Urafiki wa Jinsia Tofauti

Urafiki wa Jinsia Tofauti

Mi nilikuwa nae bint wa Kiha alikuwa rafiki yangu sana na alikuwa anakuja hadi nyumban kwetu, ila kuna siku sijui ilitokea nini nilijikuta namnyonya chuchu nae akasema ngoja nifunge mlango daah kumbe naye alikuwa anahamu na mimi siku nyingi kiukweli nilimtafuna, hivyo kwa kujibu hoja yako hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume na kama upo bas kuna mmoja kati ya hao anamlia rada mwenzie ipo siku watavuana nguo na kuunganisha vikojoleo
 
Je, kuna urafiki wa kweli usio na hisia za mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?
Urafiki huo HAUPO! Na ikitokea ukawepo, basi mmojawapo anatakiwa apuuze hisia za mwingine. Kinyume na hapo mtaangukia tu kwenye mapenzi.
 
Niliwahi kuwa na rafiki anaitwa Daudi.

Huyu nilikutana nae shule ya msingi na chanzo cha ubest ni ukorofi wake.
Basi daudi alikuwa na kundi lake la uonevu ikatokea akawa best na kuwa ananilinda shule,,, miaka ikaenda tukamaliza.......
Secondary siku hiyo kukawa na disco shuleni kumbe ile shule jirani alikuwa anasoma daudi tukakutana tena story story pale akanitambulisha kama dada yake. pia akawa ananilinda mpaka nikamaliza.

Miaka ikaenda tukamaliza tukaja kukutana tena chuo. chuo tuliishi kama ndugu ndugu kabisa.
Basi kuna siku nikaja kuitwa niende block no 10 kufika namkuta daudi anaumwa sana. nilimuuguza kama wiki mbili hivi akapona!! alivyopona akaniambia leo umenipa hisia za mama sitakusahau.

Basi tulifanikiwa kumaliza,,, sasa ule u best siku ya kuagana tulikumbatiana lia sana pale..... Daudi alilia sana akaanza kuniambia story yake.
kamaliza chuo hana pa kwenda!! Mama yake alifariki siku aliyozaliwa na baada ya hapo baba yake alioa mke mwingine sasa kule nyumbani kuna mateso sana hawezi kurudi ni bora aende mbele yeye ni mwanaume atajua la kufanya.
Alikuwa na mshikaji wake mwanza akaenda huko.
Baada ya miaka mingi nikakutana na daudi kwenye harakati za maisha. akaniambia ameoa na ana mtoto.

Basi ikapita miaka mingi sana tena siku hiyo nikapokea simu nikapewa taarifa za msiba.
Daudi alikutwa mpakani kabanga amekufa na akiwa ametobolewa macho. katika vitu alivyokutwa navyo ni address yangu, na barua yenye mambo ambayo hakuweza kunieleza.
Nilikuta wamesha mzika,, kwenye barua nilipata maelekezo ya mtoto alipo na nilienda kumchukua maana yule mke walitengana mtoto alikuwa kwa rafiki yake.
Mule ndani ya barua aliandika kuna sehemu aliandika hivi " nisamehe kwa kuoa lakini natafuta pesa niweze kukuoa kwani maisha yamenifanya nioe bila kupenda nakupenda na nitakupenda daima". kama unavyojua maisha ya yatima lazima nikuhakikishie usalama utakao kulinda maisha yako yote.
barua ile ilikuwa ina vitu vya majonzi sana maana alijielezea kama akijua anakufq
nilimfuata kijana na niko naye mpka leo maana ndani ya barua aliomba sana nisimpeleke na asilelewe na watu wa kwao
Kijana ni genz yuko form three anafanana na baba yake sana!!!!
Mimi zaidi ya best best yangu aliniachia zawadi ya mtoto.
Hii imenigusa nimejikuta nalengwa na machozi rip daudi
 
I'm Girl's best friend..nina Marafiki wa hivyo kama wanne,na wazo la kufanya kua nao kimapenzi halijawahi ku cross my mind,nawachukulia kama my boys,and yeah I call them brothers...
Kwa miaka mingapi?
Siku yako bado inakuja
 
Je, kuna urafiki wa kweli usio na hisia za mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?
Ngumu sanaa sanaaa hii, mimi nina dada mmoja tulikutana kazini tukawa marafikii kweli kweli baada ya miaka mitano tukajikuta penzini. Tena penzi zitooo.

Ili liwezekane hilo labda msiwe na ukaribuu na msiwe na muda mrefuu wa kua pamoja
 
Haupo labda kama mwanamke awe havutii
Ukishaanza kufikiri habari za mwanamke kuvutia itakuwia ni shidakwa sababu urafiki utabadilika na kuwa ni Mahusiano. Lakini kama ni kufahamiana,uwa na interest/hobbies zinazofanana au shughuli zinazo waweka karibu e.g. biashara, au majirani, urafiki wa jinsia tofauti unawezekana kabisa e.g. Ndo mana watoto Ke wa mjomba wanaweza hata kulala kwako.
 
Nikiwa form 6 kipindi cha necta nilikua na marafiki zangu wa kiume wawili tulikua tunadiscuss hadi usiku wa manane tukichoka tunalala kiroho safi
Ni sahihi -Ndiyo. Hakuna lisilowezekana. Tuachane na ile mentality kwamba ukiwa karibu na jinsia tofauti na wewe kazi ni moja tu i.e mapenzi.
Nilipokuwa JKT; mazoezi ya porini, tuliwekwa handaki moja (Y-form) na mabinti wawili na hakuna kilichotokea hadi asubuhi.
 
Back
Top Bottom