Uraia wa waTutsi !

Haaaa haa aahaa huu utumbo pelekea wendawazimu wenzako mliokuwa brainwashed pamoja kwenye makambi yenu ya interahamwe,you're not worthy debating akili yako haiko Sawa.
 
ukiona damu ujue mnyama kachinjwa, ukweli unauma koba rwanda ni lazima irudi kwa wenyewe tu, binadamu hawezi tawaliwa na m..e..n..d..e hata siku moja. Uhuru wa kweli rwanda mnajaribu kuuchelewesha tu lakini time will beep soon
Ndio mlivyofundishwa kule maporini mnapoiba mihogo ya wacongo na kubaka wanawake eti Rwanda hakuna Uhuru,sorry wakimbizi wote walisharudi mliobaki ni nyie genocidals na wajomba zako ambao mko wanted dunia nzima mtashikwa tuu na ndio maana Kuna mahakama maalum kwa ajiri yenu arusha
 
tunaweza kuongea mambo mengine yooote, kulaumu chochote kile LAKINI WE CAN NEVER DENY EXISTENCE OF GENOCIDE IN RWANDA mwaka 1994. yale yalikuwa mauaji ya kimbari kabisa bila kupepesa macho na ushahidi upo wa kutosha beyond reasonable doubt. hata hivyo, tunaweza kusema kuwa, pamoja na genocide pia makosa ya crimes against humanity yalitokea na wapo watu walioshitakiwa kwa makosa hayo pale ICTR. lakini kati ya yote kosa kubwa lililotendeka rwanda ni genocide tena sawasawa na ile waliyofanyiwa wayahudi na hitler.

hatuhitaji kubishana katika hili kwasababu ushahidi upo wazi.
 

Kwani hayo aliyoyasema Ñî ya kweli? Unaonekana kama kibaraka wa kagame ww.
 

Mkuu I thank you for your comment. Please educate more Tanzania so that hawa remnants we interahamwe wasipate nafasi ya ku poison fikira za watanzania wengi ambao ni ndugu zetu. Mimi nashangaa watu wakisema eti JF imevamiwa na watutsi. The truth is that JF imevamiwa na interahamwe ambao wanatafuta sympathy kutoka kwa Watanzania ili baadae wakishafurumushwa huko congo, wahamie huko kwenye mapori yaliyo karibu na rwanda waendelee ku destabilize nchi yetu. Fanyeni yoooote lakini one thing i can assure you is that you will not succeed in destabilize Rwanda. Hilo msahau kabisa.
 

Mkuu issue iliyopo kwenye suala la genocide linakera sana. Kuna watu wanajaribu kutufanya wajinga na kutuaminisha kama haikuwepo, wakati sisi wenyewe tulikuwa tunaoka miili ya watu mto kagera, even worse kuna wale wanaojaribu kuwasifia interhamwe na kuwalinda.

Lakini kibaya zaidi naona Kigali siku hizi kumeanza kuwa na wendawazimu pia. wanapoliticize issue hii na kuifanya kama ni launch pad ya attacks kwa watu wenye maoni tofauti na serikali. kama ni wahutu wanakuwa branded genociders, kama ni watusi wanakuwa eliminated, au kukumbwa na hali kama ya Paul Karegeya, this is very worrying trend.

By the way huwezi kulinganisha issue ya Hitler au watu wa ulaya kuwaua wayahudi. Wayahudi walikuwa ni immigrants kutoka middle east wanaoleta matatizo kwenye nchi za Ulaya. Ni watu wenye dini, historia na waliotoka katika mazingira tofauti sana na watu wa Ulaya, lakini walikuwa wanataka kudominate wengine. In fact hadi leo bado wayahudi wanaoendeleza zile tabia zilizofanya wafukuzwe Ulaya mpaka sasa sio popular.

