Uraia wa waTutsi !

ukiona damu ujue mnyama kachinjwa, ukweli unauma koba rwanda ni lazima irudi kwa wenyewe tu, binadamu hawezi tawaliwa na m..e..n..d..e hata siku moja. Uhuru wa kweli rwanda mnajaribu kuuchelewesha tu lakini time will beep soon

Hii comment imenisikitisha tafadhari msibaguane. nyinyi ni ndugu wote ni wa Rwanda ijengeni nchi yenu kwa maelewano zungumzeni vizuri kwa faida ya vizazi vyenu.
 

1. Ni wapi ambapo nimeonyesha interest nyingine zaidi ya kupinga uonevu. Ni fact ipi katika thread yangu ambayo unakanusha? kuwa muwazi, provide a link. Hapa JF tunaongea kwa sources sio tuhuma za jumla jumla. Ndi umunyarwanda mbona hata wewe unaijua? Hizi ni propaganda za kawaida tu tunazisoma kila siku kwenye East african etc. Hata mtoto mdogo kijijini Tanzania by now anajua kuwa Kigali 'ni mji msafi'.

2. Hivi wewe unaujua ufalme au unausikia, tena ufalme wa kiafrika! Unavyoongea mtu anaweza kudhani ufalme ni mfumo fulani hivi poa tu. Hebu tafuta kujua wafalme wa kitutsi walikuwa wanafanyaje wahutu, ndio utaelewa kwa nini ilizaliwa hutu power ideology (by the way mimi siisupport hii ideology, but i understand, ukiwa oppressed long enough utageuka chizi tu one day).

3. Hakuna sababu yoyote ya msingi iliyofanya RPF kushambulia Rwanda kijeshi kama ipo wewe tuambie. RPF walikuwa wanamuwakilisha nani humo Rwanda, nobody! For all intents and purposes hawa ni waganda kabisa, wametumia tu ethnicity yao kuvamia nchi jirani. Ni kama vile wamasai watanzania wapindue kenya wakijifanya kutetea maslahi ya wamasai wa Kenya. Hoja ni kwamba it was illegal, against internatioal laws. RPF ni kikundi cha kijeshi toka Uganda, sio kikundi cha jeshi toka Rwanda. wapiganaji wake wote walikuwa askari wa jeshi la Uganda. Makundi ya kwanza kabisa kushambulia Rwanda yaliongozwa na salim saleh (mdogo wake Museveni)!

4. you are right it was genocide against rwandans, sasa hebu niambie kwa nini kagame aliibadili iwe genocide against tutsis alone? kwa nini isingeendelea kuitwa genocide against rwandans? kilibadilika nini toka 94 mpaka leo.

5. kikundi cha survivors wa genocide kama sikosei IBUKa walifanya research ya nyumba hadi nyumba kutafuta waliokufa kwenye genocide, wakati huo wao wenyewe walidhani kuwa watutsi ndio pekee waliouwawa, kwa mshangao wao idadi ya wahutu ikazidi watutsi, serikali ya kagame ikatupilia mbali ile program ya kuhesabu hesabu, so you are right majina yalijulikana swali ni ya nani yalizidi?
Ndio maana Ingabire leo anafungwa kwa ku-simply suggest kwamba wahutu waliokufa kwenye 'genocide' wawe included kwenye sherehe za maombolezo ya genocide unajua kwa nini? The day watakapotambuliwa rasmi, majina si yatakuja, familia zao si zitajitokeza? Ndipo hapo the world will know kwamba kumbe actually wahutu wengi zaidi ndio walikufa, halafu litazuka swali lingine, nani aliwaua?

6. Quote: "kama ikitokea ukawa raisi wa Rwanda leo utafanya nini?Kwa kufualia post zako ni kwamba utawafukuza wa Tutsi wote, sasa sijui utawapelka wapi"
Jibu: Hivi ni wapi nimekupa impression kama hiyo katika post yangu yoyote ile, tafadhali toa reference. Huu woga ulionao ndio silaha kubwa ya kagame anayotumia kupata support toka wa watutsi. Nayo ni kueneza uzushi kama huu kuwa mtu yoyote asiye mtutsi hatakiwi kutawala.
Mimi nikiwa rais wa Rwanda leo (nasisitiza mimi ni Mtanzania). Kwanza nitashitaki wote waliohusika kwenye uhalifu wa kivita kuanzia na members wote wa RPF, na vile vile wote walioshiriki kwa upande wa FAR, interahamwe na yoyote yule bila kujali kabila. Pia nitaachilia huru wafungwa wote waliofungwa kidhalimu na kagame kama victoire ingabire, nitamrudisha Laurent Nkundabatware DRC akashitakiwe kwa makosa yake n.k.
 

