majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 813
you are not tanzanian acha kudanganya watu,rudi rwanda na ndugu zako mkajibu kesi za mauaji mliyofanya na mtashikwa tuu hata baada ya miaka 100
Watutsi siyo waisraeli weusi, ni jamii isiyokuwa na makazi maalum, ndiyo maana hawawezi kukaa pamoja na hawapajui kwao na hawana lugha yao. hicho kinyarwanda ni lugha ya wahutu. Jews wanakumbukumbu ya nchi yao na wana lugha yao na ukoo wao.
Tanzania wapo wengi lakini wana discipline. hawawezi kufanya umafia wao wa danganya toto. CHEZEA NCHI YA NYERERE WEWE!
Nani kakudanganya hawwezi kufanya njamaa zao??? SIKIA HILI, Mwaka 1994/95 Serikali ilimtimua kazi KANALI RUSIMBI pale Lugalo, huyu ni mtutsi kutoka kigoma alikuwa Head of military training officer, kosa alilofanya ni kuingiza jeshini watutsi wengi kupita maneno. Hawa jamaa wapo na wanaendelea na agenda zao zisizofanikiwa. Asili ya kazi zao ni wafugaji, lakini kwa sasa wanafanya biashara ni wapi mitaji inatoka, wanakopeshwa na watutsi wenzao wa Burundi na Rwanda, ushahidi nenda soko la mchele la Tandika wapemba wameingia mitini watutsi ndio wapo wakijifanya ni wenyeji wa kigoma. Anyway ni sahihishe hapo kufanya biashara sio kosa ila kosa lao ni agenda zao za siri.
So what? Peleka garbage zako kwa interahamwe wenzako or keep it to yourself nobody is interested
Swali lako zuri sana, tena sana. Interahamwe yenyewe iliongozwa na MTUTSI Robert kajuga! Na wafadhili wake wakuu walikuwa WATUTSI. Ukiwauliza hili swali hawa watutsi waliojazana humu kuwa iweje mtutsi aongoze kundi la kuua watutsi wenzie, wanakwepa kujibu wote. Ukweli ni kuwa Interahamwe originally lilikuwa kundi la vijana la kisiasa sio chinjachinja, liligeuka genocidal baada ya jeshi la Kitutsi likiongozwa na kagame kuvamia Rwanda. Ambapo kwa bahati mbaya kama kutokana na kundi lenyewe kuwa la vijana, watutsi wote wakageuka maadui.
Genocide unavyoifahamu wewe na watu wengine wengi, ilipangwa na Kagame ili kupata uhalali wa kuiongoza Rwanda (kwa kujidai kuistopisha). Without the so called Genocide, the most that kagame would have gotten ni kuwa included katika serikali ya majority kupitia yale mazungumzo ya Arusha, na si kuunda serikali nzima ya kitutsi kama ilivyo sasa.
Ndio maana hata yule hero wa filamu ya hotel Rwanda, Paul rusesabagina ambaye ni mhutu aliyeokoa watutsi, leo hii ni adui wa kagame, kwa sababu kagame anataka kuaminisha dunia kuwa hakuna mhutu binadamu, wote walishiriki kuua watutsi!
hamna mjinga wa kitusi anayeweza kunishika, wapumbavu wakubwa nyie, viva TANZANIA
Mimi nataka nikuamini lakini tatizo kuna sehemu kama unajichanganya,kwa maelezo yako ni kuwa genocide ilifanywa na watutsi halafu unasema tena hero wa filamu ya hotel rwanda ambaye ni mhutu aliokoa watutsi,aliwaokoa kutoka kwenye nini au kutoka kwa nani na wao ndio walikuwa wauaji?ebu tulia na ujaribu kuja na maelezo zaidi

Atleast umekiri kuwa wewe ni interahamwe. Eti viva Tanzania!!! Viva nini? Kwa kuwa umepata nchi ya kujificha ili uendelee kusambaza chuki zako kwa watanzania. Najua watanzania ni werevu wanajua kuchambua kati ya interahamwe kama wewe na raia wengine. Tutakushika tu hata kama itachukua miaka hamsini.
jMali nimekusoma.Ukirudia hayo maelezo ambayo unaniulizia, utagundua nimetumia maneno "the so called genocide", kumaanisha kuwa there was none! Elewa kuwa si kila mauaji ni genocide. Sikatai kuwa hakuna watutsi waliuawa, nakataa kuwa kulikuwa na genocide against tutsis, that's all. Na kwamba maiti zile milioni moja nyingi ni za wahutu si watutsi.
Labda nianzie mbali, pole kwa gazeti!
