Urafiki Na Mume wa Mtu!!!!!!!!!

Urafiki Na Mume wa Mtu!!!!!!!!!

Si mpaka huyo mwanaume akubali uambatanw naye.. Wengi wao wanaona kama wanabanwa kwenda kwa washkaji zao. Wanadai wanahitaji privacy!!!!!!!!!!

Hahahaaaaaaaa! Umegundua eeeeh! Ukimsindikiza bia sio tamu!!!!!! Na kweli 90% hawataki habari za kusindikizana!
 
Usemacho ni kweli nyumba kubwa..... They are very smart hata katika kujieleza kwa wake zao. Na kwa bahati nzuri au mbaya huwa wanapata wake wapole kweli.

Mie hapa ni muhanga wa huo urafiki ingawa ni kwa boyfriend wa mtu na sio mume wa mtu. Mwisho wa siku nilijikuta matatani baada ya girlfriend wa huyo jamaa kuhisi mie natoka na jamaa yake kumbe we were friends with benefit.

Dah kidogo nihamishwe mji, ila kwa sasa tumepunguza ukaribu kwa kiasi kikubwa!!!!

Hahahaaaaaa! GF tu hata pete hana ndo akuhamishe mji? Aaaaaah wapi! Mi hata mkewe akija juu nitamuomba ushahidi wa wapi tulipomkosea?????
 
Tunahitaji sana kampani ila wake zetu wakiona hulali usiku mpaka ujibu page 10 za maswali na ujibu kulingana na marking scheme yake. Ili kuepuka hilo basi tunajitenga ingawaje kwa maumivu

Ndo mjiepushe kuoa wake MADICTATOR!!!!!!!! Utakubalije kuwa questioned kitu hakina hata ushahidi!!!!? yaani busy kabisa una adress assumtions za mtu!? Alete evidence ndo uanze kujitetea!
 
unapenda niumbuliwe eeeh!!!! hawezi kuweka kwani hakuna sehemu nimelia humu JF....labda ka alikuja kunichungulia gheto...hapo sitoweza kataa!!!!
WEKAAAAAAAAA!!!!!!!!! Tupia tupia!
 
Hahahaaaaaa! GF tu hata pete hana ndo akuhamishe mji? Aaaaaah wapi! Mi hata mkewe akija juu nitamuomba ushahidi wa wapi tulipomkosea?????

Yan we acha tu bidada.... Hata engagement ring bado mdada hajiamini hata kidogo. Je akiwekwa ndani?? Kidogo anikodishie vibaka....

Chezeiaya CL wewe... mamaaa ya Rock City!!!!!!!!!!
 
urafiki upo pia kati ya me na ke ila inapofikia mmoja wapo ameolewa huo urafiki ufe ibaki kujuliana hali na kusaidiana ktk matatizo tena si kwa siri!
linapokuja swala la kupeana mitoko na mke/mme wa mtu hivi kwel inaingia akilin mkeo anakupigia cm kua atachelewa kidogo kurudi kwa kua amepewa mtoko na rafiki m/me?
 
History ni watu kwenye unywaji nikiwakaribisha waongeze bili, na wasinywe kwa mawazo saa ya kuondoka wanaanza kuuliza yule ndo shemeji mpya? Flani imekuwaje? Nawaambia ukweli! Nooooo! Yule ni Flani rafiki yangu, ana MKEWE na Mtoto, jst company!!!!!! Ndo wanaanza risala zao ndeeefu! Na bia walizokunywa wanaanza kuziona chachu!!!! LOL! Japo wengine vichwa vibovu wanadai kama shamba limenishinda niwaunganishe wao wakalilime!!!!!!!!! Sasa nikiwagomea kuwa Noooooo! Yule ana MKEWE na Mtoto wanaanza kunigeuzia kibao kuwa sina lolote kama ana mkewe mimi nafanya nae nini pale!!!!!! Tena wana nituhumu mie ndo mnafiki zaidi coz simpi chochote zaidi ya kumlia pesa zake! LOLEST! Bora niwaachie wao wampooze! Sasa unaona mi simtendeshi dhambi na siruhusu mtu amtendesha dhambi! The Wife is Safe with Me!

