Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
Mmmh.......humu jamvini humu??? Heheh.....haya bana......
Pole sana Judgement
Wife asha'conceive! One moon already on the table!
Ukwaju, Ubuyu, Embe mbichi ndizo bidhaa zinazo play big role in my fridges!
Ndugu yangu wanipa pole? Sijakuelewa pole ya nini ?
Kama itakuwa ya kubebelea haya maukwaju itahusu asante.
Ulikuwa Bugando mapema ya jana ukisubiri kuitwa kumsafisha marehemu,umekumbuka sasa?
Kwa kupachika bao,nakupa hongera,ila uwe na uhakika ni wewe uliyefunga,maana..lol
Urafiki wa humu si wa kinafiki kabisa.......... huu ndio urafiki halisi, mambo ya kutembeleana na kununuliana soda nani atayaweza....... marafiki zangu wakae huko huko, siwahitaji mie......................LOL
Wana wa Bodi, awali ya yote niseme poleni na mishemishe za kutwa ya leo.
Nikiwa nasoma shule ya wavulana miaka ile, nilikua na rafiki yangu tuliekua twasoma shule moja. Mara kadhaa wakati wa kurejea hom tulikua tukifatana nae, kwetu mimi palikua karibu na shule, na mwenzangu kwao palikua mbali , (kwa mujibu wa maelezo yake.)
Hivyo mara nyingi ilikua tukitoka skuli tunafika nae kwetu kama kuna karizki tunafinya nae, siku nyingine anapitiliza n.k. Ikatokea wakati rafiki yangu akawa mgonjwa na hakuweza kufika shule. Na hadi kufikia kuumwa mi sikua nikipajua kwao.
Siku moja Mama yangu akaniuliza "Mbona yule mwenzio kitambo haonekani ?"
nikamjibu kua anaumwa.
Mama akaniuliza "Umeshawahi kwenda kumjua hali ?"
nikamjibu mama kua kwao sipajui.
Maa akaniambia "Basi huo urafiki wenu ni wa kinafiki"
nikamuuliza maa kwa vipi ?
Akanijibu "Kawaida urafiki wa kuishia barabarani, si urafiki wa ukweli, je? Ukisikia amekufa ndiyo ukapatafute kwao siku ya msiba?"
Sikua na majibu ya kumpa maa.
Hapa Jf members wengi ni marafiki, bt majority wao ni urafiki unaoishia majukwaani.
Hivi mimi Judgement leo nimekufa hapa mtajuaje? Hata zile R.I.P zenu nitazipataje ?
Mf. mdogo hapa kuna members kitambo hawaonekani kama,
> Nitonye
>Maprsoo
> Figaniga
> F. Foxy
> AshaDii - afadhali kidogo Ashadii twaweza pata habari zake kwa Bro. Kaizer je? Hao wengine ? Nani ana data zao?
Aidha hao Members niliowatanya hapo ni baadhi tu, bt wako kibao. Mimi sipendezwi sana na urafiki wa kihivi. Napenda nikisikia member flani anaumwa nikamuone, ana shida nimsaidie, nami nna tatizo tunasaidiana hata kwa mawazo. Basi si mbaya mkaacha kujuana Members mnaoishi mikoa mbalimbali. Lakini unakuta mko mkoa mmoja hamjuani. Member anakufa si ajabu pengine mnaishi jirani , lakini hutomzika coz hamjuani, lakini Jf mlikua marafiki mnachart mnafurahi n.k Hii inaskitisha sana.
Naomba kutoa hoja.
Judgement.
Kajaa tele kama pishi la mchele mzee wa 100 yupo nimemuona leo akichangia mada!!
Namie nshamuona, karudi hivi majuzi, sema karudi safari hii na lukwale au kilalo au kiwingu, asione mstari wa chupi kwa nje ya nguo ya demu lazma afukuzie, khaaa! .
Asikute nyumba yeyote kumeanikwa nguo, na ukambani akiona chupi ya kike, au sidiria atasimama aviangalie hata kwa dkk 5 hivi ndo aendeleze safari.
hahahaaaa...!! itabidi unigawie mmoja la sivyo utakosa wote. nasty namtaka na Madame B pia. so kazi kwako. Mia
Kitasa changu kinatumika kwa funguo yangu tu! Labda ujaribu huko kwa MadameB, ambako naamini nako utaangukia pua!
Nakushauri kwa kua ww ni mpenzi wa "ndogo" endelea kusamamba kwengine, coz ktk hawa hakuna anae'allow "ndogo"
Mtei!
Mambo? Afu unapoteaga sana! Kama BAGAH ?
Mnabanwa na mijimama nini? Unajua kuna mijimama mithili ya miss Bantu! Inakaba penati kama mpira wa kona!
Hata nami Nicas,
yani niko mbendembende juu yako.
Nimekumiss mbaya.
Acha mchezo wewe.
Mbele ya mijimama,
hata kazini utatamani usiende kwa huduma zao/zetu.
Anatimiza majukumu yake bhana.