lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #61
Hii haipo kwenye menu ya wengi wetu.....
Nisiwezi kukubaliana na hali kama hiyo kama mke wangu ndiye anatoka na mate wake wa kazini,
Pia sitapenda kuendekeza kutoka toka na mate wangu eti kwa kuwa hatuna uhusiano zaidi ya kampani...
Ukikubali kuoa/kuolewa basi umejimilikisha kwa mtu na ownership ni exclusive....
lara 1, ....huna nafasi kwa huyo kaka na wala hutakiwi kuendekeza kampani za mume wa mtu....
Babu DC!!
Hahahaaaaaa! Babu toa hoja za msingi na kidini ikibidi kuwa ubaya uko wapi? Sio flani hatojisikia vizuri! Hilo halina mashiko!