Mdogo wangu lara 1,
Siku zote huwa sithubutu kumhukumu mtu, ila hujaribu kuangalia pande zote mbili za shilingi..
Kujua nani ni rafiki mzuri, itategemea uko upande gani...
Kwa wale washabiki wa kupoza kiu, watakuona wewe mbaya kwa sababu unamzibia jamaa asipate kitu roho inapenda kwa kumbana kwenye kona kali muda wote...Ila wale wenye mtazamo kama wako, watakuona wewe mzuri kwa sababu unamkinga dhidi ya mashambulizi ya watafutaji....
Je, ni vizuri kumkinga mtu au kumwacha ajilie kwa raha zake.....??
Babu DC!!
Wajua nn, hakuna baya wala dhambi yoyote unayotenda ila kuna ishu zifuatazo zinazoleta utata ama kuweka ukakasi kwenye uhusianao huo:
jamii yetu ya kitz haija-accept a normal friendship kati ya mwanamke na mwanaume let alone kati ya binti na mume wa mtu, ndomana ni vigumu watu kukuelewa, muda wote watu wanawaza ngono ktk aina hiyo ya urafiki..
wanaume wengi wa kitz(waume za watu wakiwemo) ni nadra sana atake binti awe rafiki yake tu...wengi akitaka ukaribu na wewe jua anataka kidude na anajua ni kupitia ukaribu huo ndo atapata chance ya kukuvua pichu....
wanaume wengi wa kitz(wakiwemo waume za watu) ni wepesi sana kutelekeza familia pale anapokuwa na urafiki/uhusiano nje/mwanamke mwingine na ndo mana wengi wanaona si sahihi wewe kuwa na urafiki na huyo mume wa mtu kwani yaweza pelekea akasahau majukumu yake nyumbani coz of you
urafiki wa aina hiyo maranyingi huishia kwenye mahusiano ya kimapenzi which is not good..na ndomana miye nakaa futi 100 away from waume wa watu...hii ni ktk kujiprotect mimi mwenyewe coz anything can hapenn anytime
waume wengi wa kitz hawawezi kuwa rafiki na wake zao (which is wrong), kitu ambacho huwaletea upweke sometimes ka huyo rafiki yako, thats y wanatafuta vibinti outside kufill hiyo emptyness wanayofill inside....
Nani kavunja heshima hapa sasa!!!!!!!? Ndoa inaheshimiwa ndo maana vidude haviliwi!:cheer2:
Hahahaaaaaaaaaaaa! Umeonesha ukomavu katika Bachelor in NDOAOLOGY!!!!
Unalosema ni kweli ila zote ni assumptions tu na zina critics na exceptions kama kawaida!!!!!!!!! Tufanye nimekubali it is wrong!
NAANZIA WAPI KUMPOTEZEAAA BILA KUHURT HIS FEELINGS COZ HE HAS BEEN A VERY GOOD FRIEND FOR 3 YRS!!!!
Hahahaaaaaaaaaaaa! Umeonesha ukomavu katika Bachelor in NDOAOLOGY!!!!
Unalosema ni kweli ila zote ni assumptions tu na zina critics na exceptions kama kawaida!!!!!!!!! Tufanye nimekubali it is wrong!
NAANZIA WAPI KUMPOTEZEAAA BILA KUHURT HIS FEELINGS COZ HE HAS BEEN A VERY GOOD FRIEND FOR 3 YRS!!!![/QUOTE]
lara 1 kama una maanisha kumpotezea kwenye nia pana njia, unaweza kutumia ule muda wako uliokua unatumia na rafiki yako baba nanihii wooote ukau-dedicate kwa bf wako, am sure hata yeye atakua anakukosa (of course utam-miss rafiki yako kipindi cha awali mwishowe utazoea tu, kama ni tubiere twa bure na tu mikopo mikopo your bf can cover that)
Wish you luck!

Sasa baba nanii nitamwambia kwanini namkwepa siku hizi? kanikosea nini?
Sijambo kaka yangu!
Thanks for the wishes maana l real need them for the coming 2013.
Nami naomba nikutakie kila kenye Heri na Blessings za kutosha kwako na familia yako kwa mwako ujao na mingine mingi.
About lara 1 humuwezi aisee; she knows n she enjoys what she is doing here (questioning assumptions). LOL
Have a great last day of the year brother.
Sasa baba nanii nitamwambia kwanini namkwepa siku hizi? kanikosea nini?
Ndio maana nimekwambia kama unamaanisha kumpotezea hutakosa sababu! Otherwise enjoy the friendship!
hahahahahah chezeya altimatamu lazima upate bachela ya ndoalogy....
kumpotezea mbona easy tu....wakata mawasiliano...kila akikustua mkapige kilaji unachomoa kisela....au tafuta extra curicular activity ya kutake nafasi ya kwenda kupiga naye mvinyo.....hii ni faida na kwako pia kwani siku mkewe akigundua utaisoma namba....huenda ni wale wake nagging so jamaa anakwepa hilo kwa kuspend smtym na wewe...