Mkuu Jmall kwa kipande hicho unaamini kwamba mauaji ya kimbari yaliyo tekelezwa Rwanda yalikua sahihi kwasababu utawala wa Wahutu ulikuwa umechokozwa na akina Kagame?!
 
1. Jina lake limenitoka labda kuna wanaokumbuka hii kesi: tuliwahi kuwa na Balozi wetu Nigeria miaka fulani kumbe Mnyarwanda tulimpomshtukia alienda kwao Rwanda akapewa zinga la cheo

kuiwakilisha Rwanda UN!

Kama unamzungumzia Balozi Bandora huyu bado ni Mtanzania,nyumbani kwake Mbezi beach Dsm,ingawa anafanya kazi ktk shirika moja la UN nje ya nchi. Mke wake mwenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro!

Kama kweli wewe ni Mtanzania nakuomba ujiepushe na makundi ya propaganda hizi za Kihutu na Kitutsi ambazo miezi ya karibuni zimehamia JF na watu wenye malengo mabaya. Mauaji ya kimbari ktk nchi ya Rwanda sijambo la kufurahia ama kuanzisha kejeli.

Ni maoni yangu kwamba licha ya matatizo yote ya Kagame na hata tuhuma kwamba ndiye aliamrisha kutunguliwa kwa ndege ya rais Habyarimana bado ni mtu sahihi wa kuongoza Rwanda. Kwangu mimi namuona ni Mtutsi mwenye msimamo wa wastani. Kama angekuwa ni extremist Rwanda ingeshuhudia mauaji mengine makubwa ya kulipiza kisasi. Na amehakikisha anadeal na Watutsi wenzake wenye msimamo mkali kama anavyo deal na extremists wa Kihutu!
 

1. Ninaweza kukuonyesha nyumba ya familia ya Rais kabila Tanzania vile vile, does that make him Tanzanian? Musinga bandora timothy alivuliwa ubalozi kwa sababu gani back then tofauti unayoijua wewe kinyume na ya uraia? Mbona unanitajia mkewe anatoka kilimanjaro? would that change the fact kwamba bwana Musinga Thomas Bandora alikuwa legally myarwanda wakati ni balozi wa Tanzania? Kama uraia anao basi aliomba baada sio kabla!

Nakuwekea vipande vya habari zake hapa chini ikifuatiwa na link kwenda kwenye article nzima.

"The government says it has established that a former Tanzania High Commissioner to Nigeria, Mr Timothy Bandora, and a former District Commissioner and member of the Chama cha Mapinduzi (CCM) National Executive Committee, Mr Jenerali Ulimwengu, are Rwandans."

"Many former Tanzanian citizens like Mr Kamanzi are now prominent persons in Kigali. They include, among others, Dr L. W. Rutayisire, deputy governor of the Central Bank of Rwanda, who lectured at Dar es Salaam University and served on the board of directors of the Bank of Tanzania. Some of Mr Kamanzi's relatives are still in Tanzania, including his brother, who is employed by the Bank of Tanzania."

Mwingine huyo hapo juu umeona ee? Huko Rwanda huwa hakuna watu wa kuchukua hizi kazi mpaka wapewe wanyarwanda wanaoshtukiwa nchi za watu?

Soma hii habari yake kwa ukamili hapa: tzna


Pili, Kagame whether he is an extremist or otherwise anaonyeshwa na historia yake si vinginevyo. Mtu aliyepindua serikali halali kwa kufanya mauaji ya kimbari akiwa raia wa nchi nyingine anakuwaje mtu sahihi kuongoza nchi? Naheshimu mtazamo wako ila na wewe heshimu wangu.
 
Mkuu Jmall kwa kipande hicho unaamini kwamba mauaji ya kimbari yaliyo tekelezwa Rwanda yalikua sahihi kwasababu utawala wa Wahutu ulikuwa umechokozwa na akina Kagame?!

Hapana hata kidogo. siamini katika aina yoyote ya mauaji kuwa sahihi! mauaji ya kimbari yaliyofanywa dhidi ya watutsi yaliyofanywa na baadhi ya askari FAR pamoja na interahamwe wakiongozwa na mtutsi Robert kajuga katika siku 100 za 94 hayakuwa sahihi, kama ambavyo mauaji ya wahutu nchini Rwanda kwa miaka minne yaliyofanywa na kagame na jeshi lake hayakuwa sahihi na vile vile mauaji ya kimbari ya kagame na jeshi lake dhidi ya wakimbizi wahutu nchini Congo hayakuwa sahihi.
 