Interhamwe walikuwa wanaua fellow country men, hawakuwa wanaua wageni.
 
kwa taarifa yako watusi ni wahuni kupitiliza mmoja akiolewa kwenu tu familia yenu ni lazima ijae watusi kutoka rwanda na muda si mrefu wanaanza kuwabagua hata ulieoa

Mkuu uhuni ni sababu ya kuwaua? kwani ni wao tu ndio wahuni?
 
Mkuu jMali asante kwa darsa maridhawa.

 
Last edited by a moderator:

1. Quote: "Genocide ni mauaji yanayofanywa na kundi moja la watu kutokomeza uwepo wa kundi lingine kwa misingi ya ukabila,dini n.k sasa unaweza vipi kusema mauaji ya rwanda ya kikabila 94 siyo genocide wakati yalihusisha mpaka vichanga vya siku kadhaa?"

Jibu: Genocide zinazokubalika bila kupingwa mfano ya wanazi vs wayahudi zilitokana na chuki tu (ukabila, dini n.k kama ulivyosema), hakukuwa na jeshi la wayahudi popote pale lililokuwa linashambulia serikali ya hitler kijeshi kwa miaka minne likiua raia wasio na hatia kama ilivyo Rwanda.
Sijakataa wahutu wachache kuua watutsi kwa sababu tu ni watutsi kama hao watoto wachanga lakini hiyo ilikuwa ni sehemu ndogo ya vita kubwa ya kikabila ambayo Kagame anataka kutusahaulisha na si a stand alone genocide. Bila vita hivi vikubwa mauaji haya madogo madogo yasingetokea. Kucategorise mauaji haya kuwa genocide ni sawa sawa na kudai vita vya walyanchali na walyanchoka kule Mara (sina uhakika na spelling) nayo ni genocide, mauaji ya wakulima na wafugaji morogoro nayo genocide simply tu kwa sababu ni kabila mbili zinapigana .....sijui Tanzania peke yake tungekuwa na mahakama za genocide ngapi. wachilia mbali mauaji ya chaguzi za kenya, mauaji ya sasa ya kikabila southern sudan etc. Kama ambavyo mifano hii haikidhi status ya genocide ndivyo hivyo hivyo mauaji ya Rwanda 94 hayakidhi kuitwa genocide. Lakini hata hivyo nakaribisha mjadala katika hili kwa sababu mpaka sasa hakuna makubaliano katika tafsiri ya genocide worldwide.

2. Quote: "Halafu kuna sehemu nyingine unaongea kishabiki sana mpaka nahisi unainterest na kundi unalolitetea hasa pale unapojaribu kulisafisha ili lionekane ni totally innocent."
Jibu: sina ushabiki na kundi lolote. Msimamo wangu binafsi ni kuwa yoyote aliyehusika kufanya uhalifu wowote ule afikishwe mbele ya sheria. simple as that. Tatizo langu mimi ni case kama za FDLR ambao ni wanajeshi wa serikali halali ya Rwanda waliopinduliwa, hawa wanashitakiwa kwa lipi? kudefend nchi kwa mujibu wa katiba? What about Kagame na jeshi lake waliokuwa wanavamia Rwanda kwa miaka minne, mbona wao hawashtakiwi? je hawakuua watu (ambao 99% ni wahutu by the way)? Ndio maana wenye akili wote kama Kikwete tunaona njia sahihi ni mazungumzo. Watu wote washitakiwe kulingana na makosa yao.

3. Quote: "Nimepitia historia ya paul rusesabagina anaonekana ni mhutu lakini mama yake na mke wake wote walikuwa watutsi kwavyovyote vile huyu mtu alikuwa neutral tu lilipokuja suala la ukabila.
Nimejaribu kupitia pia ya robert kajuga alikuwa ni mtutsi lakini baba yake alichukua ID ya kihutu kwasababu za kiusalama yeye na familia yake,usalama dhidi ya nani sijajua bado na pia mtu huyu anatumikia kifungo cha maisha kwa uhusika wake."

Jibu: kwa observation yako mwenyewe: paul rusesabagina ni mhutu lakini neutral kwa ukabila, kawasave watutsi (wajomba zake na wakwewe), lakini upande wa pili mtutsi pure Robert Kajuga kaongoza kundi la interahamwe kuchinja watutsi wenzie, hujiulizi how come? Maana kama mhutu anamlinda mtutsi, lakini mtutsi anaongoza wahutu kuua watutsi hapo hakuna genocide kuna conspiracy to frame the hutus. Hebu fikiria inavyosikitisha inawezekana baadhi ya watutsi waliolindwa na rusesabagina walikuwa wanakimbia kundi la interahamwe likiongozwa na mtutsi mwenzao aliyebeba ID ya kihutu!

4. Quote: "Kama tunavyofahamu watu wengi waliohusika kwenye genocide wanatumikia vifungo au wameidhinishwa kukamatwa na mahakama sasa unaweza nisaidia majina ya watutsi wengine wanaotumikia vifungo au kusakwa kwa uhusika wao apart from kajuga?kwa maelezo yako natumaini watakuwa wengi tu kwasababu interahamwe (the main suspect)ilikuwa kama yao kwasababu iliongozwa na wao tena kiongozi mkuu aliwekwa na Kagame"
Jibu: of course kitu kama interahamwe kilikuwa manipulated kupitia infiltration na mamluki, in such a way kwamba watendaji wanaoonekana walikuwa wahutu, hivyo ni vigumu kung'amua idadi ya watutsi humo , hata wewe mwenyewe si umeona kuwa RAIS wake alikuwa anaji-identify kama mhutu?
Pili, kagame anatumia wenzake kama condom, hivyo kufungwa kwa kajuga kusikufanye kudhani kuwa kagame yuko fair! he does not need him any more ni kama vile alivyowatumia kina Bosco ntaganda, Laurent Nkunda, m23 etc. wakishamaliza uthamani wao basi tena.

5. Quote: "Halafu umesema mauaji haya yalifanywa na kundi dogo tu tena lililokuwa na zana duni kama mapanga,marungu na mashoka,naamini kipindi hicho rwanda kulikuwa na serikali tena kwa mujibu wako ilikuwa ni bora na haikuwa na ukabila kwani ilizuia mauaji ya aina hiyo huko nyuma,sasa ilifanya nini kukizuia hiki kikundi kidogo tu cha hao wahutu wenye msimamo mkali?na nani alizuia yasiendelee?"
Jibu: Nchi iliingia kwenye machafuko baada ya ndege ya rais habyarimana kutunguliwa na majeshi ya waasi wa RPA wakiongozwa na kagame. Jeshi lilikuwa bize kupigana na Majeshi ya kagame yakisaidiwa na majeshi ya Uganda. Hawakuweza kuzuia hisia za raia wahutu wachache (baadhi yao wakiwa ndani ya majeshi yenyewe) kulipiza kisasi kwa watutsi at the same time. Narudia tena wachache kumbuka takwimu watutsi walikuwa less than 15%, hivyo hata wakiuawa 2 lazima wataonekana ni wengi tu, katika nchi ambayo zaidi ya 80% ni wahutu.
nani alizuia yasiendelee? well, yaliisha kwa sababu VITA viliisha kagame akiwa mshindi (sadly), hayakuisha kwa sababu kagame aliyazuia. Kagame was fighting Rwanda since 1990, hivyo obviously sababu ya yeye kupindua Rwanda haina uhusiano wowote na kuzuia 'genocide'.

6. Quote: "Ninavyofahamu mimi labda kama utaweza kuniaminisha tofauti ni kuwa mauaji ya rwanda 94 yalifanywa na wahutu wenye msimamo mkali na yalilenga watutsi wote na wahutu wenye msimamo wa kati"
Jibu: ninavyofahamu mimi kutokana na ushahidi huru uliopo ni kuwa mauaji ya Rwanda 94 yalifanywa na:


  1. Baadhi ya raia wa kawaida ambao ni wahutu, wenye hasira kali kulenga watutsi wote bila kujali, kulipiza kisasi cha kutunguliwa ndege ya Rais (mhutu) na kuvamiwa nchi na jeshi la kitutsi la kagame.
  2. Jeshi la RPA likiongozwa na Kagame kulenga wanyarwanda wote lengo likiwa kupindua nchi na kuchukua madaraka ikiwa ni muendelezo wa mashambulizi yao toka mwaka 1990.
  3. Jeshi la nchi ya Rwanda wakati huo (ambao leo hii linaunda sehemu kubwa ya FDLR): kuua askari wa RPA katika mapambano halali ya kulinda nchi ya Rwanda kama wajibu wao kwa mujibu wa katiba. Askari wa Kagame wa RPA ni watutsi, wakati jeshi la nchi liliundwa na majority wahutu.
  4. Kiasi kidogo cha askari wa jeshi la Rwanda ambao wali-commit war crimes against tutsi, idadi yao kubwa ilikuwa inapambana na RPA.
swala la mafuvu milioni moja kama ni watutsi au wahutu lilishawahi kufanyiwa utafiti na takwimu zilipotolewa serikali ya kagame ikazikataa. yenyewe ilidai kuwa wahutu ambao ni missing ndio waliocommit mauaji wakakimbia, lakini watutsi ambao ni missing ndio wameuawa! Matokeo yake there are more hutu missing kutokana na genocide kuliko watutsi, lakini somehow maiti zooooote officially ni za watutsi, sasa uliza walijuaje utaishia kama ingabire!
 
WATZ WALIOENDA KU-TRAIN NA KUPIGANA MSUMBIJI WALIKUWA WATU WA MSUMBIJI? anayesifia operation kimbunga ni m...se...ng....

waafrika tulienda kusaidia waafrika wenzetu msumbiji kupambana na mkoloni. Tofauti na tutsi extremists wanao-infiltrate nchi za wenzao ili kuzipindua!
kuhusu hilo tusi lako naamini ma-mod wapo na wanaona. Hivi ndugu, hushangai Rwanda ina wakimbizi congo DRC, malawi, msumbiji, zambia, uganda, tanzania, afrika kusini, ulaya.... Mna tatizo gani nyinyi?
 

Ndugu, kila mtu anahuzunika na kufa kwa watu wale mwaka 1994. Tatizo hapa ni definition ya genocide. Hakuna mtu anakataa kuwa wahutu waliua watutsi au kinyume chake, mafuvu si yapo? itakuwa upumbavu. kinachopingwa hapa ni kudai kuwa mauaji yalikuwa ya upande mmoja, hilo tu. Si kila mauaji ya kikabila na kidini ni genocide, genocide inatakiwa kuangaliwa katika muktadha wake. Ndio maana nilimueleza jamaa mmoja hapa kuwa kama ingekuwa hivyo hapa tu Tanzania tungekuwa na magenocide ya kumwaga; walyanchali na walyanchoka kule mara, wakulima na wamasai morogoro, n.k yote hayo si mapigano ambayo makabila yanauana? kenya je wakikuyu na waluo kwenye chaguzi zao, sudani kusini sasa hivi wadinka na wanani sijui? mbona haziwi genocide?

Tuache kujadili kwa hisia badala yake twende kwa facts, mfano nani alikuwa anacontrol eneo la mto kagera maiti zilikotupwa wakati wa genocide? jeshi la waasi la kagame au serikali? inawezekana vipi jeshi la serikali lipite katikati ya askari wa kagame, liue watutsi, liwamwage mtoni, halafu lirudi lilikotoka kupitia hapo hapo?
Kiongozi mkuu wa interahamwe Robert kajuga, alikuwa ni mtutsi. Utaniaminishaje propaganda kwamba kundi lote hili liliundwa specifically kwa ajili ya kuua watutsi na kwamba simply kila member wake alikuwa ni genocidaire?

