amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
hahahahahahah amu mbona unamkomalia lara 1 hivoooo?? hana jimoyo gumu ndomana akaleta hii ishu hapa tumshauri....anajua sio sahihi...amekuwa akielezwa hilo....yamemuingia moyoni yakamkera na ndo mana anataka viewz za wadau.....na amini ataamua kwa busara...kibongobongo kuwa na urafiki na mume wa mtu its an abomination !!!!
wewe hujanielewa lara 1 moyo wake mgumu hayumbishwi kimapenzi siyo wa kulialia kama wewe.
Nimepitia comment zote nimemuelewa sana lara 1 we mpotezee mume wa mtu taratibu huo ushost mhhh
Last edited by a moderator: