Uraia wa waTutsi !

Haikuhusu! Hii ni forum ya watanzania. Nenda kaongelee kwenye forums za kwenu rwanda (kama mnazo maana no free of speech allowed by the tyrant kagame). Tuacheni na yetu
Huu ni upuuzi na haufai kuendekezwa
 
Wamakonde wapo TZ,wapo Kenya wapo Msumbiji,hao hawawapi shida!!
Wamasai wapo TZ wapo Kenya,nao pia hamuwaogopi.
Waluo wapo TZ,wapo Kenya,hata hao hawawatishi,
Ila mkisikia MTU ana jina linalofanana na Waganda,Rwanda,Burundi,mnatetemeka,!!?shida nini?
Wenyeji wa Kagera,wanauhusiano wa kinasaba na hayo mataifa,kama wamakonde wa masasi wanavyoelewana na wa Msumbiji,
Acheni kuwashwa jamani,mipaka iliwekwa na wakoroni,hakuna aliyechagua kuwa kwenye mipaka aliyopo
 
Nimesoma, nimeishia kucheka.
 
Huyo dktari Bizima Karaha ( Bizimana Karahamuheto) ni mnyamlenge hakuwahi kuwa waziri Uganda wala Rwanda, isipokua alikuwa FM wa Desire Kabila.
 
Tumeanza kuyaona na kuyala matunda ya hima empire sasa!
Kikwete hakutaka ujinga na hawa watu hata kidogo
 
 
Umechambua vzr
 
Duuuh umechambua
 
Watutsi ni kama WAYAHUDI......

Tunapotoa URAIA VYOMBO vyetu vifanye VETTING YA KUTOSHA KWENYE BAADHI YA NAFASI ZA UONGOZI NA KWENYE VYOMBO.....

Hawa watu HAWAAMINIKI
 
umesahau pia kagame alikuwa mkuu, chief of millitary inteligency wa jeshi la Uganda ( uganda people's Defence Force )

sasa hivi ni rais wa Rwanda,yani hawa watu siwaelewi,Tanzania inabidi tuwe makini
Kumbe money stunna huko active tu. Last seen October 2022
 
Rip Karegeya...

Huyo Ntaganda (Terminator) kawasumbua mno raia wa Drc bora afungwe tu.
Moronight walker mtu chake
 
The real great thinking. Hii post inanifurahisha sana
 
Je Joseph kabila😀
 
NAHITAJ NIMJUE ZAIDI HUYU BIZIMA KARAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…