Narudia tena nobody hawezi kudharau vifo vya wahanga wa 94. Lakini tatizo huyo ambaye maelezo yake yanachukuliwa kuwa ndio official account (kagame and co) yeye mwenyewe ni mtuhumiwa. Tunasahaulishwa makusudi kuwa huyu bwana alikuwa alivamia Rwanda kijeshi kwa miaka minne toka mwaka 90 akiongoza jeshi la kitutsi. Je kwa miaka minne mauaji ya huyu bwana Rwanda mbona hayakuitwa genocide? wakati ambapo aliowauwa kutokana na takwimu za idadi, over 80% ni wahutu?
kuna mambo mengi ya kujadili hapa, ndio maana hakuna mtu anayeasi kundi la kagame anakaa salama.
 

Mna wakimbizi dunia nzima acha kupotosha watu, wengine mnahamia kiharamu nchini kwetu tumewarudisha kwa operesheni kimbuga!
kula sample hii: Rwandan refugees in zambia reject Kigali passports.
 
Hii ya interahamwe kuongozwa na mtutsi is so preposterous it is laughable. Hata Bagosora na Kambanda would be appalled by such a deposit. Naona Inkingi mko full throttle. Haya endeleeni. He he he.


Your entitled your own opinions not your own facts! FACT: Robert kajuga is a tutsi. Nipeni reference moja tu inayodai vinginevyo tumalize mjadala kama great thinkers.

"Jerry Robert Kajuga was the national president of the Hutu extremist militia, the Interahamwe,[SUP][1][/SUP] which was largely responsible for perpetrating the Rwandan Genocide in 1994.

Ironically, he was from a Tutsi family " source: wikipedia.

"Among the founders of the Interahamwe are Anastase Gasana (now exiled in the United States), rewarded with the post of Minister of Foreign Affairs in Kagame's regime and Desiré Murenzi, who was placed at the head of a major oil company. Also troubling is the fact that Robert Kajuga, the Tutsi President of the Interahamwe, is the brother of a Rwandan businessman named Husi (killed during the Rwandan Genocide), who, according to several sources, has funded the scholarship of Janet Nyiramongi, Paul Kagame's wife.
"
source: Paul Kagame, the Mastermind of the Genocide of Interior Tutsis in Rwanda by Guillaume Murere, Ph.D., Gatineau-Québec, Canada
 
umesahau pia kagame alikuwa mkuu, chief of millitary inteligency wa jeshi la Uganda ( uganda people's Defence Force )

sasa hivi ni rais wa Rwanda,yani hawa watu siwaelewi,Tanzania inabidi tuwe makini

Si kwa chama hiki kilichopo madarakani.Umakini ni karibia 0!Hivi sasa tishio la Tanzania si watutsi!bali wachina wanaoshirikiana na baadhi ya wasaliti kuhujumu kila kizuri chetu!Itakuwa kufumba na kufumbua tutakapoanza kushtuka watakuwa wakituuzia silaha ili zitusaidie kwenye frustration zetu!God forbid!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sasa tujuze, was this one a genocide against all Rwandan people or against Tutsis?

 
....hahhaaaa, imekugusa maana hata kiswahili chako, inaonekana hauna muda mu.re.fu. tz
 

Ndio maana mnajaribu kuji-attach na Kenya???? Rwanda is just a spoon, Tanzania will not destabilise Rwanda but Rwanda will destabilized itself. Subiri akina Kayumba Nyamwasa na FDLR
 
Usiwe na shaka baba lao kagame anawazaba vibao wote wanaopinga utawala wake wa kibabe hata kama ni watutsi vibao tu. I mean wananyongwa hotelini etc etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…