Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,856
ila huyu dogo naona ametokea kumzimia sana bwana zitto kabweKete yao ya mwisho ukionesha ni akili kubwa ndio hiyo, sasa ngoja mahakama nayo iwateme aibu mpaka kwenye nywele
Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.
“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu
uko sawa sawa kweli wewe au una mapepo mimi nina husiano gani na huyo aliyempeleka zitto mahakamaniHivi ccm hamna kazi za kufanya? kila mtu akiwa na msimamo hasi na ccm sio Raia kwani hata wewe tutaaminije kuwa ni raia? shughulikiani mambo ya msingi kwa watanzania wana matatizo mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Augustino Matefu na mzee Likwepa ndio hadi sasa hawajapata juteuzi wa Rais Magufuli kati ya wale vijana wa CCM waliokuwa hawakosi kuhudhuria kipindi cha malumbano ya hoja pale ITV.Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.
“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu
huyu atakuwa mwita wa kidengereko maana hakuna mwita wa mara muoga na mjinga hivi au baba mkurya na mama mdengereko naye amelelewa sana upande wa ukeni,hakuna wakurya wala wakizu wajinga wajinga hiviAliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.
“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu
sasa kosa langu nini hapo mbona munawaaibisha walimu wenu mimi sijaenda mahakamani kumshtaki zittohuyu atakuwa mwita wa kidengereko maana hakuna mwita wa mara muoga na mjinga hivi au baba mkurya na mama mdengereko naye amelelewa sana upande wa ukeni,hakuna wakurya wala wakizu wajinga wajinga hivi