Wahutu walikuwa na ndio majority Rwanda (about 84%, mwaka 2009), wakati watutsi ni around 15% na the rest ni watwa. wakoloni waliwapendelea watutsi kwa kuwafanya watawala (soma historia kwa habari zaidi). Ufalme wa kitutsi ulipinduliwa Rwanda miaka ya 1958-59. Na kuundwa mfumo wa kiserekali. Watutsi wa koo za kifalme kama kagame na wengineo walikimbilia uhamishoni kukwepa aibu ya kutawaliwa na 'watumwa' wao wahutu, wakati watutsi wengine waliendelea na maisha Rwanda kama kawaida.
Katika mfumo halali wa kidemokrasia, haikuwezekana tena na hata leo haiwezekani (ingawa kagame amechakachua obviously) given the demographics kwa serikali ya kidemokrasia kujaa watutsi kama ilivyo sasa, wakati wao ni minorities. Kwa hiyo mbinu iliyotumiwa na Kagame ni kuinstigate 'genocide', kwa kuunda jeshi la kitutsi RPA na kuvamia Rwanda kuanzia mwaka 1990 mpaka 1994. Ukitafuta habari zaidi utaona kuwa actually Habyarimana ndio alizuia wahutu wasilipize kisasi kwa watutsi kutokana na mauaji ya waasi hawa wa kitutsi. Yeye ndio alikuwa kama breki iliyozuia mauaji. Habyarimana alifikia makubaliano ya kushare madaraka na hawa 'waasi' wa RPA kupitia Arusha Accords (kama unakumbuka) for the sake of peace mwaka 94.
Sasa tatizo kwa watutsi wafalme kama Kagame likawa kama nilivyosema kuwa hawataweza kuchukua nchi nzima kurudisha ufalme wao. Katika mfumo wa demokrasia, lazima baada ya muda uchaguzi huru utafanyika na serikali itandelea kuwa ya wahutu kwa sababu simply ndio majority, kama ambavyo hapa Bongo hata wahindi wafanyaje hawawezi kuwa majority katika uongozi(rais, mawaziri, ukuu wa mikoa, ubunge, wilaya, wakurugenzi...)! Unless...they have a dictator like PK. Pia kumbuka vile vile kulikuwa na swala la Kagame kushitakiwa kwa mauaji (ambayo sijui kwa nini hayaitwi genocide against hutus, given jeshi la RPA lilikuwa la kitutsi) waliyofanya kwa miaka minne toka 1990 kutokea Uganda.
Hapo ndipo alipomtungua Habyarimana, akijua fika kuwa baadhi ya wahutu watakosa uvumilivu na kuingia mtaani kusaka just any tutsi regardless, na yeye kupata kisingizio kuwa anavamia Rwanda sasa ili kuokoa watutsi wenzie kutokana na 'genocide'. Ndio maana akaweka watu kama Robert kajuga na wenzie kuongoza na kuchochea interahamwe kuchinja watutsi wenzao huku wakijifanya wao ni wahutu ili kukoleza dhana ya genocide apate uhalali wa kuingia Rwanda. Lakini kiukweli majority ya wahutu ilikuwa kama yule bwana wa Hotel Rwanda, sio wauaji by nature! Ndio maana nikasema kuwa genocide against tutsis ni concept ya kutungwa na kagame. Kuna tofauti kati ya genocide na mass-killings (kama great thinker nenda ka-research). Ni kweli waliuawa baadhi ya watutsi na raia wa kihutu but it was never under genocide, sana sana labda kisasi tu.
Waliouawa wengi ni wahutu waliokuwa wana-defend nchi yao isipinduliwe na jeshi la kitutsi la RPA, lakini leo hii mafuvu yao yote Kagame analazimisha yawe ni ya watutsi tu ili kuendelea na dhana yake ya genocide!
Na vile vile analazimisha kuwa FDLR ambayo ni mabaki ya jeshi la serikali halali ya Habyarimana kuwa nao wote ni ma-genocidaire, badala ya kusema ukweli kuwa wao waliuwa waasi wa RPA ambao ni watutsi na sio watutsi kwa sababu ni watutsi. Ingekuwa hivyo kusingekuwa na watutsi Rwanda mpaka 1994, baada ya mapinduzi ya wahutu 1958! lakini ukweli ni kuwa watutsi waRwanda toka enzi hizo mpaka leo majority yao dunia nzima wako Rwanda! Hii inatosha kuthibitisha kuwa chuki dhidi ya watutsi ni concept ya kutungwa tu.
Rusesabagina the hero of hotel Rwanda, ndio yale yale niliyosema kuwa huyu alikuwa mhutu (tena mmoja wapo tu kati ya majority) ambaye aliwahifadhi watutsi wasiuwawe na BAADHI ya wahutu wachache wenye hasira kali. This guy was a normal Hutu, kama wahutu wengine. kagame anamchukia kwa sababu anaharibu version yake ya 'genocide'! anaonyesha kuwa kumbe hakukuwa na simply vita kati ya wahutu na watutsi, bali vita kati ya wanyarwanda (wahutu+watutsi) vs jeshi la waasi wa kitutsi toka Uganda!
