lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #101
wat do you care????? hizo ni shida zake na wala si zako....isitoshe ni jukumu la wify wake kuilinda ndoa yake/mume wake....na ni jukumu la huyo mume kumkeep mkewe safe and not you for God's sake!!!! the safety of his wife is not your responsibility at all!!! otherwise useme umeanza kufall in love na huyo mume wa mtu......wivu ni dalili ya hilo!!!!
Hahahaaaaaaaaaa! Sio wivu hii ni moja ya charitable activity yangu kumake sure ndoa inadumu kwa manufaa yetu wote!:cheer2:. He is my friend na mkewe nae ni kama my firiend pia coz i know kila kinachoendela ndani kwake, hata plans za familia yao in 5 years nazijua!!!!!! Sasa shangingi likija likmsambaratisha mama wa watu na kale kababy siwezi kujifanya kama siwajui vile!!!!!!!!!! LOL!
Mi naona kumpotezea sio ustaarabu, baada ya wema wote alionitendea contless times nijifanye sasa ndo namuona hana maana it will be unfare!!!!!!!! Maybe tu ni renew guide lines na rules za kumbana zaidii ili ashindwe mwenyewe tu!!!!!!!