Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,563
- 16,260
Urafiki upo ila the moment mmoja wenu akilewa au kupata stress za kuachwa, hiyo kweli huwa inabadilika na kuwa story nyingine kabisa!
Sio lazima. Kwani wafanya biashara au wale wanaofanya shughuli zinazofanana e.g. wanajeshi, wachungaji n.k. mbona wanaweza? Cha msingi usiingize au kuruhusu "visungura" au dengelua.Mazungumzo ya jinsia mbili tofauti zinazojiita marafiki daima huishia kwenye ujinga
Kwani urafiki ni nini? Tofauti ya Urafiki na Mahusiano ikizingatiwa naona hakuna shida. Kumbuka marafiki wanaweza kuachana i.e. Kusitisha urafiki baina yao mara moja ikiwa mmoja atafanya maudhi/machukizo kwa mwenzake.Urafiki upo ila the moment mmoja wenu akilewa au kupata stress za kuachwa, hiyo kweli huwa inabadilika na kuwa story nyingine kabisa!
Kwenye hoja yangu umeona kuna sehemu nimepinga hiki ulicho kiandika hapa?Kwani urafiki ni nini? Tofauti ya Urafiki na Mahusiano ikizingatiwa naona hakuna shida. Kumbuka marafiki wanaweza kuachana i.e. Kusitisha urafiki baina yao mara moja ikiwa mmoja atafanya maudhi/machukizo kwa mwenzake.
.......ila the moment mmoja wenu akilewa au kupata stress za kuachwa,......Kwenye hoja yangu umeona kuna sehemu nimepinga hiki ulicho kiandika hapa?
Au hujui kusoma vizuri?
Kama umetafsiri hayo maneno kuwa nimepinga, obviously haujui kusoma kwa ufahamu........ila the moment mmoja wenu akilewa au kupata stress za kuachwa,......
Ukishaanza kufikiri habari za mwanamke kuvutia itakuwia ni shidakwa sababu urafiki utabadilika na kuwa ni Mahusiano. Lakini kama ni kufahamiana,uwa na interest/hobbies zinazofanana au shughuli zinazo waweka karibu e.g. biashara, au majirani, urafiki wa jinsia tofauti unawezekana kabisa e.g. Ndo mana watoto Ke wa mjomba wanaweza hata kulala kwako.
Nilishayaona mnakua marafk badae mtu anakugeuka mwisho wake unakua ugomvi mkubwaUkishaanza kufikiri habari za mwanamke kuvutia itakuwia ni shidakwa sababu urafiki utabadilika na kuwa ni Mahusiano. Lakini kama ni kufahamiana,uwa na interest/hobbies zinazofanana au shughuli zinazo waweka karibu e.g. biashara, au majirani, urafiki wa jinsia tofauti unawezekana kabisa e.g. Ndo mana watoto Ke wa mjomba wanaweza hata kulala kwako.
NeverJe, kuna urafiki wa kweli usio na hisia za mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?
Kiukweli mimi ninaweza yaan demu tukianza tu kuwa marafiki mimi inakua ngumu kumgegeda kuna demu mmoja mm nilimchukulia rafiki tulikua tukishare mawazo sasa kumbe mwenzangu ananivizia kwenye kona alikua ananialika kwake utakuta ananunua k vant anawasha mziki halafu ye hanywi sana ile k vant mi nikilewa nasepa zangu tulikua tunamshikaji wetu mwingine wa kiume alikua haamini kama yule demu mi simli ye aliamini namlaJe, kuna urafiki wa kweli usio na hisia za mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?
Inaweza tokea ni kweli.Lakini ni vyema ukamweka wazi kwamba urafiki utaishia kwenye Urafiki tuu na si vinginevyo.Nilishayaona mnakua marafk badae mtu anakugeuka mwisho wake unakua ugomvi mkubwa
Nimeokoka nampenda Yesu...Mbona unamchelewesha unakwama wapi weyeee?????
Ungeshamfumua kitambo acha kuzubaa!!
Chukua hii ♥️I'm Girl's best friend..nina Marafiki wa hivyo kama wanne,na wazo la kufanya kua nao kimapenzi halijawahi ku cross my mind,nawachukulia kama my boys,and yeah I call them brothers...
Kitu ambacho siwezi mwanamke nikishakua nae kwenye mahusiano baadae tuachane tuwe marafiki,huwa siwezi hata nikijaribu..Chukua hii ♥️
marafiki wa jinsia moja ni mara chache kua really hasa wanawake
Wivu chuki na roho mbaya kunafikianani🤞
Ukiacha wale ninao engege nao mtandaoni
Sina rafiki wakike in real life ninao kaka zangu wa kiume ambao hata nikikwama wao wapo na mimi na tunaheshimiana mnoo nikizingua wana nichana bila unafiki 🧡
Hakuna urafiki baada ya kuachana ni mnatengeneza mazingira ya kupasha viporo hapoKitu ambacho siwezi mwanamke nikishakua nae kwenye mahusiano baadae tuachane tuwe marafiki,huwa siwezi hata nikijaribu..
Tumuombee apumzike kwa amaniHii imenigusa nimejikuta nalengwa na machozi rip daudi