FRIGIDITY!!!!!!!!!!! Mmmmmmh! You do have a point kwenye hilo! Maybe kwake siwezi jua! Sasa naupunguza kwa grouns zipi?
Hahahaaaaaaaaaaaa! Umeonesha ukomavu katika Bachelor in NDOAOLOGY!!!!
Unalosema ni kweli ila zote ni assumptions tu na zina critics na exceptions kama kawaida!!!!!!!!! Tufanye nimekubali it is wrong!
NAANZIA WAPI KUMPOTEZEAAA BILA KUHURT HIS FEELINGS COZ HE HAS BEEN A VERY GOOD FRIEND FOR 3 YRS!!!!
I can't believe this; wewe ambaye unawashauri watu magumu ushindwe na kakitu kama haka!
Simple, unanshukuru kwa time, company na offer zote n then unamwambia you need to spend more time with your BF/Mchuchu or whatever.
Hii si forum ya kuumiza kichwa sana natambua. Lakini ulipouliza unaupunguza kwa grounds zipi sikuelewa unatafuta kupunguza nini hasa: Ni frigidity unatafuta kupunguza? au kupunguza urafiki na mume wa mtu?
Najibu ifuatavyo kama kwamba mojawapo katika hayo mawili ndiyo swali sahihi:
1. Kupunguza Frigidity ambayo chanzo ni kumuwaza mume wa mtu ambaye unampenda lakini yupo na mwanamke mwingine, wakati ambapo aliyepo juu yako (or wherever) ni mume wako, hapo utakuwa unaitaji kurejesha mawazo yako yaone kila kizuri cha mumeo, na kumuona yeye haswa ndiye aliye na kitu unataka wakati huo na siku nyingine zinazofuata. Waza yeye ndiye mcheshi zaidi kuliko yule mume wa mtu, yeye ndiye mshauri wako bora, yeye ndiye dawa ya mwili na roho yako. Ukifanikiwa katika hilo mwili utarelax na wote mtakuwa hapo. Yatayotokea as a result of your being there with him sihitaji kuyasema hapa. Kama umeolewa utakuwa unajua nini hutokea mwili na roho vikivurahia tukio.
2. Ground number two: Kuna mmoja humu ameuita urafiki wako na mume wa mtu kuwa ni urafiki wa mashaka. Nakubaliana naye. Punguza urafiki huo kumnyima nafasi shetani kuvurunga ndoa yako. Ukiruhusu urafiki huo kushamiri lazima tatizo litatokea tu. Urafiki kati ya watu wa jinsia mbili ukishamiri sana huleta nafasi kubwa sana ya kuishia kitandani, kwa uwazi au kwa kificho, na hili sidhani kama litamfurahisha sana mumeo. Sitaki kujenga dhana kuwa urafiki wa kawaida na mume wa mtu ni Kosa, kwani nikisema hivyo tutakuwa hatuwezi kutumwa na mke wa mtu kusukuma gari iliyozimika katikati ya njia. Ninachosema hapa ni hiki: keep a safe distance na mume wa mtu!
Hahahaaaaaaaaa! Mwenyewe viwembe vya uso naviogopa kichizi!!!!!!!! Sasa kama mkewe ni nagging huoni kama atanireplace na shangingi lingine la mji afu ndo itakuwa balaaa?The wife wont be safe any more!!!!!!!!
Hahahaaaaaaaaa! Kaunga sio kihivo ishu ni kuwa i rely need some grounds ili niforgore the luxury!!!!!!!! Kirahisi rahisi haiwezekani shetani wa ofa ni mkubwa! I realy need mtu anioneshe ubaya ulipo hadi roho inisuteee!!!!!!!!
Mind you bado nipo kwenye yellow card afu leo kanipa ofa ya mkesha wa mwaka mpya!!!!!!!!!:becky: Sasa nahisi ITS THE BEGGINING OF THE END!!!!!!!!
USICHOTAKA NINI Haswaa labda? Kwani kuna baya gani mwenzio kakutendea? Hizo outings ni za kutoka job kungojea foleni, wewe kazini kwako kwingine kabisaaaa! muonee huruma mwana wa mwenzio anahitaji company!!!!!!!! LOLEST!!!!!!!!
As long as naweza kupata access ya Paw wangu anytime akiwa na huyo rafiki yake wa kike, na naruhusiwa kuhang nao ama kupop in anytime i want. He can have all the lady friends he want in the whole universe. Ila sio akienda kummeet AshaDii ndo nikipiga simu haipokelewi utasema wanajadili hatma ya chadema masalia, ama nikiuliza mko wapi nije kula kuku napandiwa hewani kama mwehu, hapo patachimbika. I have male friends na sina uhusiano nao. Naye nategemea the same.