuwa masikini licha ya kupata Uhuru miaka 58 iliyopita. Taharuki nyingine ni gazeti la Tanzanite nalo limehamia kumchafua CAG kisa tu kaikosoa serikali
 
Bwana Matefu hivi Zitto akiunga mkono juhudi utaenda mahakamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.

“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…