lara 1 hahahaha, umenikumbusha binti mmoja miaka ya nyuma kabla hii miaka ya "sukari kuingia sumu". yeye alipata safari ya mwaka kwenda masomoni basi bibie kabla ya kuondoka akamchukua bf wake na kwenda kumkabidhisha rasmi sugar mummy mmoja aliyekuwa anasemekana huwa anajinafasi na huyo bf. na kumwambia "nakuachia mali zangu nitunzie".

huyo binti akaja nieleza shughuli aliyofanya (mimi nilikuwa rafiki wa karibu sana) nikamuuliza "kulikoni? si uklikuwa unalalamika kuhusu huyu maza?" akanijibu kwamba akimuacha jamaa loose anaweza dakwa na mabinti wenziye na ikawa ndio imetoka, ila huyo bi mkubwa hawezi olewa na njemba hivyo mali zake atazikuta salama. na kweli alikwenda nje ya nchi na kurudi na kukuta mali zake salama.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mdada anaitaka imuingie kuliko ht huyo jamaa sema tu anamuendekeza mpaka apate ujasiri wa kumtamkia yani itakuwa kama kumsukuma mlevi. Kama ame disclose ishu kwa baby wake akaruhusiwa well and good na pia pale walipokaa kama ana ujasiri wa kumpigia mumewe na kumpa jamaa simu wasalimiane well and good. Kinyume cha hapo ni fikra za kifreemason tu na kitakachoendelea ni ufreemason ingawa tuna tabia za kujiona sisi sio freemason bali wale waliojitangaza. Dunia nzima ni freemason kimyakimya kwa kumsujudia mungu wao kwa matendo yaliyo kinyume na matakwa ya mungu kuhusu jamii ya binadamu
 
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!

Peopleeeeeeeeessssssssssss!!!!!!

Jamani ile tabia ya ubesteee na Mume/Mke wa mtu wa kukolea japo hamfanyi chochote jamii inauchukuliaj! Mfano wa company ya Bier, na mitoko maybe na stori stori za maisha!!!! Eti kama umeolewa afu mumeo ana rafiki rafiki mdada will it bother you?

For me sioni tatizo coz vita ushavishinda na ndani umewekwa, sasa kwanini usijiamini!? For me i have a friend this married guy tulikuwa tunafanya kaz wote zamani, he is super nice, sio mchoyo kabisaa, plus anaenjoy company yangu sanaaa! Hajawahi kuniomba kidude! Kjistukia tu na kumpotezea naona sio haki, sababu mtu hajanikosea chochote! hatujakwaruzana! Tena kila mda anamuongelea mkewe like its kitu cha kawaida!

Japo kuna wadu wananiponda sanaaaa! Sasa mi sioni kosa liko wapi? He is not cheatting on her!!!! Wala hajawahi kugusia hilo swala! Kwani a dude akioa ndo mwisho wa urafiki wake na wadada!???? Kosa lake labda kutoa offer za bier!

Eti wajameni hapo kuna utratra wowote ili nimpotezee huyu baba flani au it is okay kumchangamsha changamsha bab flani wa watu!

Lara1,
wewe unajua story sana tena sana,bt urafiki na Mume wa mtu is very risk,unajua nini,Pale anapoboreka home lazima amtafute lara1 kwa kumfariji,BT JAMANI KWANI Hakuna wasiooa vijana?ukaribu unaweza kukuingiza kwenye risk sana haswa jamaa mambo yakiteleza kidogo home,mke wake anaweza kufatilia anapofanya kazi huwa yuko karibu na nani ukajikuta ni wewe,Then hata kama ni maongezi tu...utaulizwa maongezi hayo mazuri unayo wewe tuuuu? TRY TO KEEP DISTANCE NOT KUMUACHA BT DISTANCE 100KM..Jamii isihisi kitu,hata sisi kuna jamaa ilimtokea hivyo kazini kwetu jamaa kwa mwaka mmoja anaurafiki na mke wa mtu for Good lakini,mbeleni mdada kazidiwa kajikuta anampa jamaa,its human being,so keep DISTANCE...LARA1 MY Lovely sister....
 
mwanzoni urafiki kama huo huwa hauna madhara (harmless) lakini taratibu feelings huanza kwa hao wawili! katika siku isiyojulikana watajistukia wamevuka mipaka ya urafiki wa kawaida. pia napenda kumuuliza mtoa mada, je mke wa jamaa anajua urafiki wenu?
 
