realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,335
- 18,413
Nachungulia Chungulia tuUpo kanisani na simu? Zima😅
Nachungulia Chungulia tuUpo kanisani na simu? Zima😅
Msikilize padri na utubu dhambi zako sasaNachungulia Chungulia tu
Sawa Ba mtuMsikilize padri na utubu dhambi zako sasa
Hapo sawa ila kikawaida usijaribu mtakulana na urafiki utayumba kama sio kuishia hapoNdio 😛
Sawa Bro sitajaribuHapo sawa ila kikawaida usijaribu mtakulana na urafiki utayumba kama sio kuishia hapo
Bado mtu anakuwa na kauoga fulani wengine mpaka chuo. Hiyo hali wengi huwapotea kabisa 25yrs+Advance mtu hajakua vizuri?
Inawezekana ila sio na wao hatupo karibu tena
Bro mwenyewe, uchoyo tuSawa Bro sitajaribu
😜Bro mwenyewe, uchoyo tu
Choyooooooo😜
Hujaomba vizuri 😜Choyooooooo
Hata kama ndio uniite bro kweli?Hujaomba vizuri 😜
Sorry 😊Hata kama ndio uniite bro kweli?
sorry haitoshiSorry 😊
Sema unataka nini?sorry haitoshi
Hakika mkuu, ni safari yenye episodes nyingi sana! Penye kufurahi watu wafurahi maana zinakuja nyakati za huzuni na taabu huko mbele!Maisha ni safari ndefu sana