Urafiki wa kupeana lift na kadhia zake

Urafiki wa kupeana lift na kadhia zake

Mkuu, hizi issue za lift ni umaskini wetu tu. Kungekuwa na public transport ya maana nani angetaka lifti ya mtu? Kero kubwa ni kuanza kujieleza kwa mtu wakati ni gari lako. Hoh leo sipiti huko, mara siondoki muda huu.

very true...ni umasikini tu
kuna nchi watu wanakutana hata magari yao huyaoni..
magari yapo tele,parking tele,barabara tele,train za umeme tele....
wat hata hawajuani yupi mwenye gari yupi hana...
 
Very big deal here in africa...
you have to travel and be exposed to realize cars are not a big deal....

First off, I hate driving (especially in Dar). Secondly, I hate sitting in the front passenger seat of a vehicle.

But what I don't understand is for a grown ass man or woman to have a fit just because they've been asked to move to the back passenger seat.

But then again why ask someone to move to the backseat? What's the big deal about sitting in front?

I wonder!
 
Kwani kukaa sit ya mbele ni big deal kwako?
Huyo girlfriend wako akikaa yeye siti ya nyuma(asipo kaa siti yambele) kuna tatizo gani?

Haya magari wengine tunayaona ukubwani labda ndo maana siti za mbele zinatutoa ushamba. Kukaa mbele mtu baki na girlfriend akae nyuma mimi sikubali, unless girlfriend atokee kati kati ya safari na haikuwa planned kwamba nitampitia.

Ila kama najua nitampitia, unapoingia nakuomba mapema kwamba atakuja atakaa mbele, kama hautajali kaa nyuma kabisa. Sasa unakuta mtut anakubali kwamba atahamia nyuma halafu baadae anazingua kuhama.
 
mimi huwa sishobokei lift kabisa...
daladala is very okay with me hata kama njia nayokwenda kuna watu kumi wenye magari wanaelekea huko nawafahamu
na siwezi endesha gari ya mtu,ndugu au hata girlfriend tu...
nilishazoea kutazama vya watu with 'disdain'

Pokea like 10000000
 
kuna nchi watu wanakutana hata magari yao huyaoni..
magari yapo tele,parking tele,barabara tele,train za umeme tele....
wat hata hawajuani yupi mwenye gari yupi hana...

Watu huondoka na magari nyumbani kwao wakiwa wanaenda kazini.

Lakini hayo magari wanaenda nayo mpaka train au bus station na kupanda train au bus mpaka makazini.

Wakifika wanapoenda wanashuka halafu wanapiga teke mpaka kazini kwao.

Kama hujui au kama uko mshambamshamba unaweza ukadhani hao watu hawana magari kumbe wapi!

Wanayo tena mazuri kabisa lakini wanaona ni kero tu kuyaendesha mpaka huko makazini kwao.
 
Haya magari wengine tunayaona ukubwani labda ndo maana siti za mbele zinatutoa ushamba. Kukaa mbele mtu baki na girlfriend akae nyuma mimi sikubali, unless girlfriend atokee kati kati ya safari na haikuwa planned kwamba nitampitia.
Sidhani kama nina la kuongezea zaidi.
 
kwangu sina tatizo na kumpa mtu lifti, ila sihitaji unipe maelezo, utakwenda vile nitakavyo....
 
Haya magari wengine tunayaona ukubwani labda ndo maana siti za mbele zinatutoa ushamba. Kukaa mbele mtu baki na girlfriend akae nyuma mimi sikubali, unless girlfriend atokee kati kati ya safari na haikuwa planned kwamba nitampitia.

Ila kama najua nitampitia, unapoingia nakuomba mapema kwamba atakuja atakaa mbele, kama hautajali kaa nyuma kabisa. Sasa unakuta mtut anakubali kwamba atahamia nyuma halafu baadae anazingua kuhama.


uko very right kuhusu magari kuyaona ukubwani na tabia zetu
wale waliozaliwa nyumba baba ana gari na mama ana gari wana behave tofauti na wale
ambao kwenye ukoo yeye ndo wa kwanza kuwa na gari....
 
wewe uko naive tu
mali yako unapaswa kuitumia unavyopenda
wala hutakiwi kumpa mtu maelezo why huwezi mpa lift
au why akae nyuma....

cha kwako....ambae hataki atafute chake......

Ni ngumu kwenye maisha ya nusu ujamaa nusu ubepari!

Kuna siku nilimshuhudia mshkaji kwenye bajeti yake ya matumizi ya mwezi amefuta nauli kaweka "lift". Tokea siku hiyo nilimwambia simpi lift labda alipie, mpaka ananunua gari ndo tumeanza kusemeshana, alinuna mazima.
 
Hahahaha mimi nilivomwona rais wangu anakaa siti ya nyuma basi hata mimi niliamua kuachana na siti za mbele
 
uko very right kuhusu magari kuyaona ukubwani na tabia zetu
wale waliozaliwa nyumba baba ana gari na mama ana gari wana behave tofauti na wale
ambao kwenye ukoo yeye ndo wa kwanza kuwa na gari....

Baba ana gari, mama ana gari, watoto wote kuanzia 16 and above wana magari...hata vi-toddler navyo vina vigari vyao (toy cars)

Halafu kuna lile gari la familia nzima - van au SUV kubwa...
 
Kwani kukaa sit ya mbele ni big deal kwako?
Huyo girlfriend wako akikaa yeye siti ya nyuma(asipo kaa siti yambele) kuna tatizo gani?

Kwa watu wengine ni bonge la deal huwaambii kitu,kuna siku moja mke mwenzangu alinuna kwelikweli kisa kaambiwa akae nyuma amuachie mama mkwe wake akae mbele,ilikuwa ni bonge la soo.
 
Wewe ni mmoja wa malimbukeni, na inaonekana mademu wanakushika sana masikio!
 
Kwa watu wengine ni bonge la deal huwaambii kitu,kuna siku moja mke mwenzangu alinuna kwelikweli kisa kaambiwa akae nyuma amuachie mama mkwe wake akae mbele,ilikuwa ni bonge la soo.

Kuna standards huwa tuanazi'create for nothing.
nchi za wenzetu huko ambako ndo wanatengeneza magari, siti ya mbele sio ishu kabisa lakini sisi ambao hata kiwanda hatuna tuna'complicate.
 
Magari watengeneze Wajapan, Wajerumani n.k lakini Waafrika mwabaki kutifuana huku...
 
Ni ngumu kwenye maisha ya nusu ujamaa nusu ubepari!

Kuna siku nilimshuhudia mshkaji kwenye bajeti yake ya matumizi ya mwezi amefuta nauli kaweka "lift". Tokea siku hiyo nilimwambia simpi lift labda alipie, mpaka ananunua gari ndo tumeanza kusemeshana, alinuna mazima.


hahaa magari yenyewe mkopo hujamaliza halafu umpe mtu lift afunge mlango kwa nguvu lazima umfokeee
 
Wewe ni mmoja wa malimbukeni, na inaonekana mademu wanakushika sana masikio!
Sio hivyo mkuu, sometimes inategemea na ni jinsi gani unakipa value kile kitu demu wako anakupa.Na ukumbuke kile kitu ni Utility, na utility value differs kutoka mtumiaji huyu na yule, so kwangu kile ni kikubwa sana na automatically demu wangu namrank namba 1 kwa washkaji.
 
Back
Top Bottom