Kwa kweli urafiki na wanajinsia tofauti na ya kwako ilhali mtu upo kwenye mahusiano ya kimapenzi si jambo zuri kwa afya ya penzi lenu, kwa mtazamo wangu.

Lakini watu nao hawaaminiki. Wewe na mwenzako mnaweza mkakubaliana kwa maneno kuwa msiwe na marafiki wa jinsia tofauti lakini kimatendo ikawa tofauti kwa sababu huwezi jua kwa yakini kama kweli mwenzio anafuata hayo makubaliano.
Unachoweza kujua kwa yakini ni matendo yako wewe mwenyewe kwa upande wako.

Ila makubaliano kama hayo yana changamoto zake pia. Kwa mfano, mtapokubaliana hivyo ina maana wote mtaacha urafiki na wale wa-jinsia tofauti ambao mlikuwa na urafiki nao kabla ya nyinyi kuwa 'item'? Sidhani kama ni kitu rahisi kuacha urafiki na mtu ambaye hamjakwazana naye ila nadhani ni rahisi kidogo walau kupunguza mawasiliano.

Hivyo, mimi naona ni bora zaidi kuendelea tu kuwa na urafiki na yeyote yule ambaye mlikuwa na urafiki naye kabla ya wewe kujifunga kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu. Kwa nini nasema hivyo? Nasema hivyo kwa sababu watu hatuaminiki.

Ni bora mambo kubaki kama yalivyokuwa kuliko kuja kuwa na majuto na lawama (za ulinifanya hadi nikaacha urafiki na rafiki zangu kwa ajili yako) huko baadaye.
 
mwanzoni urafiki kama huo huwa hauna madhara (harmless) lakini taratibu feelings huanza kwa hao wawili! katika siku isiyojulikana watajistukia wamevuka mipaka ya urafiki wa kawaida. pia napenda kumuuliza mtoa mada, je mke wa jamaa anajua urafiki wenu?

Ananijua jina tu ila hajawahi niona!!!!!!!!!!! LOL! Akiniona patachimbikaaaa!
 
Hii kitu mimi kwangu mbona saaana tu,ila mmh mama mjengo kapiga kelele kashindwa,maana mimi na huyu WingWoman wangu yaaani tu ile kinyaaaama,yaaani nikiwa nae yaani kama niko na extension yangu......she is my buddy girl......nakumbuka hata ex-jamaa yake alitaka nisusia day moja....ikamwamia mshkaji acha uzembe wewe,huyo wako tu........ila jamaa amani alikuwa hana.Na bibi nae(my buddy) akamwambia point blank,mimi na wewe ni wapenzi,ila XYZ can not be equated out of the equation,kama unataka suka au nyoa........ Nisiongee sana maana wausika hawa wawili wote wamo humu jamvini.....tehe tehe.........

In short it is very possible,especially ikiwa vigezo na masharti yanazingatiwa...........Ngono is out of equation
 
Lara 1,
Unajua vizuri sana, mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke huwa yanaanza anzaje. Yaani hapo tayari uko ndani ya penzi la huyo rafiki yako. Ni siku moja tu, itakuwa kama kumsukuma mlevi (umeshausikia huo msemo eee??)

Kuna mada nyingi sana zimeshaanzishwa humu watu wanasema wametembea na wake za watu bila kutarajia. Wanasema mwanzoni ulikuwa urafiki wa kawaida tu ......... hatimaye mambo yakaharibika. Tena huo wa kwenu mmeshafika mbali sana.

Tatizo unajijua wewe, ila humjui vizuri huyo mwenzio. Kukuambia anampenda mkewe si issue! Mambo yooote huanziaga kwenye kampani. Chukua hatua!
 
Put yourself in the wife's shoes.....,kama na wewe ungekuwa na mume wako ambaye anapata bia with rafiki yake wa kike and your fine with it,i don't see the problem..!,but if not i do see a problem..!
 
Back
Top Bottom