Mkuu jMali unatoa dose kubwa bila kuzingatia uzito wa mgonjwa na ugonjwa wenyewe.Mkuu wangu hili darsa wapende wasipende watachota elimu siku za baadae zitawasaidia.Haiwezekani katika hali ya mvutano wa kikabila baina ya Tutsis na hutus Rais Kagame ashinde urais kwa zaidi ya asilimia 90%.


 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye red sikubaliani nawe.
 
RPF iliundwa 1988 nchini Uganda, shabaha kubwa ikiwa ni kukusanya na kurudisha tena Wanyarwanda waliokuwa uhamishoni na pia kuunda serikali
mpya ya Rwanda.
RPF iliundwa na wakimbizi wa Kitutsi waliokimbilia Uganda na wengi wao walikuwa wakitumikia NRA ya Museveni.
 
Mkuu jMali kama kusudi ni kutumia ethnicity yao, kwanini hawakuvamia Uganda yenyewe walipokuwa wanaishi?
 
Last edited by a moderator:

Unajua ndani ya maelezo yako marefu unayoandika hapa ndiyo yanakuonyesha wewe ni mtu wa aina gani. Nikiwa ni mtu ninaye fahamu jinsi gani mnavyohasimiana sipati shida kuelewa malengo yako.
 

Nikiulize swali dogo hivi nini sifa za mtu kuitwa Mtanzania? Huo mfano wa Kabila unaotoa hapo ni kitu tofauti na kesi za akina Bandora,Ulimwengu,Castico na Amani. Watu wa aina ya Kabila walikuepo wengi hapa wakati wa awamu ya kwanza na kiasi awamu ya pili

Binafsi nimesoma na watu wa aina ya Kabila pale Muhimbili Primary sch. ktk miaka ya mwisho wa sabini kuja mpaka ktkt ya themanini. Lakini lazima utambue serikali ilikua imewapa hifadhi na ulinzi!
 
Jamani kwa mtizamo wangu coni kama ni mda muafaka wa kukumbushana mauaji ya kimbali kule rwanda tuwaache wanyarwanda waijenge nchi yao izi ideologies za hutu na tutsi tuziache na afrika isongembele
 
Spin it whatever you want, wewe ni hater tuu wa watutsi na kumbuka anybody can come with millions reasons to justify anything, you singled out hao watu hapo juu for one and only one reason... TUTSI,shame on you, Kazi yako ni kueneza chuki tuu juu ya watutsi ndio maana huchoki posting garbage and seems you are in someone payroll, utawapata ignorant fools and extremist wenzako ndio wanakuamini,na ------ kama wewe ndio mliosababisha genocide itokee na hata humu jf wakikuachia na huu upuuzi wako you can make some damage,post zako doesn't belong here at jf Kuna extremist websites peleka kule ila one thing for sure you are not going to win or gain anything from hate propaganda and it will backfire 100%.
 

You must have a lot of free time on your hands. Please continue. I am enjoying your "pumba" every moment you write here. I have some contacts in the publishing industry. I can connect you so that you can write a book about the garbage that you are spilling here. Hey, I can suggest a good title for your book " The Garbage according to Jeean Marie"...lol
 

Mkuu, huyu jamaa yuko blinded by his hatred kwa watutsi kiasi kwamba haoni kwamba anaji contradict mwenyewe. Na the more watu wanampa forum na nafasi kama hii, basi anajiona kuwa ni some "expert" on Rwanda. Unfortunately, expertisim yake inaishia kwenye Google tu. So, mimi nina enjoy googled comments zake ambazo hazina mantiki hata kidogo. Hawa ndio wale tunawaita "good at everything, best at nothing". Lakini tumpe fora hii....he is very entertaining.
 
Unajua ndani ya maelezo yako marefu unayoandika hapa ndiyo yanakuonyesha wewe ni mtu wa aina gani. Nikiwa ni mtu ninaye fahamu jinsi gani mnavyohasimiana sipati shida kuelewa malengo yako.

Asante sana mkuu. Atleast great thinkers wamaanza kumuona for what he real is. Genocidaire or sympathiser.
 

Great Response from a Great Thinker
 

Great thinker. Hawa ndugu zake na kagame wameishiwa na hoja wamebaki tu kutukana. Unafanya vizuri sana kutuelimisha watz juu ya udhalimu wa Hawa Tutsis. Shame on them
 
Unajua ndani ya maelezo yako marefu unayoandika hapa ndiyo yanakuonyesha wewe ni mtu wa aina gani. Nikiwa ni mtu ninaye fahamu jinsi gani mnavyohasimiana sipati shida kuelewa malengo yako.

Try to argue from your mind like Jmal and not from feelings of your heart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…