Tufanye chemsha bongo: Baada ya siku 100 toka kutunguliwa kwa ndege ya Habyarimana kulikuwa na maiti milioni moja.
Kagame alikuwa na jeshi la watutsi lenye bunduki na risasi wakipigana na jeshi la Rwanda then (ambalo leo ni FDLR). How is it possible kuwa wahutu wa kawaida wameua watutsi millioni moja in that short period of time (just 100 days) wakitumia majembe na mapanga huku wamebeba watoto migongoni, mbuzi, bata, magodoro, n.k wakikimbilia ukimbizini Tanzania, Congo.. na kwingineko? Common sense ni kuwa kuua watu milioni moja in 100 days kunahitaji bunduki, na given kuwa katika kila 10 watu 8 ni wahutu. na kama wahutu ndio waliokuwa wanakimbia wauaji wa RPA under Kagame, na basi hayo mafuvu milioni majority yake ni wahutu!
Ndio maana kuhojihoji utata wa genocide unafungwa mara mbilimbili kama victoire ingabire! Na kuongea amani na FDLR kama Kikwete unatishiwa kupigwa hata kama wewe Rais!
1. Patrick karegeya: kazaliwa uganda kakulia uganda, kasoma digrii makerere, kaingia jeshini uganda hadi cheo cha luteni. Mpaka hapo ungemuuliza uraia si angedai yeye Mganda halisi kabisa huyu? wait for it; baada ya kagame kupindua serikali halali ya Rwanda, ghafla this guy akawa HEAD OF EXTERNAL INTELLIGENCE katika jeshi la ulinzi la Rwanda!
2. James kabarebe: kazaliwa rutshuru congo, kasoma makerere, kawa Chief of military Congo, alipofukuzwa kazi kakimbilia Rwanda, huko akazawadiwa cheo cha chief of staff jeshi la Rwanda!
3. Bosco Ntaganda: kazaliwa Rwanda, kapigana vita vya 94 akiwa na Kagame kupindua serikali ya Habyarimana, huyu si mRwanda kabisa huyu? wait for it; sasa hivi anajibu mashtaka Hague, akidai yeye ni Mcongo kabisaaaaaaaaaaaa! lakini hazungumzi kifaransa, lingala wala lugha yoyote native in congo, bali kinyarwanda tu!
4. Laurent Nkundabatware: huyu naye supposedly ni Mcongo, lakini haieleweki ilikuwaje akajoin jeshi la kagame RPF mwaka 94. baada ya kufanya makosa ya kihalifu sasa anahifadhiwa RWANDA kama "special guest". Kwa nini Rwanda inamhifadhi mhalifu wa kivita anayetakiwa nchi nyingine bila sababu, hakuna anayejua.
5. baba lao Paul Kagame mwenyewe kakulia Uganda toka ana miaka 3 naona hata kuongea alijifunzia Uganda, kawa askari wa Uganda na hata hapa Bongo alikuja kutrain akiwa kama mganda, leo hii....Rais wa Rwanda.
Aliyebuni operesheni kimbunga anastahili pongezi sana.
hamna mtanzania aliyeenda ku-train Msumbiji bali FRELIMO walipokea trainings toka Tanzania sehemu inaitwa Nachingwea mpakani mwa Msumbiji na Tanzania ila ndani ya TanzaniaWATZ WALIOENDA KU-TRAIN NA KUPIGANA MSUMBIJI WALIKUWA WATU WA MSUMBIJI? anayesifia operation kimbunga ni m...se...ng....
Hii ya interahamwe kuongozwa na mtutsi is so preposterous it is laughable. Hata Bagosora na Kambanda would be appalled by such a deposit. Naona Inkingi mko full throttle. Haya endeleeni. He he he.
Ukirudia hayo maelezo ambayo unaniulizia, utagundua nimetumia maneno "the so called genocide", kumaanisha kuwa there was none! Elewa kuwa si kila mauaji ni genocide. Sikatai kuwa hakuna watutsi waliuawa, nakataa kuwa kulikuwa na genocide against tutsis, that's all. Na kwamba maiti zile milioni moja nyingi ni za wahutu si watutsi.
Labda nianzie mbali, pole kwa gazeti!
Wahutu walikuwa na ndio majority Rwanda (about 84%, mwaka 2009), wakati watutsi ni around 15% na the rest ni watwa. wakoloni waliwapendelea watutsi kwa kuwafanya i (soma historia kwa habari zaidi). Ufalme wa kitutsi ulipinduliwa Rwanda miaka ya 1958-59. Na kuundwa mfumo wa kiserekali. Watutsi wa koo za kifalme kama kagame na wengineo walikimbilia uhamishoni kukwepa aibu ya kutawaliwa na 'watumwa' wao wahutu, wakati watutsi wengine waliendelea na maisha Rwanda kama kawaida.